"Ni Tanzania tu utasikia biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi" Yerico Nyerere

"Ni Tanzania tu utasikia biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi" Yerico Nyerere

Tofauti yetu na sis na wazung ni hii sio kwamba wao ni smart Sana hapana yaan ratio ya u smart wao ni 10:3
Wakati sis ratio ya u u mart wetu ni 10:7
Kwa nn sis tunawaona wao Wana akili kuliko sis?
Wale smart ndio wanapewa nafasi za kuwaongoza wale wajinga ndio mana wote wanaonekana ni smart wakati Africa
Wale wajinga ndio tunawapa nafasi ya kutongoza na ndio mana wote tunaonekana manyani
 
Attachments

  • FB_IMG_1718549909208.jpg
    FB_IMG_1718549909208.jpg
    49.4 KB · Views: 2
Unaweza ukajifanya mtaalamu kumbe hakuna kitu. Ebu tukuulize je wenye mabasi miaka ya 2016 si ndio haohao wanaendelea kuendesha mabasi mpaka leo mwaka 2024 ambapo mafuta ni 3000+ hiyo ni pamoja na daladala. Kumbuka hoja ya msingi kwa kutumia nauli hiyohiyo, kwa upendeleo aliopewa, kwa utitili wa wateja alio nao, kwa routes zinazolipa alizopewa alikuwa anatakiwa apate faida ya mabillioni na kuongeza mabasi mengine mara mbili ili kuongeza faida.Hilo ndilo swali la msingi, kapewa biashara inayolipa, hisiyo naushindani na yenye miundo mbinu mizuri kwa nini ameshindwa. Kuna nchi ukiwapa hii biashara , ni miezi sita tu utashangaa. Kwa hiyo tumeangalia vitu vyoote hivyo bro....
Huwezi kulinganisha namna ya uendeshaji wa daladala au basi za mkoani
Mbona daldala na mabasi ya mikoani hazijafilisika? Kwa nini iwe mwendo kasi pekee?
Kwa hiyo daladala zinaendeshwa kama mwendokasi au sio?
 
Unaweza ukajifanya mtaalamu kumbe hakuna kitu. Ebu tukuulize je wenye mabasi miaka ya 2016 si ndio haohao wanaendelea kuendesha mabasi mpaka leo mwaka 2024 ambapo mafuta ni 3000+ hiyo ni pamoja na daladala. Kumbuka hoja ya msingi kwa kutumia nauli hiyohiyo, kwa upendeleo aliopewa, kwa utitili wa wateja alio nao, kwa routes zinazolipa alizopewa alikuwa anatakiwa apate faida ya mabillioni na kuongeza mabasi mengine mara mbili ili kuongeza faida.Hilo ndilo swali la msingi, kapewa biashara inayolipa, hisiyo naushindani na yenye miundo mbinu mizuri kwa nini ameshindwa. Kuna nchi ukiwapa hii biashara , ni miezi sita tu utashangaa. Kwa hiyo tumeangalia vitu vyoote hivyo bro....
mwendokasi inaendeshwa tofauti na daladala au hata mabasi ya masafa kwa hiyo huwezi kulinganisha,
Hii ndo hoja ya msingi
 
Basi la mwendokasi kutoka kimara mpaka posta au makumbusho linatumia lita ngapi?,linabeba watu wangapi?.Kwanini kwa umbali huo huo kwa wamiliki wa mabasi binafsi wanapata faida?.Mkuu acha kuwasaidia wezi wa nchi hii.
Daladala haitoki sim2000 kama haijajaza level seat,
pia zikiwa njiani kama abiria ni wachache zinatembea mwendo wa Kobe kusanya abiria,
Na mchana dereva akiona hakuna abiria anapaki basi,
Ndo mana wanapata faida.
 
Huwezi kulinganisha namna ya uendeshaji wa daladala au basi za mkoani

Kwa hiyo daladala zinaendeshwa kama mwendokasi au sio?
Utofauti uko wapi? Mwendokasi wana uhakika wa kupata abiria kila siku tofauti na mabasi mengine ya abiria.
 
Utofauti uko wapi? Mwendokasi wana uhakika wa kupata abiria kila siku tofauti na mabasi mengine ya abiria.
hata mabasi mengine yana uhakika wa kupata abiria, na daladala akiona akina abilia anapaki basi hasa mchana
 
Biashara ni usimamizi mzuri. Hata hivyo Rais anajitahidi kila leo kuhakikisha mashirika ya umma yanasimamiwa vizuri. Atafanikiwa. Tumsaidie
 
Tofauti yetu na sis na wazung ni hii sio kwamba wao ni smart Sana hapana yaan ratio ya u smart wao ni 10:3
Wakati sis ratio ya u u mart wetu ni 10:7
Kwa nn sis tunawaona wao Wana akili kuliko sis?
Wale smart ndio wanapewa nafasi za kuwaongoza wale wajinga ndio mana wote wanaonekana ni smart wakati Africa
Wale wajinga ndio tunawapa nafasi ya kutongoza na ndio mana wote tunaonekana manyani
Nakubaliana na wewe, Niko na rafiki yangu mmoja mjerumani aliniambia sawa na ulichosema, ikiwa umeoa mke smart kuliko wewe, mkeo ataenda kazini mwanaume utabaki home ukilea watoto.
 
Cha kufurahisha wanao ongoza mwendokasi wamesoma Hadi PhD.
Mangi mmoja mwenye elimu ya kuunga unga, anaushindani, analipa Kodi zote, anatoa pesa ya kiwi kwa trafik kila mwaka anaongeza mabasi mawili MAPYA.
PhD no new buses since 2016.
Yaani umetoa mifano mizuri sana, kwamba watu binafsi wanamalipo lukuki lakini wanafanya bussiness expansion, hawa jamaa ni miaka zaidi ya mitano wanachukua mabillioni no new bussiness, no expansion , nothing
 
Tofauti yetu na sis na wazung ni hii sio kwamba wao ni smart Sana hapana yaan ratio ya u smart wao ni 10:3
Wakati sis ratio ya u u mart wetu ni 10:7
Kwa nn sis tunawaona wao Wana akili kuliko sis?
Wale smart ndio wanapewa nafasi za kuwaongoza wale wajinga ndio mana wote wanaonekana ni smart wakati Africa
Wale wajinga ndio tunawapa nafasi ya kutongoza na ndio mana wote tunaonekana manyani
Well said mkuu, small brains are leading big brains
 
Kwa nini eti umewatukana hao wanyama mwitu kiasi hicho?

Wafanyie heshima basi kwa sababu sioni kibaya anachofanya nyani na hao wanyama wengine, ikilinganishwa na matendo ya kushangaza na kuhuzunisha afanyayo kiumbe mwanadamu.
😂😂😂 kumaanisha kutufananisha na nyani ni kuwakosea heshima nyani.
 
Kama nchi yako wasomi wote wanakimbilia siasa basi ujue Kuna tatizo kwenye royal tour yule mzungu yupo na mama Samia shuleni aliposoma mama anauliza swali "nani anataka kuwa rais" darasa Zima wakanyoosha vidole mzungu akasema hapa Kuna tatizo.
🤣🤣🤣🤣 uminivunja mbavu
 
Utofauti uko wapi? Mwendokasi wana uhakika wa kupata abiria kila siku tofauti na mabasi mengine ya abiria.
Inaonekana jamaa hajasoma andiko vizuri. Andiko limejikita kwa kuelezea advantage kubwa waliyonayo hawa wenzetu wa Mwendokasi (unaparallel advantages they have over other provates busses owners) halafu eti anasema uendeshaji wa basi binafsi hatuwezi linganisha na wa mwendokasi. Watu wengine bwana.
 
Yaani you have nailed it.Hizo ndizo urgument za critical thinker.Kwa jinsi alivyoandika hesabu zake huwezi kutoa kitu angesema basi moja linabeba abilia wangapi? na linatumia mafuta kiasi gani?linapiga kwa siku root ngapi to na fro na yako mabasi mangapi katika njia zoote za mwendokasi. Na hapo aseme jumla ya mapato toa ya mafuta na ghalama za uendeshaji utabakia na faida kubwa sana. Sema tatizo hiyo fedha hahifiki hatua ya mwisho inapotelea njiani.
Kwa nini Tanzania hatupendi kutumia cashless.
Kwa nini kusiwepo application ya Mwendokasi iliyounganishwa na mpesa au Bank mtu anatumia simu au kadi kuscan akiingia kwenye BRT system. Hela inaingia kwenye account moja na kunakuwepo na Dashboard kuonyesha hela gani inaingia? Baada ya kila mwezi inatolewa hela kidogo ya kufanya service magari. Kwa Nini wanagangania kuchana maticket?
Lakin itakuwa hata viongozi wa juu wa serikali wanahusika maana hakuna anayejali.
Yan mtu ni waziri wa Tamisemi unalala unaamka kila siku kwa amani kabisa wakati mambo unayosimamia hayaendi hata kidogo
 
😂😂😂 kumaanisha kutufananisha na nyani ni kuwakosea heshima nyani.

Mimi nimemuelewa anachosema lakini hayo maneno siyo ya kwa ngu ni quotation ya Yerico Nyerere .Ila nakubaliana naye kwamba kwa uchafu,ujinga, upuuzi tunaofanya sisi baadhi ya watanzania tuliopewa vyeo na mamlaka ya kuendesha mali za umma ni matendo mabaya, machafu, ni matendo ya urafi, ubinafsi na yanatia kinyaa kiasi ambacho hata hawa wanyama hawawezi kuyafikia hata robo na wala hawawezi hata kufikria kuyatenda.

Sisi ni wabaya zaidi ya wanyama hawa wa msituni kwa kweli,yaani hawawezi kutendeana mabaya kama sisi. Kweli kulinganisha sisi na wanyama hawa wema ni kuwakosea heshima. Kwa hapo napenda kuwaomba samahani wanyama hawa, wanyama wa msituni, nyani, tumbili, sokwe etc kwa kulinganisha matendo yao na ya hawa baadhi ya viongozi.Tumewazidi mbali sana kwa ubaya. Ndio maana wakasema ni bora umtunuku mbuzi utakula nyama yake kesho kuliko binadamu , malipo yake ni machungu. Tumewaamini, tumewapa madaraka watuongoze, watuonyeshe njia na wagawe mapato na rasilimali kwa ustawi wa jamii yetu. Cha kushangaza wanachofanya ni kujirundikia mali na mapato yote
 
Kwa nini Tanzania hatupendi kutumia cashless.
Kwa nini kusiwepo application ya Mwendokasi iliyounganishwa na mpesa au Bank mtu anatumia simu au kadi kuscan akiingia kwenye BRT system. Hela inaingia kwenye account moja na kunakuwepo na Dashboard kuonyesha hela gani inaingia? Baada ya kila mwezi inatolewa hela kidogo ya kufanya service magari. Kwa Nini wanagangania kuchana maticket?
Lakin itakuwa hata viongozi wa juu wa serikali wanahusika maana hakuna anayejali.
Yan mtu ni waziri wa Tamisemi unalala unaamka kila siku kwa amani kabisa wakati mambo unayosimamia hayaendi hata kidogo
Huu ni mradi wa wakuu, ni mkusanyiko wa watunga sera na watendaji waliowachangua. Sio kwamba hawajui uwepo wa cashless approaches, wanajua kabisa,kwani malipo ya serikali tunafanya vipi? ila lazima walazimishe kubakia kwenye cash transaction kwa sababu hapo ndipo watatoa ticket zao asilimia 60% na kubakiza ticket halali asilimia 40%. Kwa hiyo kila siku wanachukua asilimia 60% ya malipo yote, unafikiri ni kiasi gani hicho kwa siku
 
Inaonekana jamaa hajasoma andiko vizuri. Andiko limejikita kwa kuelezea advantage kubwa waliyonayo hawa wenzetu wa Mwendokasi (unaparallel advantages they have over other privates busses owners) halafu eti anasema uendeshaji wa basi binafsi hatuwezi linganisha na wa mwendokasi. Watu wengine bwana.
 
Inaonekana jamaa hajasoma andiko vizuri. Andiko limejikita kwa kuelezea advantage kubwa waliyonayo hawa wenzetu wa Mwendokasi (unaparallel advantages they have over other provates busses owners) halafu eti anasema uendeshaji wa basi binafsi hatuwezi linganisha na wa mwendokasi. Watu wengine bwana.
Inawezekana baadhi ya wachangiaji ni wahusika wa hayo madudu!
 
Kosa namba moja ni kujaribu kufanya mwendokasi iwe “for profit.” Huko tunapowaiga, makampuni ya mabasi, matreni na ferry mijini siyo for profit. Yapo designed kutoa huduma na ajira. Kwa sehemu kubwa yanaendeshwa kwa kodi na subsides nyingine toka serikalini.
Makampuni sampuli ya mwendokasi, kikawaida uaga hayaingizi faida au kama yakiingiza ni kidogo sana. Njia pekee ya kuingiza faida ni kuendesha kampuni kwa modal ya daladala, vinginevyo hakuna kitu.

Tatizo ni hilo hilo pia huko NHIF, kwanza nchi nyingine dunaini, healthcare ni public/government run. Kosa lilianza hapo kujaribu kutaka watu wanunue sijui bima na blah blah nyingine…kwanza kwa uchumi gani walio nao watanzania wa kuwa na ubavu wa kununua bima za afya?
Ukiondka Marekani kwa nchi za magharibi/zilizoendelea na nchi nyingine kama 40 hivi za pembezoni, huduma za afya ni public run au serikali zinabeba pakubwa kuziendesha.
Kuanzishwa kwa NHIF ilikuwa janja janja tu ya serikali kuwatishwa wananchi majukumu ya serikali. Nina amini walijua/wanajua kuwa mwishowe NHIF lazima ife, watanzania watabaki na makampuni binafsi ya bima za afya. Hapo ndipo watu watajua kwanini hata huko Marekani, kuna wanasiasa kama Bernie Sanders wana fight pawe na single payer/public option au system kama ya NHS ya UK.
Kaka umesomea wapi?
Umenitisha kwa kusema mwendokasi haitakiwi kupata faida na ku reinvest hiyo profit ili wapanue huduma mpaka Gingo la mboto, na Bunju na Chalinze ikiwezekana wakafungue hii huduma Tabora, TANGA na Moshi.
 
Back
Top Bottom