"Ni Tanzania tu utasikia biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi" Yerico Nyerere

Ccm itakuwa imehongwa na tajiri fulani ili mradi uahindikane wampe Tajiri auendeshe.
 
Wakandarasi wa mchongo hao wamelirudisha taifa nyuma.
 
Wakandarasi wa mchongo hao wamelirudisha taifa nyuma.
 
Ebu mwambie , halafu huo umati wanaouacha, si wangeongeza mabasi ili waweze kumaximize profits
Tanzania ukiona mradi fulani umevurugika kimagumashi, tambua kwamba hapo kuna pesa ndefu sana zinaingia, na wale jamaa wanazimendea kwa ulafi.
 
Mbona daldala na mabasi ya mikoani hazijafilisika? Kwa nini iwe mwendo kasi pekee?
 
Nchi inakosa national economic strategic planners kila mtu anakimbilia siasa tu.
Wewe hujui kwamba kuna mtu akiishiwa anaenda kukopa ktk huo mfuko na kurudisha kwake kwa mbinde. Nchi nyingine hasa Marekani nilisoma mahala serikali pia huwa inakopa ktk mifuko hii ila inarudisha mkopo haraka ili MFUKO USIYUMBE KUTUMIKIA WANAMFUKO. HAWA NA NSSSF wanapata shida za kutoa pesa zao kwa mikopo. KWA NINI WASIWEKEZE UTT?
 
Anayepanga hizo nauli ni nani
 
Inabeba abiria wangapi kwa ruti 1 na inatumia lita ngp ktk hiyo ruti 1?? Sidhani kama hii ni sababu
 
Hizi ngoma wapewe jkt kuzisimamia. Hawa wengine malofa ya mkapa tu.
 
Basi la mwendokasi kutoka kimara mpaka posta au makumbusho linatumia lita ngapi?,linabeba watu wangapi?.Kwanini kwa umbali huo huo kwa wamiliki wa mabasi binafsi wanapata faida?.Mkuu acha kuwasaidia wezi wa nchi hii.
 
Inabeba abiria wangapi kwa ruti 1 na inatumia lita ngp ktk hiyo ruti 1?? Sidhani kama hii ni sababu
Yaani you have nailed it.Hizo ndizo urgument za critical thinker.Kwa jinsi alivyoandika hesabu zake huwezi kutoa kitu angesema basi moja linabeba abilia wangapi? na linatumia mafuta kiasi gani?linapiga kwa siku root ngapi to na fro na yako mabasi mangapi katika njia zoote za mwendokasi. Na hapo aseme jumla ya mapato toa ya mafuta na ghalama za uendeshaji utabakia na faida kubwa sana. Sema tatizo hiyo fedha hahifiki hatua ya mwisho inapotelea njiani.
 
Mimi kama nitapewa fursa naweza kusaidia namna ya kuendesha hiyo biashara Ikawa na mafanikio
 
Muulize kwanza unajua maana ya kumaximize profit? Msije mkawa mnampigia gitaa.
Kweli kabisa tusije tukawa tunaongea lugha ya kigeni kwake. Labda kwa faida yake na kwa ishu tajwa. Ukiwa na basi moja ukapata faida ya shillingi 50,000/= kwa siku. Unaweza kuongeza trip kama inawezekana kuanza mapema na kumaliza late, utapata zaidi kati ya 50,000-100,000 hapo umemaximize profit kwa kuongeza approaches. Sasa kama unawateja wa kumwaga, njia nyingine ya kumaximize profit ni kuongeza mabasi, tena hapa kwa kila basi utaongeza 50,000/= yakiwa kumi itakuwa 500,000/=kwa siku ,hapa unakuwa umemazimize profits kwa kuongeza intervention.Sasa hawa mabwana Mh ....
 
Cha kufurahisha wanao ongoza mwendokasi wamesoma Hadi PhD.
Mangi mmoja mwenye elimu ya kuunga unga, anaushindani, analipa Kodi zote, anatoa pesa ya kiwi kwa trafik kila mwaka anaongeza mabasi mawili MAPYA.
PhD no new buses since 2016.
 
Mpina na tundu wametutonya ya kuwa uhaba wa sukari

imetengenezwa makusudi ili jamaa na marafiki wapewe vibali vya sukari
Sukari tena mbovu iliyo expire

tunainunua tsh 600 karibia 300% ya bei halisi alafu serekali ceremoniously inakenua

Kuna shida kubwa kwenye bongo za watawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…