Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Mbali ya bingo ninavyovipenda, Huwa napenda zaidi kutembelea maeneo mapya yaani 'adventure". Nikiwa DSM napenda kuzunguka na gari yangu kutembelea maeneo ambayo sijawahi fika. Na baada ya kuzunguka na gari huamua kuchagua sehemu moja nzuri kupata msosi na kinywaji. Lakini zaidi napenda kusafiri kwenda mikoani (Kwa basi la abiria) ambako sijawahi fika na kulandalanda. Napenda kuona vitu na watu wapya.
Naweza nikaenda mkoa na kukaa siku 2 au 3 Kwa utalii binafsi wa ndani. Importantly Huwa nafurahia Ile freedom ya kufanya nitakacho ninapokuwa away from home
Uko kama mimi , napenda sana adventures , kuona watu wapya na hata life style mpya ,
 
Dah! Mpaka uzee huu! Sijui nani atakae nishauri niache kuangalia cartoon! Aisee ikitokea mtu kashika simu yangu akaingia gallary bahati mbaya hua najisikia aibu na kuzuga, watoto wanapenda kuchezea simu yangu sasa nimewawekea dawa zao[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie cartoon ni ugonjwa wangu. , ila mimi ni tom and jerry , nina episodes zote kwenye simu
 
1.Pombe
2.Ngono
3.Mpira
4.Kuzurula kama mbwa koko .
 
We Ni muongo ufanye vitu hvyo kwa wakt mmoja mara movie ,kula,kusoma viatbu,kucheza game mbna muongo mm sipendi vijana waongo waongo shenzi san
 
Back
Top Bottom