Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya Wapalestina kwa kudhani wanaouliwa ni Waislam

Na Kwa nini ufurahie mtu kuuwawa tena asiye na hatia?
Haya maneno mbona hatukuyasikia pale HAMAS walikuwa wanawaua wa Israel na kutamka Allah Akbar?
Hebu acheni unafiki bana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa hao HAMAS ni freedom fighters Gani ambao badala ya kuleta uhuru Kwa wapalestina ndo kwanza wanawaletea majanga zaidi ?.Sasa tazama Leo hii wapalestina wanaambiwa watoke kwenye nchi yao na kwenda wanapopajua wao kisa haohao wapigania uhuru wao HAMAS. Hapo hasara Kwa nani?
 
Kiuhalisia kuna uonevu unaoonekana kwa Wapalestina.
Ukiangalia ramani ya zamani Palestina ilikuwa kubwa Israel ndogo
Saivi ukiangalia ramani Israel in 89% Palestina 11% kitu ambacho sio haki
Mtaka yote Kwa pupa hukosa yote. Mwanzoni ugawanyaji ulifanyika Kwa kuzingatia population yao Tena chini ya usimamizi wa UN. Wao hawakutaka kukubali ugawanyaji huo na kuamua kuingia kwenye mapambano ya vita na Israel. Matokeo ya vita nafikiri unayajua mojawapo ni eneo lako linaweza kuongezeka au kupungua kimipaka hiyo itatokana na ushindi au kupigwa .πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee ndo kwaaaanza kume kucha kipigo heavy kinakuja yaani nyumba kwa nyumba mlianza wana maliza mpaka Gaza yote itabaki magofu tupu


period!!!.
 
Wewe mkiristo unafurahia waislamu kuuliwa. Lkn jua vita hivi mwisho ushindi upo kwa waislamu
Halijawahi tokea taifa lolote linaloabudu Allah kulishinda katika vita taifa la Israel linaloabudu Yehova . Kama lipo litaje taifa Hilo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kujenga makazi ya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza kumehusishwa na kuhamishwa kwa Wapalestina na kuongezeka kwa idadi ya wakimbizi. Kuanzia mwanzoni mwa karne ya 20, uhamisho wa Wapalestina kutoka kwenye ardhi yao iliyokuwa ikikaliwa na Waisraeli ulianza kutokea na kuongezeka hasa baada ya Vita vya 1948 (Vita ya Uhuru wa Israel) na Vita vya 1967 (Vita vya Siku Sita).

Baadhi ya Wapalestina walilazimishwa kuhama au wakakimbia makaazi yao kwa sababu za kijeshi au kisiasa, na hivyo kuwa wakimbizi. Idadi kubwa ya wakimbizi Wapalestina wanaishi katika kambi za wakimbizi katika nchi za jirani, kama vile Lebanon na Yordani, au wanajumuisha vizazi vingi vilivyoishi uhamishoni.

Hii imekuwa suala kubwa katika mzozo wa Israeli-Palestina na limesababisha mvutano mkubwa katika jitihada za kutafuta suluhisho la mzozo huo. Uhamisho wa Wapalestina na suala la wakimbizi ni moja ya masuala muhimu yanayozungumziwa katika mazungumzo ya amani na jitihada za kutafuta suluhisho la kudumu.

Kitendo cha kufanya Taifa moja hawa lazima warudi nchini kwao, kitendo cha kurudi itabidi wawe na makazi, watafikia wapi? je wakirudi uoni kabisa Waisrael wakimezwa na kuwa wachache na majority kuwa Wapalestina? hizo story za Netanyau ni sawa na za juzi za kusema Rocket ya Hamas ilifail nakupiga Hospital tu kumbe wao wayahudi ndiyo walipiga.
 
Haya maneno mbona hatukuyasikia pale HAMAS walikuwa wanawaua wa Israel na kutamka Allah Akbar?
Hebu acheni unafiki bana πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna mtu mwenye akili timamu atashangilia kuua watu wasio na hatia
 
1937 Palestina is under colonial government , stoo propaganda
Lazima ushangae akili yako imejaa ushabiki tu naona unaandika magezeti bila data zozote weke ushahidi kama mimi chukua hii upate darsa murua..

By the time Britain conquered Palestine at the end of 1917, it had made several conflicting agreements to gain support from various groups in the Middle East. These included: the Husayn-McMahon Correspondence (1915-1916), a series of letters exchanged during World War I in which the British government agreed to recognize Arab independence after the war in exchange for Husayn ibn Ali, King of Hejaz (c. 1853-1931) launching the Arab Revolt against the Ottoman Empire; the Sykes-Picot Agreement (1916), which divided the Middle East into British and French spheres of influence; and the Balfour Declaration (1917), in which the British government committed itself to a β€œnational home” for the Jewish people.

Before the British occupation, Palestine was part of Ottoman Syria. The British army ruled Palestine until a civil administration was established on 1 July 1920. Britain was granted a Mandate for Palestine on 25 April 1920 at the San Remo Conference, and, on 24 July 1922, this mandate was approved by the League of Nations.

The British were given a "dual mandate", that is, on behalf of Palestine’s inhabitants on the one hand, and on behalf of "international society" on the other. The Balfour Declaration was incorporated into the preamble and second article of the Mandate for Palestine. Britain thus also had a "dual obligation" towards both Arabs and Jews. While the mandate included the main parts of the Balfour Declaration, such as the proclamation of support for a Jewish national home, under the mandate’s terms Britain had an obligation to conduct its policy in Palestine in accordance with the needs of both Jews and Arabs. This included creating political, administrative and economic conditions that would facilitate the independent rule of the communities under British control. These objectives were an integral contradiction in the mandate.

The British determined the borders of Palestine according to other agreements they had made with their allies. For example, they transferred the eastern bank of the Jordan River to the control of Abdullah ibn Husayn (1882-1951) of the Hashemite dynasty and appointed him King of Jordan in recognition of his support during the war.
 
Halijawahi tokea taifa lolote linaloabudu Allah kulishinda katika vita taifa la Israel linaloabudu Yehova . Kama lipo litaje taifa Hilo πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanini Israel miaka yote anasaidia na America, Uk; France na silaha kubwa wanazo. Lkn juzi wametekwa kama anakamatwa kuku ktk kibanda chake?
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu atashangilia kuua watu wasio na hatia
Kwa hiyo wale HAMAS walikuwa wanasherehekea kuua waisrael wasio na hatia walikuwa hawana akili timamu ?.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hiyo wale HAMAS walikuwa wanasherehekea kuua waisrael wasio na hatia walikuwa hawana akili timamu ?.πŸ˜‚πŸ˜‚
Israel kaua sana wapelestina miaka yote . Juzi kidogo kaguswa yeye America analia
 
Umeona tu wanavyoshangilia wapalestina kufa ,lakini waliposhangilia wayahudi kufa hukuona kabisa .
Wapalestina waliofanya mauaji huko Israel ni waislamu, walifanya hivyo kwa malengo ya kidini.
Gharama ya vita ni umwagiji wa damu, hakuna mna.unaweza kuzuia watu kufa.
 
Kwanini Israel miaka yote anasaidia na America, Uk; France na silaha kubwa wanazo. Lkn juzi wametekwa kama anakamatwa kuku ktk kibanda chake?
Waisrael wanamsemo wao " kubali kushindwa pambano lakini KAMWE usikubali kushindwa vita" .
HAMAS waliposhinda pambano wakajua wameshinda vita . Kiichofuata wote mashahidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waisrael wanamsemo wao " kubali kushindwa pambano lakini KAMWE usikubali kushindwa vita" .
HAMAS waliposhinda pambano wakajua wameshinda vita . Kiichofuata wote mashahidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kilichotokea tunaona nchi za magharibi silaha na jeshi lote linatapigana dhidi ya Hamas wanaotumia silaha za jadi. Hadi leo wanabomoa nyumba na kuua watoto lkn jeshi la hamas halijaguswa. Allah akbar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…