hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifika page ya 3 huko wanaume wenye iphone wataanza kuchambwa
Uko sahihi wala hujakosea uko sahihi kabisa ila waigizaji wa maisha watakupinga na kukuita una wivu.Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la tech lina wadau wachache,
Matumizi ya simu ni kupiga simu, kuchati, kusikiliza muziki, kurushiana connection, kujiweka filter, n.k. THATS IT !! Nje ya hapo maybe ile mikwara mbuzi ya kutumia kitambi kusafisha screen.
On average unaweza kupata simu itayokidhi matumizi yako kwa bajeti ya laki 3 - 5 lakini tunaelewa kuna watu wanataka simu zenye majina makubwa, zisiwe outdated sana, camera nzuri, n.k. katika hali hio bajeti ya laki 6 hadi milioni 1 unaweza kupata mashine ya viwango.
Unanunua simu ya bei mbaya kioo kikipasuka uambiwe milioni 1 jasho linaanza kukutoka, umefosi.
Navyoona hizi simu za milioni 1 na laki kadhaa, milioni 2, milioni 3, n.k. maybe ni kwa celebrities wanaojiongeza kwenye kujibrand, wakuu wa taasisi nyeti wanao mingle international levels, matajiri, n.k.
WATANZANIA WENGI HAWAPIGI HATUA KWASABABU YA TAMAA YA KUISHI MAISHA YANAYOWAZIDI WANAPOPATA VIJISENTI BADALA YA KUWEKEZA & KUSAVE.
Usipangie wenzio, ishi kwa uwezo wako. Milioni ni pesa kama ilivyo 100,000 au 10,000 kwa mwingine.Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la tech lina wadau wachache,
Matumizi ya simu ni kupiga simu, kuchati, kusikiliza muziki, kurushiana connection, kujiweka filter, n.k. THATS IT !! Nje ya hapo maybe ile mikwara mbuzi ya kutumia kitambi kusafisha screen.
On average unaweza kupata simu itayokidhi matumizi yako kwa bajeti ya laki 3 - 5 lakini tunaelewa kuna watu wanataka simu zenye majina makubwa, zisiwe outdated sana, camera nzuri, n.k. katika hali hio bajeti ya laki 6 hadi milioni 1 unaweza kupata mashine ya viwango.
Unanunua simu ya bei mbaya kioo kikipasuka uambiwe milioni 1 jasho linaanza kukutoka, umefosi.
Navyoona hizi simu za milioni 1 na laki kadhaa, milioni 2, milioni 3, n.k. maybe ni kwa celebrities wanaojiongeza kwenye kujibrand, wakuu wa taasisi nyeti wanao mingle international levels, matajiri, n.k.
WATANZANIA WENGI HAWAPIGI HATUA KWASABABU YA TAMAA YA KUISHI MAISHA YANAYOWAZIDI WANAPOPATA VIJISENTI BADALA YA KUWEKEZA & KUSAVE.
hamna mtu asiyependa vtu vzuri sema ni kwamba watu hawana hela , sasa utanunuaje simu ya million 3 wakat kwako maisha tia maji tia maji , kwanza kwa michongo ya sa hv kumiliki simu mpak tatu ni jambo la kawaida sana na hapo unatakiwa uwe na simu yenye ram super efficiency , simu za namna hii haziuziwi kwa pesa ya ngama… utafelisha michongoWatz ni wanoko sana msipangie watu maisha arooo,
Kazi ya pesa ni kutumia, kama ipo tumia tu mkuu...Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la tech lina wadau wachache,
Matumizi ya simu ni kupiga simu, kuchati, kusikiliza muziki, kurushiana connection, kujiweka filter, n.k. THATS IT !! Nje ya hapo maybe ile mikwara mbuzi ya kutumia kitambi kusafisha screen.
On average unaweza kupata simu itayokidhi matumizi yako kwa bajeti ya laki 3 - 5 lakini tunaelewa kuna watu wanataka simu zenye majina makubwa, zisiwe outdated sana, camera nzuri, n.k. katika hali hio bajeti ya laki 6 hadi milioni 1 unaweza kupata mashine ya viwango.
Unanunua simu ya bei mbaya kioo kikipasuka uambiwe milioni 1 jasho linaanza kukutoka, umefosi.
Navyoona hizi simu za milioni 1 na laki kadhaa, milioni 2, milioni 3, n.k. maybe ni kwa celebrities wanaojiongeza kwenye kujibrand, wakuu wa taasisi nyeti wanao mingle international levels, matajiri, n.k.
WATANZANIA WENGI HAWAPIGI HATUA KWASABABU YA TAMAA YA KUISHI MAISHA YANAYOWAZIDI WANAPOPATA VIJISENTI BADALA YA KUWEKEZA & KUSAVE.
Aina gani hiyo mkuu?Uko sahihi wala hujakosea uko sahihi kabisa ila waigizaji wa maisha watakupinga na kukuita una wivu.
Mimi shughuli zangu zinahitaji simu muda mwingi so nikanunua simu ya laki 6 ina features zote muhimu ninazozihitaji kuanzia spidi yake iko vizuri,Camera iko vizuri haina ukungu hata kidogo na ina uwezo wa kuzoom kitu kutoka umbali wowote na kuicapture.
Sasa mtu unamiliki simu ya milioni 3 halafu umepanga kwenye geto la elfu 40 ni kwa nini hiyo pesa usingenunua kiwanja uanze ujenzi polepole.
Note 20 nilinunua mwaka juzi hadi leo bado inapiga kaziAina gani hiyo mkuu?
Mimi nikiwa na simu ya milioni 3 lakini nakula mlo mmoja au nalala chini inakuhusu nini wewe?? Husika na maisha yako yangu hayakuhusuhamna mtu asiyependa vtu vzuri sema ni kwamba watu hawana hela , sasa utanunuaje simu ya million 3 wakat kwako maisha tia maji tia maji , kwanza kwa michongo ya sa hv kumiliki simu mpak tatu ni jambo la kawaida sana na hapo unatakiwa uwe na simu yenye ram super efficiency , simu za namna hii haziuziwi kwa pesa ya ngama… utafelisha michongo
Hizo ni akili za kitoto na upumbavu unawasumbuaHajawapangia maisha ila ameongelea kua huo ni uzwazwa