Ni ubabaifu mwanaume kulilia mali za mwanamke katika talaka. Kesi ya talaka ya Fatma Karume ina masomo muhimu sana

Ni ubabaifu mwanaume kulilia mali za mwanamke katika talaka. Kesi ya talaka ya Fatma Karume ina masomo muhimu sana

Ila sisi wanaume dah, unawezaje kumuoa Fatma? Hivi atakupa mdinyo kweli yule!!
Punguza Uoga Mkuu, Hao wana Namna ya kwenda nao mimi fantasy yangu ni hao wanawake High Profile na Nimesha manage art ya kwenda nao, Huyo utamuona Public anaongea sana Ila akija Room anatulia na bikini anavaa kabisa na Ugali anapika na anakuwa Mdada Mzuri tu
 
wasenge tu, mwanamke hata akiwa anapika ugali na kuangalia tamthilia tu nyumbani mkiachana mahakama inataka apewe 50% ya mali zote.
Ndo maana mi huwa nauza mapanga yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei chee,...musisite kuniungisha🙏🙏
 
Hivi huyu anaweza kuwa romantic kwa bd kweli?
Kwa nini asiwe? Kila binadamu ana awamu zote ati:

1740495302070.jpeg
 
Punguza Uoga Mkuu, Hao wana Namna ya kwenda nao mimi fantasy yangu ni hao wanawake High Profile na Nimesha manage art ya kwenda nao, Huyo utamuona Public anaongea sana Ila akija Room anatulia na bikini anavaa kabisa na Ugali anapika na anakuwa Mdada Mzuri tu
Ulidate nae/one night stand au ulioa? Maana one stand,hawa wanapigwa sana mashine na wengi issue ni kuwaoa.
 
Punguza Uoga Mkuu, Hao wana Namna ya kwenda nao mimi fantasy yangu ni hao wanawake High Profile na Nimesha manage art ya kwenda nao, Huyo utamuona Public anaongea sana Ila akija Room anatulia na bikini anavaa kabisa na Ugali anapika na anakuwa Mdada Mzuri tu
Na mpipi anaulilia watu waoga sana !
 
Chumo la ndoa ni utapeli.., ndoa haichumi, anae chuma ni mwanaume au mwanamke, sio ndoa.., kila mtu apewe kilicho kwenye jina lake..
Kuna funzo hapa.

Wanandoa tarajali kusainiana Mikataba ya Kusajili Mali zao (Pre-nuptial Contract) ni muhimu sana katika maisha ya Sasa.
Pre-nuptial Contract will help to avoid the problem of the Marriage Conemanship in case of divorce like this.

Ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba kiuhalisia Wanaume wenyewe huwa wanakuwa chanzo cha matatizo yote haya ya wao kutapeliwa au kudhulumiwa mali zao kwenye masuala haya ya talaka.

Kwa kawaida mgawanyo wa mali kwenye talaka huwa unagusa mali zile tu ambazo ni 'Chumo la Ndoa,'(Matrimonial Property). Kama Mwanandoa wa kike naye alichangia kwenye suala la upatikanaji wa mali husika, sioni tatizo lolote lile na yeye akipewa Haki yake katika mchakato mzima wa mgawanyo wa mali wakati wa talaka.
 
Back
Top Bottom