Ni ubabaifu mwanaume kulilia mali za mwanamke katika talaka. Kesi ya talaka ya Fatma Karume ina masomo muhimu sana

Kwa TZ pre-nup hazitambuliki kisheria...they are unenforceable...
 
Kwa TZ pre-nup hazitambuliki kisheria...they are unenforceable...

Wananchi wanapaswa wailazimishe Serikali ihalalishe jambo hili kwa kuliingiza kwenye Sheria za nchi.

Kwa sasa hivi, kutokana na Sheria za nchi hii jinsi zilivyo ni vigumu Sana kwa Mwanandoa (hususani Mwanaume) kuweza kuithibitishia Mahakama kwamba mali fulani fulani ni zake peke yake na amezichuma yeye mwenyewe peke yake binafsi bila ya kumhusisha mwenza wake. Wanaume wengi sana wamekuwa wakidhulumiwa mali zao na Watalaka wao wa kike kwa kupitia njia hii.
 
Hakuna wanawake wa namna hii unaowazungumzia hapa mkuu, leo hii hawapo.
 
Ila kuna watu wana roho ngumu. Yaani kabisa unaenda kuoa Fatuma Karume? Kama anabishana na serikali na vyama, wewe itapona?

hahahahaha, dah nimecheka sana.
Hao wanatype zao huwa wanatulia kabisa na kuwa wajinga kabisa.

Binafsi, nikiweka ndani huyo anatulia kabisa na hata kunipikia msosi na kuvaa dela bila kitu akiwa pembeni yangu, hao huwa wana namna zao za kibabe zakwenda nao.
 
wasenge tu, mwanamke hata akiwa anapika ugali na kuangalia tamthilia tu nyumbani mkiachana mahakama inataka apewe 50% ya mali zote.
Hapana kaka, wanaangalia mchango wa mwanamke husika. Wadada wengi mjini pia wamelizwa kwa hayo matarajio. Haiwezekani mume ndio anasimamia show kila kitu afu upewe pasu kwa pasu. Haipo hivyo, unless wote walikuwa wakichangia kwa usawa.
 
Uyo nae limbukeni, ngoja aje rais kichaa kama wa marekani watubadilishie hizi sheria uchwara.
Sio rahisi kubadirisha huo mfumo huku kwetu hadi sisi wenyewe Wanaume tuoneshe hatuutaki.

Kama ndiyo kwanza tunaona sawa hayo mambo ya 50/50 basi hata kwenye mgawanyo wa Mali Mahakamani itakuwa 50/50 hata kama mke alikuwa Mama wa nyumbani tu
 
Unaongelea wa mama wa kizazi gani wewe??Hiki ambacho ukioa tu kesho mnaleta house girl - ndo abayefanya hizo kazi zote kuamka saa 11 asubuhi kulala saa tano. Kama mnawatoto, yeye ndo ana-amka kuwaandaa na kila kitu???
Ukimchokonoa KE juandae kuandikiwa gazeti. Wanahisia mno mpk wanatoka nje ya key. Issue ni mgawanyo wa mali; na kwa hili usitegemee KE waseme ni 50/50
 
Kuna haja gani ya kuolewa kama una matarajio ya kuachika baadae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…