Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Sijui kama nitakuja kuacha kubishana Yanga na Simba! Yaani ninavyoipenda Yanga huwa sitaki mtu aiseme vibaya halafu mimi ninyamaze!
 
DAEMUSHIN, Kuna vitu tunarandana kidogo. Mfano kutokuwa mzinifu
-kutokwenda club
-sinywi pombe
-sivuti sigara,bangi au unga
Jarib kuanza kunywa japo kwenye occasional kidogo kidogo...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

Nilikua na Tania tu in JPM voice....
 
Napenda kuangalia mashine mpya au technologia mpya iliyogunduliwa duniani ya kitu chochote japo navutiwa zaidi na Mchines. Yaani naweza kukaa kwenye Computer hata siku nzima nafuatilia (new discoveries)
Hivi vitu (machines/gadgets) vinakuja madukani vya new tech mnavishangaa pengine mimi navifahamu vizuri miaka tatu iliyopita.....
 
Jamani mi nahisi nimerogwa sijui ndo starehe yangu au nimerogwa napenda sana kumer. Nipo tayari kusafiri umbali mrefu kisa kipochi.

Mwezi uliopita nilitumia save ya miezi mitatu kumfata demu mbali sana. Kuna muda nahisi nimerukwa akili halafu hua napenda sana mademu wa mbali Sana yaani hiyo ndo burudani yangu...
 
Kwa kweli we ni wakipekee kama avatar yako, Mimi napenda jf siku MTU aniambie nisiingie huku nitafadhaika saana, starehe ingine sina
 
Jarib kuanza kunywa japo kwenye occasional kidogo kidogo...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

Nilikua na Tania tu in JPM voice....
I mean no malice to nobody πŸ˜πŸ˜€, me na pombe ni mafuta ya kufikia na pombe
 
I mean no malice to nobody, ila Kumbuka HIV killsπŸ˜πŸ˜€.
πŸ‘‰ Kumbuka kutimiza majukumu na Malengo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…