Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
- #61
Dangote hana kosa lolote, lakini he has zero confidence na utawala awamu hii.Dangote apigwe mkwajuu
Dangote hana kosa lolote, lakini he has zero confidence na utawala awamu hii.Dangote apigwe mkwajuu
Mkatapa wa DP WORLD unawafunga mikono. Hawaruhusiwi kuendeleza bandari yoyote. Si Tanga tu, hata Mtwara.Siyo kwamba waamuzi hawajui hayo manufaa, wanafahamu. Labda hawataki kwa sababu mojawapo ya hizi:
1. Labda Kwenye umiliki wa hiyo refinery hakuna wanamtandao, marafiki au wanafamilia wao.
2. Hakuna mwanya wa ufisadi wa kuwaneemesha vya kutosha.
3. Wivu dhidi ya maendeleo ya Tanganyika
4. Kuathiri maslahi na biashara zao binafsi
Mbona upo mitandaoni ,alikuwa analalamika sana hujuma viongozi wa serikalini walikuwa wanamfanyia hadi akataka kukifunga wakenya wakamuomba aende kufungua kwao.Oyah nitokezee huo uhuni basi 😂
Huyo Dangote ni mwekezaji sawa na wawekezaji wengi. Hapo hapo Tanga refinery itajengwa.Habari zinazo trend sasa hivi ni ufala wa Tanzania kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga.
Kiuchumi ujenzi wa kiwanda hicho ni strategic hata kama umiliki wake si 100% waTanzania.
Ufadhili wa ujenzi hicho kiwanda ni kutoka kwa Dangote, tajiri kutoka Nigeria.
Tukumbuke bomba la mafuta toka Uganda unaishia Tanga. Hivyo logically kujenga kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga kwa mtu mwenye akili si la kujiuliza sana.
Kungeweza kuwa na manufaa mengi ya pembeni, kama kupata lami, moja ya mazao ya kiwanda hicho.
Sekta ya barabara ingenufaika maradufu.
Kumetokea figisu za mawasiliano kati ya Uganda, Kenya , Tanzania na Dangote mwenyewe.
Soma Pia: Dangote kishatupiga chenga Tanzania? Sasa kujenga Kenya Kiwanda cha Mafuta cha Trilioni 43. Ni baada ya kauli tata ya Rais Samia
Hapo palipaswa kufanyika strstegic thinking kwa upande wa Tanzania na si kufikiria ki Dubai World-kunufaika kibinafsi.
Tujiulize, kwa nini basi tulikubali bomba la mafuta kujengwa?
Kwani haliwezi kuhamishiwa Kenya?
Kuna tetesi sasa , kiwanda hicho kujengwa Mombasa, na sisi kuonekana wajinga wa missed oppurtunities.
Hatujasahau, aliyeuza kiwanda chetu cha TIPER Kigamboni, ni Rais Mwinyi, Mzanzibari.
Hujui ulichokiandika. Hakuna ukweli wa kufungwa na mkataba wa DP World, hizo bandari za Bagamoyo na Tanga zinatafutiwa mwekezaji mwenye uwezo, Akipatikana atakuja kuziendesha.Mkatapa wa DP WORLD unawafunga mikono. Hawaruhusiwi kuendeleza bandari yoyote. Si Tanga tu, hata Mtwara.
Pesa nyingi sana, yapo makampuni ya mataifa ya Ulaya yana uzoefu na shughuli hiyo.Kwani Tanzania na Uganda kama nchi wanashindwa nini kujenga hiyo refinery...
Hadi aje tajiri mmoja ajenge!?
Hiyo refinery itajengwa Tanga ni suala la muda tu. Dangote labda hana uelewa wa biashara hii.Mmekataa nyinyi au mwenye hela zake ndiye kaamua awekeze anakohitaji mwenyewe?
NB:Bei ya mafuta haiwezi kushuka hata kijengwe Tanga sababu atajaziwa makodi na tozo kibao
Nakuelewa vizuri mkuu, na najua nimesimplify the whole story ili kila mtu aweze kuwa pamoja na mada yenyewe.Mkuu Jidu, Jidu La Mabambasi, jf zaidi ya kuwa ni Ukumbi wa kuhabarishana, na kuelimishana, naomba nichukue fursa hii kukuelimisha kuwa kuchuja mafuta, ni kwa mafuta ya kula, edible oils, ambapo ni mtambo wa processing, mafuta ghafi ya crude oil yanakuwa ni yanasafishwa, refined, kwa kutumia crude oil refinery.
P
Well said!Strategic Justification Report: Tanga Regional Oil Refinery
Date: May 6, 2026
Subject:Correction of Historical Market Distortions and Value Retention through Local Refining
1. The cessation of operations at TIPER in 1991 is now recognized as a strategic "blunder" that shifted Tanzania from an industrial producer to a passive consumer of refined petroleum. This shift introduced permanent inefficiencies in the form of high freight costs and the loss of industrial by-products. The proposed Tanga Regional Oil Refinery (backed by a 2026 proposal from Aliko Dangote and regional EAC heads of state) serves as a corrective measure to restore energy independence and lower the "cost of doing business" in East Africa.
2. Correcting the "Refined Import" Deficit
The primary economic justification lies in reversing the "value-add" drain that has plagued the nation since TIPER’s closure.
The Problem: Tanzania currently pays a premium for "refined" products (petrol, diesel, jet fuel) while private dealers reap the profits of shipping and storage.
The Tanga Solution: By refining locally, the region retains the price differential (the "crack spread"). With Africa's fuel shortfall projected to reach 86 million tonnes by 2040, a 650,000 bpd refinery in Tanga would transition Tanzania from a price-taker to a regional energy hub.
3. The EACOP Synergy: Tapping the "End of the Line"
The TIPER era failed because it relied on imported crude in small volumes. The Tanga justification is built on a massive, pre-existing infrastructure asset: The East African Crude Oil Pipeline (EACOP).
Asset Utilization: As of 2026, the EACOP is nearing completion. Placing a refinery at the Chongoleani terminal in Tanga ensures that crude from Uganda and the DRC is processed before it leaves the continent.
Logistical Correction: It ends the historical irony of TAZAMA—where crude simply "passed through" Tanzania—by creating a domestic value-addition point.
4. Infrastructure Multiplier: The "Bitumen" Factor
A local refinery produces Bitumen (tar) as a heavy byproduct—a critical material for road construction that Tanzania currently imports at high costs.
Construction Costs: Currently, Tanzanian road construction averages $1 million per kilometer, largely due to imported bitumen and freight.
Strategic Advantage: Local production of bitumen would lower regional infrastructure costs by an estimated 30-40%, directly benefiting the national budget and enabling faster expansion of the road network.
5. Geopolitical Hedge and Energy Security
Relying on refined imports leaves the Tanzanian economy vulnerable to shocks in the Middle East and the Strait of Hormuz.
Sovereign Control: A Tanga-based refinery allows the EAC to decouple its transport and food prices from global shipping disruption.
Stakeholders in this implementation phase
1. Committee for strategic planning (Ministry of Finance)
2. TPDC
3. EXECUTIVE COMMITTEE OF UTT, UNIT TRUST SCHEME , COLLECTIVE INVESTMENT SCHEMES.
4. BANK OF TANZANIA EXECUTIVE
5. ENERGY AND REGULATORY AUTHORITIES
6. CONSULTANTS IN ENERGY EXTRACTIVE INDUSTRIES
Jua liwake mvua inyeshe lazima refinery itajengwa Tanga, LAZIMA.Habari zinazo trend sasa hivi ni ufala wa Tanzania kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga.
Kiuchumi ujenzi wa kiwanda hicho ni strategic hata kama umiliki wake si 100% waTanzania.
Ufadhili wa ujenzi hicho kiwanda ni kutoka kwa Dangote, tajiri kutoka Nigeria.
Tukumbuke bomba la mafuta toka Uganda unaishia Tanga. Hivyo logically kujenga kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga kwa mtu mwenye akili si la kujiuliza sana.
Kungeweza kuwa na manufaa mengi ya pembeni, kama kupata lami, moja ya mazao ya kiwanda hicho.
Sekta ya barabara ingenufaika maradufu.
Kumetokea figisu za mawasiliano kati ya Uganda, Kenya , Tanzania na Dangote mwenyewe.
Soma Pia: Dangote kishatupiga chenga Tanzania? Sasa kujenga Kenya Kiwanda cha Mafuta cha Trilioni 43. Ni baada ya kauli tata ya Rais Samia
Hapo palipaswa kufanyika strstegic thinking kwa upande wa Tanzania na si kufikiria ki Dubai World-kunufaika kibinafsi.
Tujiulize, kwa nini basi tulikubali bomba la mafuta kujengwa?
Kwani haliwezi kuhamishiwa Kenya?
Kuna tetesi sasa , kiwanda hicho kujengwa Mombasa, na sisi kuonekana wajinga wa missed oppurtunities.
Hatujasahau, aliyeuza kiwanda chetu cha TIPER Kigamboni, ni Rais Mwinyi, Mzanzibari.
Ukiwa na akili ya kichawa hata usiku basi utasema ni mchana kweupe na huku unaingia shimoni.Huyo Dangote ni mwekezaji sawa na wawekezaji wengi. Hapo hapo Tanga refinery itajengwa.
Huwezi kujenga bomba la mafuta kutoka Hoima Uganda mpaka hapo Tanga halafu kiwanda ukakijenga Mombasa. Ni kichekesho kuamini hilo linawezekana.
Wapiga kelele wengi wanaandika makala ndefu kuhusiana na kitu wasichokifahamu vyema,
Wajenzi wa refinery wapo wengi duniani ambao tunaweza kufanya nao biashara sio lazima awe Dangote peke yake.
Tanzania katika hii biashara kafanana na binti mzuri kigoli anayewapeleka puta wanaume wenye pesa zao, hana cha kupoteza kwake biashara ni nzuri sana na anakwenda kwa utulivu na akili nyingi.
Umejielekeza kule nilikokudadavua,Jua liwake mvua inyeshe lazima refinery itajengwa Tanga, LAZIMA.
Hizi siasa za Dangote kutaka ijengwe Kenya wakati bomba lipo Tanzania pengine ni wasiwasi alionao mfanyabiashara huyo kwamba anaweza kukosa biashara mazima hivyo kaona aongee kwa nia ya kuwaweka pamoja Kenya na Tanzania.
Refinery itajengwa Tanga pengine kampuni itakayofanya hivyo inaweza kuwa ya Wazungu kutoka Ulaya.
Hii biashara serikali yetu inaiendea kwa akili kubwa pasipo kukurupuka.
Sio kweli, tunaijali Tanzania kuliko hao wazungu.Umejielekeza kule nilikokudadavua,
Kwenu uwekezaji si kwa ajili yaTaifa, mwataka kula na wazungu!
Dangote ni mfanyabiashara mwenye kutazama maslahi yake, lakini aheshimu pia taratibu za mataifa anayokwenda kufanyia biashara.Ukiwa na akili ya kichawa hata usiku basi utasema ni mchana kweupe na huku unaingia shimoni.
Hatusikitiki kukosa tu fursa ya kiwanda cha kuchuja magfuta toka Uganda, tunasikitika kwa vile ambavyo tuwa watu wanavaa masuti makubwa makubwa na magari meusi yenye ving'ora vingi na mataa taa ya kuchngaya humo mabarabarani, lakini kichwani hamna kitu!
Fursa ya Dangote kama uniona kama wawekezaji wengine basi wewe ni mmoja wao niliowaelezea hapo huu, hamna akili sana.
Danote anawekeza kwa ushirikiano wa south south
Dangote hatakuwa na masharti kama ya Wprld Bank na IMF
Dangote tayari amesha wekeza nchi kiwanda cha simenti
Dango na watu wengine watatua au wanne wa aina hiyo itattuondoa katika utegemezi wa wazungu
Sasa tuje kwetu jinsi hao mlio na masuti makubwa makubwa mnavyofanya
Mwekezaji anaombwa rushwa za kurahisisha kuwekeza
Muwekezaji anaombwa asilimia(shares) za kampuni atakayoianzisha nchini
Muwekezaji anaombwa nafasi kubwa kubwa za kazi kwa watoto wa vogogo
Haya yote yanafanyika na sisi wananchi tunayajua, kwa vile wawekezaji wenyewe wanasema hali ilivyo.
Hivyo bradha usitetee udhaifu wako.
Mbona unajikanyaga kama vile una hallucinate!Sio kweli, tunaijali Tanzania kuliko hao wazungu.
Kujenga refinery sio suala dogo inahitajika mtaji na elimu kubwa.
Tatizo lako ni Dangote au siyo?Dangote ni mfanyabiashara mwenye kutazama maslahi yake, lakini aheshimu pia taratibu za mataifa anayokwenda kufanyia biashara.
Huwezi kujenga refinery Kenya wakati bomba linatoka Uganda na kupitia Tanzania!. Ukitaka ijengwe refinery Kenya maana yake lijengwe bomba jingine kutokea Uganda mpaka Mombasa, nani anatoa pesa hizo nyingi za ujenzi ambao tayari umeshafanyika Tanzania?. Mzee Museveni anaweza kusubiri miaka mingine mitano wakati keshasema anaelekea kuondoka madarakani?.
Anachokifanya Dangote kinaweza kufanywa na wawekezaji wengine wenye teknolojia na mtaji wa kujenga refinery, wapo wengi tu hivi sasa serikali inafanya nao maongezi ili lolote likitokea wapewe tenda ya ujenzi wa hiyo refinery.
Tatizo lenu humu jukwaani ni kutopenda kupingwa katika kile mnachoamin ikwamba ni sahihi, hamchelewi kuja na majina mengi na dhihaka isiyo na sababu.Mbona unajikanyaga kama vile una hallucinate!
Tunasoma michango yote humu, kwa watu walioenda shule tunaelewa.
Mtaji ulikuwepo-Dangote
Elimu-ipo na haiwezi potea kuna vijana wengi sana wa |Process Engineering hawana kazi.
Unachoongea sasa tofauti na ulichokiandika awali.
Uchawa usio na maana unaliangamiza Taifa.
Details zaidi kwenye kiwanda cha cement, nini kilitokeaKwa Uhuni tuliomfanyia Dangote kwenye kiwanda chake cha Cement ,ni wazi hawezi kurudia ujinga tena wa kujenga Refinery Bongo.