Mbali ya bingo ninavyovipenda, Huwa napenda zaidi kutembelea maeneo mapya yaani 'adventure". Nikiwa DSM napenda kuzunguka na gari yangu kutembelea maeneo ambayo sijawahi fika. Na baada ya kuzunguka na gari huamua kuchagua sehemu moja nzuri kupata msosi na kinywaji. Lakini zaidi napenda kusafiri kwenda mikoani (Kwa basi la abiria) ambako sijawahi fika na kulandalanda. Napenda kuona vitu na watu wapya.
Naweza nikaenda mkoa na kukaa siku 2 au 3 Kwa utalii binafsi wa ndani. Importantly Huwa nafurahia Ile freedom ya kufanya nitakacho ninapokuwa away from home