Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

Kuna Mzee mmoja nimesikia akisema "Mwanafalsafa anasema" Siku ukimjuwa mwanamke ndiyo siku yako ya kufa". Na mimi nikamwambia, sisi tunasema, wanaume ni majuha yasiyo elewa.
Dah

Hapa umedhalilisha hadi manabii.
 
Tunakera sometimes
 
Mnawezaje kuishi na watu wa hali hii?
 
Daaa mkuu pole Sana, yaani hata wa kwangu yupo hivyohivyo. Mi nilichokifa ya nimempiga mimba ahangaike nayo huko harafu tendo la ndoa hata simuombi tena na yeye anaona kawaida tu
Hapo hujatatua tatizo ...
 
Nasema kila siku humu ndani,maisha ya ndoa bila ya wote kuwa karibu na Mungu usitegemee muujiza.Unachopaswa kujua ni kuwa ndoa ni sakrament ambayo shetani anaipiga vita kwa nguvu zote ,sasa usipokuwa imara jiandae tu kwa yajayo...
 
Mbona kama usha nasa mkuu? Ulipo kubali kupokea simu achilia mbali kufungua biashara ndio habari yako iliishia hapo
 
Mkuu nitumie username yake PM nimtag

Kwani mkuu huwezi fanya kitu alichofanyiwa Swalha? Jitahidi umiliki bastola mkuu!
 
Kuna mawili, kama bado unampenda sana na unahisi anakupenda mpotezee kabisa, ikiwezekana tafuta mpango kando usimguse... Usianzishe maongezi, mind your own business. Akipika sawa, asipopika sawa, akupe unyumba sawa, akikunyima kale hotelini... Maisha yataenda.
Ukiona hilo haliwezekani na mapenzi yako kwake yamepungua mpe mkono wa kwa heri. Mwelezee kinagaubaga jinsi gani hufurahiwi naye na jinsi gani mkiendelea kuishi pamoja mnaweza dhuriana. Kila mtu akae kwake. Asikudanganye mtu eti ndoa, unaweza kufa au kuumizana na ndoa ikaishia hapo. Bora mwende separate ways kwa muda baadaye mnaweza pendana.
 
Yaani demu anakubembeleza ivo baado tu??/utakuwa na tatizo wenzako hawabembelezwi mara mbili hayooo wanatoa mshedede! bureee!! na bia mili juu tena bure!
 
Unapata muda wa kupiga story na x wako
Ni mama watoto wangu mkuu, huwa napeleka nguo na mazaga zaga mengine kwa ajili ya watoto, na nikipitisha mwezi wasiponiona lazima waniulizie kwa mama yao,
Kifupi nimejitengenezea upendo kwa watoto, kiasi kwamba huwa wanamsumbua mama yao anipigie simu ili wanisalimie

Maana ukisema umpe matumizi mwanamke watoto watajua mama yao ndo anawapambania, wewe baba utaonekana huna thamani, sasa hiki kitu mimi sitaki kitokee ndo maana hata mama yao akiniita kama nina muda naenda kumsikiliza maana najua anaweza kuwalisha sumu watoto wakaniona baba yao sifai

Mwanzo alipokuwa kwenye ndoa ndo nilikuwa siendi kuona watoto ila kwa sasa nipo huru, najenga ukaribu na watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…