Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

Tafuta mwingine.
Unaishije na matatizo yatakayokupeleka jela?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mzee mmoja nimesikia akisema "Mwanafalsafa anasema" Siku ukimjuwa mwanamke ndiyo siku yako ya kufa". Na mimi nikamwambia, sisi tunasema, wanaume ni majuha yasiyo elewa.
 
Kumwongezea mwenzake, mke mwingine kwa wanao ruhusiwa au mchepiko mkali (yaani pisi kali) alafu unaacha kumpa attention. Atakuja kujua hajui.
 
Pandisha cheo mkuu
 
Unapata muda wa kupiga story na x wako
 
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake pambana utafute mbadala wake utakuja kunishukuru badae
 
Kuna Mzee mmoja nimesikia akisema "Mwanafalsafa anasema" Siku ukimjuwa mwanamke ndiyo siku yako ya kufa". Na mimi nikamwambia, sisi tunasema, wanaume ni majuha yasiyo elewa.
Aah wewe unasemaje hivo wakati Quran ndo inasema manamke Ni majuha yasiyoelewa kitu
 
Kuna Mzee mmoja nimesikia akisema "Mwanafalsafa anasema" Siku ukimjuwa mwanamke ndiyo siku yako ya kufa". Na mimi nikamwambia, sisi tunasema, wanaume ni majuha yasiyo elewa.
Na kitabu kitukufu cha Quran kinasemaje kuhusu hili ?
 
Best style ni kumuacha tu

Huwezi kubadili tabia…. Find another partner
 
Dawa ya jeuri ni kujifanya umesepa
Bonge la mbinu, Kuna jamaa yangu alipishana na mkewe, katika kujibizana vibaya mke akaropoka kuwa "na hawa watoto sio wa kwako kwa taarifa yako" jamaa kwa hasira akamchapa makofi haswa...

Mke akakimbilia polisi, akasema jamaa amemtishia kumuua kwa panga na alitaka kumnyonga, (sijui kama ni kweli au la, hapo jamaa anakataa kabisa kumshikia panga wala kumtishia kumuua)

Basi jamaa akakamatwa, akawekwa lock up,akashea taarifa za yeye kukamatwa kwenye group,wana tukajipanga kwenda kumtoa, tukaongea na mkewe akafute kesi ili wayamalize home, mke akagoma...akasema "acha akafungwe ajifunze, yeye si anajifanya kidume"... Tukajua hapa mwana anawezaishia kuvishwa jezi za magereza kimaskhara, tukafanya yaliyowezekana jamaa akatoka!

Aliporudi home mke wakati wote amenuna, (wakati huo hati ya Kiwanja, na baadhi ya nyaraka mke alivihamishia anapopajua), jamaa akamwambia asihangaike kuvificha abaki navyo tu, na biashara waliyokuwa wanaendesha pamoja akamuachia imsaidie kulea watoto, akawa anapanga vitu vyake tayari kwa kuondoka, mke kwa ujeuri kabisa akamwambia jamaa " umesahau viatu vyako..."

Akavichukua viatu vyake akasepa, wiki moja baada ya jamaa kuondoka akaanza kunitafuta mimi nimsaidie kumtafuta mumewe, haamini kama kweli jamaa ndo ameondoka, biashara imezorota na hata namna ya kuishi imekuwa ngumu, amekimbilia ustawi wa jamii kwa madai kwamba ametelekezwa...jamaa amepewa wito huko Ila hajaenda, sijui mwisho wa siku itakuwaje...

Ila baadhi ya wanawake ni pasua kichwa sanaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…