Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu

Kuna watu hawajui kuna kukimbia na kuendesha rough mabus mengi haya kimbii ila rough wanaweza ku mantain hata 70 kwa hrbhasa Sauli Kwenye tuta anapita na speed 80 sabb gari zina booster mfano anaweza ku overtake sehem hatarishi lakini hajazidi ile speed waliyopangiwa hakuna ma Bus hatarishi kama Dar mwanza hawa Ally Stas Happy Nation ila hawaoni

Sent from my CPH2061 using JamiiForums mobile app
Hizi za mwanza ikishafika sa12 zinachapa mwendo hatar
 
Kuna watu hawajui kuna kukimbia na kuendesha rough mabus mengi haya kimbii ila rough wanaweza ku mantain hata 70 kwa hrbhasa Sauli Kwenye tuta anapita na speed 80 sabb gari zina booster mfano anaweza ku overtake sehem hatarishi lakini hajazidi ile speed waliyopangiwa hakuna ma Bus hatarishi kama Dar mwanza hawa Ally Stas Happy Nation ila hawaoni

Sent from my CPH2061 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja,
Speed 80 huwez sema bus linakimbia.

Mengi yanaendeshwa rough[emoji4][emoji106]
 
Mwambie ni battle ya DPK 712 Vs DWF 418.

Watoto wotee wakina IMANI, TANZANITE, HAPPY NATIONAL, NGANGA, KYELA EXPRESS, KILIMANJARO, SAIBABA, ABOOD, yaani wotee WAKAE PEMBENI.

Ni Youtong Vs Benz..!!!

Naelewa sanaa hii battle.

Naomba idumu milele.

#YNWA
 
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.

Sauli hununua Askari wowote wawao zamu siku husika wa usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.

Narudia,Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Ndo watu wanapenda mwendo maana hazijawahi kwenda sit wazi.
Wao ndo wanakataa abiria.!
 
Mtoa hoja acha kuwa mchoyo wa ukweli, tatizo sio speed, tatizo barabara zetu ni mbovu mno, hii T1 ni uizo mtupu, kipindi nchi Ina heshima na adabu bus ya Scandinavia inaondoka Dar at 6am, Tunduma inawasili at 17H00 inavuka border, around 18H00(Zambian time)inaanza kukimbiza Lusaka na 0530am inaingia Lusaka salama salimini!,na bus ya Novalonge Swela (kwacha)ilikua inatumia 8 to 9 hrs kutoka iringa hadi Dar na hakuna ajali ,barabara zetu bado mno, speed sio tatizo na honestly iam Sauli team, wapo Safi
 
Kapande Abood
Hawa vilevile wana mchezo wa kushindana wao kwa wao .
nilipanda abood kutoka mwz kuja dar nikajionea michezo yao hatari .
Nilichogundua madereva wengi wa mabasi wakipimwa akili watakuwa na tatizo ajili zinasababishwa kwa uzembe mkubwa.
Huwezi kulaumu trafiki Moja kwa moja wakati wewe abiria ni kiumbe mwenye ufahamu / uelewa kosa au tatizo likifanyika unaelewa , majukumu ya usimamizi wa usalama wa kwanza ni wewe abiria trafiki hawawezi kutosha barabara yote Dar - mwz, Dar - ash, Dar -mby

Vile vile Naomba adhabu Kali zichukuliwe kwa madereva wazembe ikiwemo kufungiwa maisha leseni na kifungo kikali
 
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.

Sauli hununua Askari wowote wawao zamu siku husika wa usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.

Narudia,Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Tafuta hela kaka aliepata kapata mkuu wangu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kulaumu trafiki Moja kwa moja wakati wewe abiria ni kiumbe mwenye ufahamu / uelewa kosa au tatizo likifanyika unaelewa , majukumu ya usimamizi wa usalama wa kwanza ni wewe abiria trafiki hawawezi kutosha barabara yote Dar - mwz, Dar - ash, Dar -mby
Aliyekuja na suluhisho la ving'amuzi akashindwa kuvisimamia ni nani? Tuanze na huyo
 
Mwambie ni battle ya DPK 712 Vs DWF 418.

Watoto wotee wakina IMANI, TANZANITE, HAPPY NATIONAL, NGANGA, KYELA EXPRESS, KILIMANJARO, SAIBABA, ABOOD, yaani wotee WAKAE PEMBENI.

Ni Youtong Vs Benz..!!!

Naelewa sanaa hii battle.

Naomba idumu milele.

#YNWA
Climber sio Yutong
 
DWF ni scania gemilang na sio benz mkuu
 
Back
Top Bottom