Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Uko kama mimi , napenda sana adventures , kuona watu wapya na hata life style mpya ,
 
Wine
Nimeacha pombe lkn kunywa wine nimeshindwa kuacha kabisa, kinachotokeaga ni kupumzika kwa weeks kadhaa.

Kuangalia EPL na UEFA 😒


Tv/ move/ music naweza pumzika kwa muda.
Aisee
 
Hata mie cartoon ni ugonjwa wangu. , ila mimi ni tom and jerry , nina episodes zote kwenye simu
 
1.Pombe
2.Ngono
3.Mpira
4.Kuzurula kama mbwa koko .
 
We Ni muongo ufanye vitu hvyo kwa wakt mmoja mara movie ,kula,kusoma viatbu,kucheza game mbna muongo mm sipendi vijana waongo waongo shenzi san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…