Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha

Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .

Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa nilipo nafikiria ni staili gani niitumie kuishi nae na pia wanawake wa aina hii dawa yao huwa ni nini ifike hatua kiburi kipungue na kisirani ifike hatua ajue wewe kidume hata anapoenda wrong directions iwe rahisi kurekebishika na kuelezekeka.

Imagine kama leo hii nilimtext asubuhi hakunijibu badae alivyonitafuta mida ya jioni saa 12 nakuja kumuuliza uliona ujumbe wangu asubuhi hanipi majibu ya kueleweka

Nilivyomuuliza mara ya pili akaanza kunijibu kwa hasira na kisirani vitu havieleweki mwisho wa siku ananiona kaa mie mkorofi kwanini nimemuuliza haya maswali kama ujumbe wangu kauona.

Wakati nimeuliza for gud kama ujumbe wangu aliupata au laa
Tafuta mwingine.
Unaishije na matatizo yatakayokupeleka jela?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kijana anajituma sana,sema anaonekana ni mpole sana kwa Mwanamke wake, yaani unamu sms mtu asubuhi,alafu anakuja kukujibu saa 12 Jioni,tena yeye bado ndiyo anakua mkali!!? Kijana ampige chini faster huyo Mwanamke wake hadi hapo atakapo jirekebisha mwenyewe!!!
Kuna Mzee mmoja nimesikia akisema "Mwanafalsafa anasema" Siku ukimjuwa mwanamke ndiyo siku yako ya kufa". Na mimi nikamwambia, sisi tunasema, wanaume ni majuha yasiyo elewa.
 
Kumwongezea mwenzake, mke mwingine kwa wanao ruhusiwa au mchepiko mkali (yaani pisi kali) alafu unaacha kumpa attention. Atakuja kujua hajui.
 
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha

Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .

Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa nilipo nafikiria ni staili gani niitumie kuishi nae na pia wanawake wa aina hii dawa yao huwa ni nini ifike hatua kiburi kipungue na kisirani ifike hatua ajue wewe kidume hata anapoenda wrong directions iwe rahisi kurekebishika na kuelezekeka.

Imagine kama leo hii nilimtext asubuhi hakunijibu badae alivyonitafuta mida ya jioni saa 12 nakuja kumuuliza uliona ujumbe wangu asubuhi hanipi majibu ya kueleweka

Nilivyomuuliza mara ya pili akaanza kunijibu kwa hasira na kisirani vitu havieleweki mwisho wa siku ananiona kaa mie mkorofi kwanini nimemuuliza haya maswali kama ujumbe wangu kauona.

Wakati nimeuliza for gud kama ujumbe wangu aliupata au laa
Pandisha cheo mkuu
 
Kuwa mwanaume mkuu, tulishaambiwa tuishi nao kwa akili, ikishindikana kabisa tuunge mkono hoja za Liverpool VPN hakuna kuoa

Ila binafsi mwanamke akizingua nitaenda na biti lake asiponielewa napiga chini.

Nimeshaacha mwanamke nimezaa nae watoto wawili, kaolewa kakaa kwenye ndoa mwaka mmoja kaachika sasa hivi anataka turudiane, nimemwambia haiwezekani kama nikijisikia kuwa na mwanamke nitaoa mwingine lakini sio kurudiana na wewe
Akaniomba tuongeze mtoto na yeye hataki kuolewa tena na mwanaume mwingine tofauti na mimi.

Mimi nikamwambia kwa hiyo utaishi bila mume mpaka lini si uolewe tu, akanijibu hataki, anataka tuongeze mtoto kisha niwe namuhudumia tu kama kawaida ninavyohudumia watoto pia akijisikia na nyege atanitafuta ila anapendekeza zaidi tufunge ndoa ila mimi niwe namtimizia mahitaji yake ya kimwili tu hata kama kuishi pamoja haiwezekani yeye yupo tayari kuishi kivyake ila awe kama mke mkubwa. Maana tayari ana watoto wangu

Anaongea hivyo mimi namchora tu, maana simuamini hata kidogo, nikamwambia nitakufungulia biashara uiendeleze ili hata ikitokea siku nimekufa ulee familia bila shida, akajibu sawa ila nitahitaji unitimizie na mahitaji yangu ya kimwili kwa hiyo mimi nipo tayari kukuacha ufanye maisha yako ila linapokuja swala la kukutana na wewe tu usiniangushe.

Yaani kifupi mwanamke anatumia mbinu zote kurudiana na mimi ila mi mwenyewe ndio sina habari nae.
Unapata muda wa kupiga story na x wako
 
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake pambana utafute mbadala wake utakuja kunishukuru badae
 
Kuna Mzee mmoja nimesikia akisema "Mwanafalsafa anasema" Siku ukimjuwa mwanamke ndiyo siku yako ya kufa". Na mimi nikamwambia, sisi tunasema, wanaume ni majuha yasiyo elewa.
Aah wewe unasemaje hivo wakati Quran ndo inasema manamke Ni majuha yasiyoelewa kitu
 
Kuna Mzee mmoja nimesikia akisema "Mwanafalsafa anasema" Siku ukimjuwa mwanamke ndiyo siku yako ya kufa". Na mimi nikamwambia, sisi tunasema, wanaume ni majuha yasiyo elewa.
Na kitabu kitukufu cha Quran kinasemaje kuhusu hili ?
 
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha

Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .

Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa nilipo nafikiria ni staili gani niitumie kuishi nae na pia wanawake wa aina hii dawa yao huwa ni nini ifike hatua kiburi kipungue na kisirani ifike hatua ajue wewe kidume hata anapoenda wrong directions iwe rahisi kurekebishika na kuelezekeka.

Imagine kama leo hii nilimtext asubuhi hakunijibu badae alivyonitafuta mida ya jioni saa 12 nakuja kumuuliza uliona ujumbe wangu asubuhi hanipi majibu ya kueleweka

Nilivyomuuliza mara ya pili akaanza kunijibu kwa hasira na kisirani vitu havieleweki mwisho wa siku ananiona kaa mie mkorofi kwanini nimemuuliza haya maswali kama ujumbe wangu kauona.

Wakati nimeuliza for gud kama ujumbe wangu aliupata au laa
Best style ni kumuacha tu

Huwezi kubadili tabia…. Find another partner
 
Dawa ya jeuri ni kujifanya umesepa
Bonge la mbinu, Kuna jamaa yangu alipishana na mkewe, katika kujibizana vibaya mke akaropoka kuwa "na hawa watoto sio wa kwako kwa taarifa yako" jamaa kwa hasira akamchapa makofi haswa...

Mke akakimbilia polisi, akasema jamaa amemtishia kumuua kwa panga na alitaka kumnyonga, (sijui kama ni kweli au la, hapo jamaa anakataa kabisa kumshikia panga wala kumtishia kumuua)

Basi jamaa akakamatwa, akawekwa lock up,akashea taarifa za yeye kukamatwa kwenye group,wana tukajipanga kwenda kumtoa, tukaongea na mkewe akafute kesi ili wayamalize home, mke akagoma...akasema "acha akafungwe ajifunze, yeye si anajifanya kidume"... Tukajua hapa mwana anawezaishia kuvishwa jezi za magereza kimaskhara, tukafanya yaliyowezekana jamaa akatoka!

Aliporudi home mke wakati wote amenuna, (wakati huo hati ya Kiwanja, na baadhi ya nyaraka mke alivihamishia anapopajua), jamaa akamwambia asihangaike kuvificha abaki navyo tu, na biashara waliyokuwa wanaendesha pamoja akamuachia imsaidie kulea watoto, akawa anapanga vitu vyake tayari kwa kuondoka, mke kwa ujeuri kabisa akamwambia jamaa " umesahau viatu vyako..."

Akavichukua viatu vyake akasepa, wiki moja baada ya jamaa kuondoka akaanza kunitafuta mimi nimsaidie kumtafuta mumewe, haamini kama kweli jamaa ndo ameondoka, biashara imezorota na hata namna ya kuishi imekuwa ngumu, amekimbilia ustawi wa jamii kwa madai kwamba ametelekezwa...jamaa amepewa wito huko Ila hajaenda, sijui mwisho wa siku itakuwaje...

Ila baadhi ya wanawake ni pasua kichwa sanaaa!
 
Back
Top Bottom