Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

Njia nzuri ni yeye kukaa kwao(kwake) na weye ukae kwako.Hamna kusumbuana.
 
Mimi sio nabii ila inaonekana kamke kako ni kafupi keupe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ni kweli basi piga chini mapema vinginevyo hutoboi
 
Akikohoa chapa kibao, akilia chapa kibao, akinuna chapa kibao, akicheka chapa kibao.......
 

Piga tu hiyo mbususu mkuu,mbona safi tuu ila USIOE
 
Hapo ndo ataharibu kabisa,
Mwanamke jeuri na kiburi, ukiwa submissive ndo atakufulisha chupi afu tukaeingizie wachawi umerogwa.

Nakazia submissions kwa mtu kama huyo ni kujitaftia kifo,cha msingi afanye mambo yake asimjali wala kumuuliza chochote
 
nunua tv ya flati na exteno jaza muvi za mozombi, nunua vyuma vya mazoezi. ukitoka mishe elekea kwenye mazoezi ukitoka oga cheki muv moja ya mazombi na bia yako saafi, kama kochi ni laini utashtukia umesinzia.

rudia hiyo ratiba x365 days

We jamaa una akili sana
 
Ili umkomeshe Sio si uachane nae tu mkuu!!!
Utaona unamkomesha kumbe mwenzio anaenjoy!!
 
Usiniambie kabisa mwanamke wa namna hiyo. Nimeishi naye kwa miaka nane nilipitia mengi. Kibri, dharau kauli za matusi, kujipangia apendavyo.
Nilipofika hatua ya kuchoka kabisa sikuomba ushauri kwa MTU. Nilibwaga manyanga jumla.

Kwa sasa Nina Amani ya Moyo na afya tele. Najisikia wa furaha haswaaa.
Kutuma matumizi kwa watoto siyo kazi kubwa nitawalea hivyo hivyo nao watakuwa watu wazima.

Unaweza kufa kwa sukari na BP kwa ajili ya MTU ambaye haukuzaliwa naye kwa kisingizio cha watoto et nani atawalea.

Lakini pia kutokana na hasira za Mara kwa Mara unaweza kufanya maamzi mabaya bila kutarajia na ndo hiyo ikawa mbaya zaidi.
Ukichoka tu utaachia. Mwanamke Mjeuri havumiliki maisha yote.
 
Nilipofika hatua ya kuchoka kabisa sikuomba ushauri kwa MTU. Nilibwaga manyanga jumla.

Nadhani hii ndio style pekee ya kuishi na mwanamke mwenye kiburi...

Wengi watazungumzia kuhusu kuvumilia,,, wakisahau hasira za mara kwa mara ndio mwanzo wa Kifo...na hasira ni ngumu kujizuia,, lazima tu utakasirika,,hata usiposema..

Mleta uzi akichoka,, hata kuja kuomba ushauri humu
 
Kupenda pasipo thamani kwangu taabani mi si sawa

–mbio–
 
My friend, unapoona kiburi cha aina hiyo kwa mwanamke wako (hasa kama mwanzo wa mahusiano yenu hakuwahi kukuonyesha) jua kwamba tayari ana mahusiano ya kimapenzi nje!
Hili ndo jibu nilitarajia kuliona......
 
Kwa hiki kifungu cha habari nachelea kusema anza kutafta mpenzi mwengine. Fanya hilo haraka sana maana baada ya mwezi mmoja tu utakuja na uzi wa kilio hapa.
Provided that the following conditions are met:
1.Ameanza kiburi ghafla na kukudharau hali ya kuwa awali alikuwa na mapenzi thabiti kwako.

2. Kila ufanyacho anakidiss kana kwamba huns zuri ambalo unafanya na ukimgusa kimahaba anakasirika sana

3. Anajitahidi kukukwepa kadri awezavyo na simu yake anaificha na kajaza password hadi za mafolder🤣 na app za ajabu
 
Kama hujawahi kumpiga jaribu kumpiga hawa viumbe wana wadudu vichwani ambao huwa wanatoka ukiwatandika makofi na hawatarudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…