Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Habari zinazo trend sasa hivi ni ufala wa Tanzania kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga.
Kiuchumi ujenzi wa kiwanda hicho ni strategic hata kama umiliki wake si 100% waTanzania.
Ufadhili wa ujenzi hicho kiwanda ni kutoka kwa Dangote, tajiri kutoka Nigeria.
Tukumbuke bomba la mafuta toka Uganda unaishia Tanga. Hivyo logically kujenga kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga kwa mtu mwenye akili si la kujiuliza sana.
Kungeweza kuwa na manufaa mengi ya pembeni, kama kupata lami, moja ya mazao ya kiwanda hicho.
Sekta ya barabara ingenufaika maradufu.
Kumetokea figisu za mawasiliano kati ya Uganda, Kenya , Tanzania na Dangote mwenyewe.
Soma Pia: Dangote kishatupiga chenga Tanzania? Sasa kujenga Kenya Kiwanda cha Mafuta cha Trilioni 43. Ni baada ya kauli tata ya Rais Samia
Hapo palipaswa kufanyika strstegic thinking kwa upande wa Tanzania na si kufikiria ki Dubai World-kunufaika kibinafsi.
Tujiulize, kwa nini basi tulikubali bomba la mafuta kujengwa?
Kwani haliwezi kuhamishiwa Kenya?
Kuna tetesi sasa , kiwanda hicho kujengwa Mombasa, na sisi kuonekana wajinga wa missed oppurtunities.
Hatujasahau, aliyeuza kiwanda chetu cha TIPER Kigamboni, ni Rais Mwinyi, Mzanzibari.