Sasa kwa nini hawabadili mfumo??Watu wengi walisema mabaya kwa JPM ila n miaka zaidi ya miwili sasa JPM hayupo ila matendo maovu yanaendelea, ndio tujue JPM hakuwa tatizo bali n mfumo mzima wa serikali.
Haya mambo hata kwa Nyerere yalikuwepo.
Wivu wa uchapakazi wake mana alikuwa anawanyooshaKwa nini??
Muulize samiaSasa kwa nini hawabadili mfumo??
Nataka umuulize JPM wakoMuulize samia
Anawanyoosha wakina nani??Wivu wa uchapakazi wake mana alikuwa anawanyoosha
Taratibu. Alifanya na hayo mambo yanaendekea. Neno “alisingiziwa” halihusiki hapo. Au unataka kusema serikali haihusiki hata sasa?Ndio alisingiziwa.
Kama hajasingiziwa, mbona hayo mambo bado yanaendelea?
Familia ya Marehemu wamsomee kurjuani huyu tumbili Peter MsigwaMsigwa alisema kule CHADEMA kuna mtu anaitwa Ally Kibao ndio anategemewa sana kwenye mikakati ya chama.
Haijapita mwezi Mzee wa watu ameuwawa.
Unafiki tu haya mauaji na utekaji ni kutoka mamlakaKwa nini usiseme ni kumfurahisha aliyekuwa ofisi namba 1? Au uliwahi sikia akikemea? Si Bora SSH anatoa Hadi Kauli za kukemea?
Kwahy nani anayaendeleza hayo mambo wakat JPM amekufa zaidi ya miaka miwili sasa?Taratibu. Alifanya na hayo mambo yanaendekea. Neno “alisingiziwa” halihusiki hapo. Au unataka kusema serikali haihusiki hata sasa?
MumeoAnawanyoosha wakina nani??
Correct. Na sio hayo tu, anaendeleza mengi ya JPM kujiimarisha madarakani.Kwahy nani anayaendeleza hayo mambo wakat JPM amekufa zaidi ya miaka miwili sasa?
Kwa hiyo Chadema wako vizuri zaidi kuliko serikali na vyombo vyake vyote vya ulinzi na usalama!!! Mbona ni kama unaidharirisha serikali aisii!! Kwamba intelenjensia yote imezidiwa na Chadema!!! Acha kuizodoa serikali yenu bwana!!Hapa kuna jambo la kukumbuka, mauwaji ya namna hii yanayohusisha tindikali, kuharibiwa uso vibaya sana sio mauwaji yanayofanya na polisi au serikali,
Kumbukumbu zinaonesha Mauwaji ya namna hii yamefanywa na Chadema dhidi ya wafuasi wake waliowatoa kafara ushahidi ni matamshi ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Silaha.
Ni wakati umefika wa Watanzania Kuyatazama mambo kwa mapana zaidi ya hisia zetu ni mihemko ya wanasiasa.
Sina shaka kwamba Polisi hawawezi teka mtu mkubwa kisiasa kama alivykuwa Alli Kibao halafu wakafanye ujinga wa kitoto kiasi kile eti wateke hadharani wauwe na kutelekeza maiti hadharani hii sio polisi ya Tanzania..
Kwani Aliuwawa?Labda alishiriki kumuua Dkt Magufuli yaani mambo mengi hata la kuchukua tunakosa
JPM kama angekuwa na nia njema na Tanzania, angeubadili huo mfumo mzima wa serikali.Watu wengi walisema mabaya kwa JPM ila n miaka zaidi ya miwili sasa JPM hayupo ila matendo maovu yanaendelea, ndio tujue JPM hakuwa tatizo bali n mfumo mzima wa serikali.
Haya mambo hata kwa Nyerere yalikuwepo.
Daah!!!Hapa kuna jambo la kukumbuka, mauwaji ya namna hii yanayohusisha tindikali, kuharibiwa uso vibaya sana sio mauwaji yanayofanya na polisi au serikali,
Kumbukumbu zinaonesha Mauwaji ya namna hii yamefanywa na Chadema dhidi ya wafuasi wake waliowatoa kafara ushahidi ni matamshi ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Silaha.
Ni wakati umefika wa Watanzania Kuyatazama mambo kwa mapana zaidi ya hisia zetu ni mihemko ya wanasiasa.
Sina shaka kwamba Polisi hawawezi teka mtu mkubwa kisiasa kama alivykuwa Alli Kibao halafu wakafanye ujinga wa kitoto kiasi kile eti wateke hadharani wauwe na kutelekeza maiti hadharani hii sio polisi ya Tanzania..
Nitakua mtu wa mwisho kuamini kua mauaji ya huyu ndugu yetu ni serikali yetu ya mama imeshiriki. Wahuni ni watu wabaya sana wanatumia mbinu zote kumchafua mama lakini mwisho wa yote watashindwa tu. Huu utekaji umeshamiri sasa hivi baada ya wahuni kutimuliwa kwenye baraza la mawaziri. Ila kwa vile wabongo wengi ni wapumbavu wataamini ni serkali ndio imefanya upuuzi huu.
Jamani hukumbuki sherehe za akina mbowe na wenzake akina wazuri hawafi???Kwani Aliuwawa?
AiseeJamani hukumbuki sherehe za akina mbowe na wenzake akina wazuri hawafi???
Huyu rais wa sasa amebadili huo mfumo?JPM kama angekuwa na nia njema na Tanzania, angeubadili huo mfumo mzima wa serikali.
Nyerere alisema katiba mbaya lakini hakuona haja ya kuibadilisha. Wanasiasa si wa kuaminiwa.Correct. Na sio hayo tu, anaendeleza mengi ya JPM kujiimarisha madarakani.
Nyerere mwenyewe alilalamika warithi wake kuendeleza “mabaya” yake na kuacha “mazuri” yake. Ndiyo hadi yetu.