F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,677
- 4,959
Haya maneno mbona hatukuyasikia pale HAMAS walikuwa wanawaua wa Israel na kutamka Allah Akbar?Na Kwa nini ufurahie mtu kuuwawa tena asiye na hatia?
Hebu acheni unafiki bana 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maneno mbona hatukuyasikia pale HAMAS walikuwa wanawaua wa Israel na kutamka Allah Akbar?Na Kwa nini ufurahie mtu kuuwawa tena asiye na hatia?
Kuongea HIVYO ni makosa makubwa sana,Hilo vugu vugu kutulia haikuwa na maana kwamba Hamas waliweka Silaha chini la hasha,kumbuka IDF imekuwa inaendelea na shughuli za illegal occupation kila mara Kwa kustukiza na taarifa zilikuwa zinaripotiwa mara Kwa mara sema mmeamua kuchagua upande wa kushabikia.
Unashangaza kulaani Hamas na kuwaita magaidi huku IDF mkiwaacha na kusema walinda amani wa Israel ni makosa makubwa sana.
Hamas siyo magaidi Kwa kuwa ni taasisi kamili ambayo Ina uwakilishi ndani ya serikali na Ina wabunge wake na utawala wake,unaowaita wewe magaidi ni freedom fighters Kwa wenzako tambua hilo
Mtaka yote Kwa pupa hukosa yote. Mwanzoni ugawanyaji ulifanyika Kwa kuzingatia population yao Tena chini ya usimamizi wa UN. Wao hawakutaka kukubali ugawanyaji huo na kuamua kuingia kwenye mapambano ya vita na Israel. Matokeo ya vita nafikiri unayajua mojawapo ni eneo lako linaweza kuongezeka au kupungua kimipaka hiyo itatokana na ushindi au kupigwa .😂😂Kiuhalisia kuna uonevu unaoonekana kwa Wapalestina.
Ukiangalia ramani ya zamani Palestina ilikuwa kubwa Israel ndogo
Saivi ukiangalia ramani Israel in 89% Palestina 11% kitu ambacho sio haki
Mzee ndo kwaaaanza kume kucha kipigo heavy kinakuja yaani nyumba kwa nyumba mlianza wana maliza mpaka Gaza yote itabaki magofu tupuYou are talking about it like all of these things just started tarehe 7?
IDF kwani kuua wapelestine imeanza Leo?au kwani Hadi HAMAS inaanza kujiform na kuanza operation zake hujui kuwa chanzo chake ni Retaliation kwa forceful occupation ambayo IDF imekuwa inaendelea kuifanya??
So, Israel ndiyo pekee yenye Haki ya kuua wapelestine, wapelestine wakijibu mashambulizi wao ni magaidi siyo?
Au unataka wawe na siasa kama za Yasser Arafat au Mahmoud Abbas,watu wanauawa wao wanataka negotion table ambayo haijawahi zaa matunda na illegal occupation ikiendelea na vifo vikiongezeka siyo?
Dunia haiwezi kuwa hivyo.
Halijawahi tokea taifa lolote linaloabudu Allah kulishinda katika vita taifa la Israel linaloabudu Yehova . Kama lipo litaje taifa Hilo 😂😂Wewe mkiristo unafurahia waislamu kuuliwa. Lkn jua vita hivi mwisho ushindi upo kwa waislamu
Kujenga makazi ya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza kumehusishwa na kuhamishwa kwa Wapalestina na kuongezeka kwa idadi ya wakimbizi. Kuanzia mwanzoni mwa karne ya 20, uhamisho wa Wapalestina kutoka kwenye ardhi yao iliyokuwa ikikaliwa na Waisraeli ulianza kutokea na kuongezeka hasa baada ya Vita vya 1948 (Vita ya Uhuru wa Israel) na Vita vya 1967 (Vita vya Siku Sita).wanaokataa ni wapalestina sio waisrael , mbona Netanyau aliwai ongea kwenye documentary moja , na hata ss ndan ya israel wapo wapalestina $ waarabu wengi tu na lugha ya kiarab inatumika sana bila kikwazo chochote , kamsikilize aliye i kuwa mtoto wa moja wa viongoz wa hamas huko siku za nyuma
Hakuna mtu mwenye akili timamu atashangilia kuua watu wasio na hatiaHaya maneno mbona hatukuyasikia pale HAMAS walikuwa wanawaua wa Israel na kutamka Allah Akbar?
Hebu acheni unafiki bana 😂😂
Nyie ndio wale ukiibariki Israel umebarikiwa ukiilaani Israel umelaaniwa![emoji852],huu ni ujuha pro maxNi ujinga mlivyofurahia mauaji ya wayahudi waliouliwa kwenye sherehe 260 pia hammas waliua watoto wadogo kwa kuwachinja na kuwateka wayahudi
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Lazima ushangae akili yako imejaa ushabiki tu naona unaandika magezeti bila data zozote weke ushahidi kama mimi chukua hii upate darsa murua..1937 Palestina is under colonial government , stoo propaganda
Kwanini Israel miaka yote anasaidia na America, Uk; France na silaha kubwa wanazo. Lkn juzi wametekwa kama anakamatwa kuku ktk kibanda chake?Halijawahi tokea taifa lolote linaloabudu Allah kulishinda katika vita taifa la Israel linaloabudu Yehova . Kama lipo litaje taifa Hilo 😂😂
Halijawahi tokea taifa lolote linaloabudu Allah kulishinda katika vita taifa la Israel linaloabudu Yehova . Kama lipo litaje taifa Hilo 😂😂
Kwanini Israel miaka yote anasaidiwa na America, Uk; France na silaha kubwa wanazo. Lkn juzi wametekwa kama anakamatwa kuku ktk kibanda chake?expand...
Kwa hiyo wale HAMAS walikuwa wanasherehekea kuua waisrael wasio na hatia walikuwa hawana akili timamu ?.😂😂Hakuna mtu mwenye akili timamu atashangilia kuua watu wasio na hatia
Israel kaua sana wapelestina miaka yote . Juzi kidogo kaguswa yeye America analiaKwa hiyo wale HAMAS walikuwa wanasherehekea kuua waisrael wasio na hatia walikuwa hawana akili timamu ?.😂😂
Umeona tu wanavyoshangilia wapalestina kufa ,lakini waliposhangilia wayahudi kufa hukuona kabisa .Friends and Enemies,
Al Ahl Baptist church ni hospital ya kanisa ambayo imeanza operation Gaza tokea mwaka 1882,Hospital hiyo imeanzishwa na Church Mission Society Of England kipindi Hiko inatawala Gaza ,baada ya ukoloni 1954 hadi 1982 na kuendelea hospital hiyo imekuwa inaendeshwa na Episcopal church in Jerusalem ikitoa huduma za tiba Kwa wapelestine wakristo,waislam na wengine wengi waishio maeneo Hayo.
Hakuna justification ya aina yoyote katika kuua watu wasio na hatia bila kujali kuwa watu hao ni either WAPALESTINA au WAISRAEL au RACE ya aina yoyote ile,it's just plain and Crystal Clear that it's wrong.
Recently tumeona IDF wakishambulia hospital hiyo huko Gaza na muda mfupi baadae kukana kutohusika na shambulio Hilo ili Hali kila ushahidi unaonekana kuwa ni wao na Sasa wanajutia.
I will never understand this society,soma comments mitandaoni humu,even hapa JF na kwingine watu wanashangilia na kusema Israel ni Taifa la Mungu,hao wapelestine wameanzisha ugomvi wasiouweza so wauwawe tuh hao waislam.
Ndiyo kusema kwamba watu wanadhani kuwa wapelestine ni waislam? thinking that hakuna wakristo na watu wengine ambao wanauawa katika mgogoro huo?
HAMAS imechagua military strategy kama vile ambavyo IDF imechagua Military strategy katika occupation of Land,tukichagua kukemea umwagaji wa damu katika mgogoro huo basi tukemee Hilo on both sides,na kama wazo la two states solution ndiyo litaonekana kuwa ndiyo muaraboini basi jumuiya ya kimataifa Ingepaswa kuweka mkazo katika Hilo.
Damgharau ya kila mwanadamu Ina thamani haijalishi Imani yake, rangi yake wala asili yake.
Kila mtu anaabudu anachokiamini kwasababu hizo dini hapa Africa tuneletewaNinyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi.
Yohana 4:22
Kumbe kwako waliokuwa huko Israel ni kidogo tu,basi acha waume maana hata wapalestina wanakufa kidogo tu.Israel kaua sana wapelestina miaka yote . Juzi kidogo kaguswa yeye America analia
Waisrael wanamsemo wao " kubali kushindwa pambano lakini KAMWE usikubali kushindwa vita" .Kwanini Israel miaka yote anasaidia na America, Uk; France na silaha kubwa wanazo. Lkn juzi wametekwa kama anakamatwa kuku ktk kibanda chake?
Kilichotokea tunaona nchi za magharibi silaha na jeshi lote linatapigana dhidi ya Hamas wanaotumia silaha za jadi. Hadi leo wanabomoa nyumba na kuua watoto lkn jeshi la hamas halijaguswa. Allah akbarWaisrael wanamsemo wao " kubali kushindwa pambano lakini KAMWE usikubali kushindwa vita" .
HAMAS waliposhinda pambano wakajua wameshinda vita . Kiichofuata wote mashahidi 😂😂😂