👍🏽 Shida wengi hawapendi kusoma.
Hata uchimbe na kurefine mafuta uani kwako, bei ya Crude inapangwa na soko la dunia na hata Dangote bado anaimport crude hivyo hana control ya bei.
Manufaa ya refinery ni kushorten supply chains na kuzalisha viwanda vyingine vya by products na ajira.
Kuhusu refinery kushusha bei ya mafuta hilo watu WASAHAU
Umeiweka vizuri zaidi, nadhani somo litakuwa limeeleweka 👍🏿👍🏽 Shida wengi hawapendi kusoma.
Hata uchimbe na kurefine mafuta uani kwako, bei ya Crude inapangwa na soko la dunia na hata Dangote bado anaimport crude hivyo hana control ya bei.
Manufaa ya refinery ni kushorten supply chains na kuzalisha viwanda vyingine vya by products na ajira.
Kuhusu refinery kushusha bei ya mafuta hilo watu WASAHAU
Kwahiyo bei ya mafuta Saudi Arabia Libia zinafanana na za huku kwetu na Marekani?👍🏽 Shida wengi hawapendi kusoma.
Hata uchimbe na kurefine mafuta uani kwako, bei ya Crude inapangwa na soko la dunia na hata Dangote bado anaimport crude hivyo hana control ya bei.
Manufaa ya refinery ni kushorten supply chains na kuzalisha viwanda vyingine vya by products na ajira.
Kuhusu refinery kushusha bei ya mafuta hilo watu WASAHAU
Achana na vichaa wasiojua kitu watakuumiza kichwa, hii kitu kila mwenye akili timamu anajua iko vipi.Kwahiyo bei ya mafuta Saudi Arabia Libia zinafanana na za huku kwetu na Marekani?
Ukiona nchi flani bei ndogo sana, ujue kuna subsides serikali husika inatoa! Hata Nigeria kabla ya refinery ya Dangote kulikuwa na ruzuku ambayo sasa imetolewa, hivi sasa bei kwenye pump ni ile inayotokana na bei ya mafuta ghafi kwenye soko la dunia.
Bei haiwezi kushuka kwasababu ya ukiritimba wa baadhi ya watu wapenda tafrani tu lakini inatakiwa ishuke!, mkuu angalia nchi zenye oil refinery bei zao halafu compare na huku kwetu ndo utaelewa!.Bei haiwezi kushuka kwasababu ya kuwa na refinery, bei kwenye pump bado itaendana na bei kwenye soko la dunia.
Huko Nigeria, raia wengi hawaelewi Kwanini bei ya mafuta kwenye pump imepanda kuliko wakati wowote toka refinery ya Dangote ianze kazi!! Wengi walidhani bei itashuka.
Zipo faida nyingi za kuwa na refinery katika nchi, lakini kushuka kwa bei ya mafuta kwenye pump, inaweza kuwa si miongoni mwa faida zake.
Dangote ajenge bongo au kwa jirani, atapata changamoto nyingi sana, ikiwemo kupambana na watoa vibali (EWURA flani) za nchi zote anazotegemea kuwa masoko na hao wenye vibali vya kuagiza mafuta toka nje wakubali kuvipoteza.
Itabidi atumie msuli wa serikali kuweka watu kwenye mstari na kumlinda….!! Huko Nigeria kwenyewe, home ground, mziki wake haukuwa cha mdoli mpaka hiyo refinery kusimama.
Nilikuwa naitafuta comment hii.Kuna mpango wa makusudi wa kuzuia kila kitu ambacho 'wala nchi' wanaona kinaziba mianya yao ya upigaji, hili dili limezuiwa na waliohodhi biashara za mafuta.
Kikwete, Ridhiwani na Abdul hauwezi kuwatoa katika kuzuia kwa makusudi mradi husika.
ilaMagufuri alipoona dagote anafanyiwa figisu, aliamua kumuita ikilu amalize naye.ila huyu wa sasa yeye anawazi kuchapa vijana viboko wakati mwenzake anawaza kusuluhisha tatizo la ajira.
Kuna gharama za usafirishaji, ndiyo maana hata bei ya mafuta Dar si sawa na ile Katavi, Kagera au Ruvuma.Kwahiyo bei ya mafuta Saudi Arabia Libia zinafanana na za huku kwetu na Marekani?
Kipi ni bora? Kiwanda kijengwe Tanga, au Wajomba na wafadhili wetu wa chama wafe njaa?Habari zinazo trend sasa hivi ni ufala wa Tanzania kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga.
Kiuchumi ujenzi wa kiwanda hicho ni strategic hata kama umiliki wake si 100% waTanzania.
Ufadhili wa ujenzi hicho kiwanda ni kutoka kwa Dangote, tajiri kutoka Nigeria.
Tukumbuke bomba la mafuta toka Uganda unaishia Tanga. Hivyo logically kujenga kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga kwa mtu mwenye akili si la kujiuliza sana.
Kungeweza kuwa na manufaa mengi ya pembeni, kama kupata lami, moja ya mazao ya kiwanda hicho.
Sekta ya barabara ingenufaika maradufu.
Kumetokea figisu za mawasiliano kati ya Uganda, Kenya , Tanzania na Dangote mwenyewe.
Hapo palipaswa kufanyika strstegic thinking kwa upande wa Tanzania na si kufikiria ki Dubai World-kunufaika kibinafsi.
Tujiulize, kwa nini basi tulikubali bomba la mafuta kujengwa?
Kwani haliwezi kuhamishiwa Kenya?
Kuna tetesi sasa , kiwanda hicho kujengwa Mombasa, na sisi kuonekana wajinga wa missed oppurtunities.
Hatujasahau, aliyeuza kiwanda chetu cha TIPER Kigamboni, ni Rais Mwinyi, Mzanzibari.
Wasaidizi wz Rsis kiukweli hawana akili.All of this happens simply because we don't have people who are accountable critical and analytical thinkers.
This country have only political big fishes who are always worried for they're political positions...🤨
Inafikrisha sanaKwani Tanzania na Uganda kama nchi wanashindwa nini kujenga hiyo refinery...
Hadi aje tajiri mmoja ajenge!?
Sio baadhi ya opportunities, most of opportunities tutazikosa unajua why, ajira which is major major faida ya huu mradi.Hata likijengwa hapo kenya bado itaathiri soko la mafuta hadi huku kwetu kwa bei kushuka, isipokuwa tu baadhi ya opportunity tutakuwa tumezikosa. Hii nchi inahitaji mabadiliko kila siku tunafanyiana mambo ya kizwazwa tu
Ruto hawazunguki ila kenya ni washindani. We all know kwenye dunia ya ushindani kama huwezi ku offer the best thing on the market you looseHapa nawaza.
au
- Je Ruto katuzunguka au?
- Au hawa viongoz wetu mafisad/wezi wameamua wakaijenge nje ya nchi kuepusha usumbufu hapo baadae.
Ina maana gharama ;Bei haiwezi kushuka kwasababu ya kuwa na refinery, bei kwenye pump bado itaendana na bei kwenye soko la dunia.
Huko Nigeria, raia wengi hawaelewi Kwanini bei ya mafuta kwenye pump imepanda kuliko wakati wowote toka refinery ya Dangote ianze kazi!! Wengi walidhani bei itashuka.
Zipo faida nyingi za kuwa na refinery katika nchi, lakini kushuka kwa bei ya mafuta kwenye pump, inaweza kuwa si miongoni mwa faida zake.
Dangote ajenge bongo au kwa jirani, atapata changamoto nyingi sana, ikiwemo kupambana na watoa vibali (EWURA flani) za nchi zote anazotegemea kuwa masoko na hao wenye vibali vya kuagiza mafuta toka nje wakubali kuvipoteza.
Itabidi atumie msuli wa serikali kuweka watu kwenye mstari na kumlinda….!! Huko Nigeria kwenyewe, home ground, mziki wake haukuwa cha mdoli mpaka hiyo refinery kusimama.
Bongo tuna Umeme wa kutosha kutoka JNHPP lakini bei imeshoot sana.👍🏽 Shida wengi hawapendi kusoma.