Ni taarifa gani Hayati Ally Kibao alikuwa nazo kiasi cha kuepelekea kifo chake?

Watu wengi walisema mabaya kwa JPM ila n miaka zaidi ya miwili sasa JPM hayupo ila matendo maovu yanaendelea, ndio tujue JPM hakuwa tatizo bali n mfumo mzima wa serikali.

Haya mambo hata kwa Nyerere yalikuwepo.
Nyerere hakuua watu covertly, Nyerere aliwaweka watu kizuizini au kuwarudisha katika vijiji vyao walipozaliwa na kuwapiga stop kutoka nje ya kijiji. Kama unamjua hata mmoja aliyeuawa covertly mtaje
 
Kwa nini usiseme ni kumfurahisha aliyekuwa ofisi namba 1? Au uliwahi sikia akikemea? Si Bora SSH anatoa Hadi Kauli za kukemea?

KUKEMEA? STUPID COMMENT. YAANI HAYO MAIGIZO UNAONA NI ISSUE? SI ALISEMA NI DRAMA? AU WEWE HUKUSIKIA AKISEMA WAAACHE DRAMA? SASA KAAMUA KUJIUNGA NAO.
 
Wa$enge kama wewe mlipaswa kutekwa na hao watekaji.
 
ninasita kusema, kwa kuwa mzee wa ukopa namuheshimu sana, lkn nakaribia kuunganisha dot.

Juzi ni kama alihalakisha mauwaji haya. Akisema biblia inaruhusu watu wa kitengo wakisaliti wanapaswa kuuwawa. Haijapita hata siku 5 mauwaji yakatokea.

Sina link lkn aliyeona aweza kuunganisha dot

Pili nadhani kuna maadui wa Samia. Sijui kama ni wafuasi wa chama walioko serikali.... sijui

Lkn waliofanya haya ni maadui wa mama walioko ndani ya mfumo.

Lengo ni kumuangusha.

Kila jambo lina kheri zake.

Na kwa hakika ktk hakuna muislam wanaingia msikiti ambae anaweza kufanya unyama huu
 
Una maana hao uliowaita wahuni ni watu wenye nguvu sana na wenye mbinu za kisasa zaidi kiasi kwamba hawawezekani kabisa kushughulikiwa kisheria wala kwa namna yeyote ile ??!

Yaani Hawawezekaniki kwa namna yeyote ile ??!
Hata kwa kuwabembeleza waache hayo mambo mabaya ??! 😱
 
Hahahaa... Na hao wahuni wanalindwa? Mbona serikali haijishughulishi hata kuwatafuta?
Soka na wenzako wapi? Waliomteka Sativa wako wapi? Vipi Swala la Kombo wa Tanga?
 
Yaani imagine huyu mzee aliyeuawa kikatili ni baba ako... Lijitu km Mwashambwa linavyosifia ccm ukilikuta mahali kabla ya kuliua unaweza ukalibaka kwanza.
 
🤔 So, kinachoendelea, jinsi kinavyoendelea ni hali ya kawaida tangu enzi zile. Kwamba kinachoshangaza ni hizi kelele nyingi za taharuki ambazo haziutendei haki uongozi wa sasa. Au…?
Nyerere aliwafukuza kazi kina DGIS Emilio Mzena, Peter Siyovelwa, Peter Kisumo na maafisa usalama wengi tu miaka ya 70's kwasababu walifanya mauaji makubwa ya watanzania wasiokuwa na hatia. Mwaka 1975 akafanya En Masse Recruitment na kuisuka upya idara ya usalama wa taifa, akiwafukuza Thugs and Sadists na kuajiri maelfu ya vijana wasomi kutoka chuo kikuu na sekondari.

Hili bado halikusaidia kwasababu usalama wa taifa chini ya Imran Kombe walikuwa kama A Loose Cannon, wanakamata, wanatesa, wanaua watu wakilazimisha ujamaa ambao umeshafeli. Imran Kombe alikuwa ana nguvu kama mungu mtu, vile. Moja ya chanzo cha kupitisha sheria ya usalama wa taifa ya mwaka 1996 ilikuwa ni malalamiko kwamba idara inaendeshwa kimajungu na kihuni-huni tu bila uwajibikaji wowote ule.

Jambo ambalo linashanganza ni kwamba sheria ya mabadiliko ya mwaka 2023 imeturudisha kulekule kwenye Pre-1996 ambako TISS haina Civilian Oversight, ati DGIS hawajibiki kwa MINISTER OF STATE na CHIEF SECRETARY, kwamba wao wanajifanyia tu wanachotaka kama ilivyo CIA. Wamepewa kinga (Immunity) na wanaruhusiwa kutengeneza (Paramilitary Forces) ambazo zitakuwa na makomandoo, wanajeshi na polisi.

Jeshi tayari tunalo, polisi tunao, hizi Paramilitary Forces za nini ?
Tena siku wameenda mbali kuwaruhusu kumiliki silaha wakiwa kweny kazi.

INA MAANA SASA:
-TISS watafanya operesheni na hakuna anayejua.
  • Watapanga bajeti na CHIEF SECRETARY wala MINISTER OF STATE hafahamu.
  • Watafanya Operesheni kubwa kwa idhini ya DGIS bila Civilian Oversight.

Huu ujinga hata World Class Intelligence Organisations kama CIA, MI6 na MSS uliwashinda. Shirika la kijasusi kuendeshwa bila Civilian Oversight is a recipe for disaster. Ubaya zaidi hata kwa bunge hawawajibiki, wanawajibika kwa Raisi. Siku nchi inatawaliwa na wahuni, unadhani kitatokea nini ?
 
Kina Siyovelwa na Kisumo walipoua watu kule Kanda ya Ziwa walikuwa na shida gani kwa taifa wale Wasukuma ?

Kina Mwalulesya na Chipaka wanavyowekwa kizuizini na kuharibiwa maisha walikuwa na uhatari gani kwa usalama wa nchi ?

Mtoto wa Kambona alipigwa risasi kule Uingereza bila sababu za msingi, kama ambavyo Kagame anafanya leo hii. Mtoto alikuwa ni tishio gani sasa ?

Ni ROHO MBAYA TU ambayo kama hatutakubali kujifanyia tathmini na kubadilika, kesho unaweza ukawa ni wewe. Mwalimu kuna mahala alipatia na kuna sehemu alivurunda mno kutengeneza A Cult of Personality na kuilinda kwa gharama yoyote ile.​
 

Msikilize Sheikh Mwaipopo utamweleza zaidi.
 
K

Kwa hiyo imekuwa swala la utamaduni, sasa tuendeleze utamaduni wetu au inatosha kwa sasa?
 
Hayati ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…