Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Huu utaratibu wa kuwa na mtawala mkuu wa kutoka nchi nyingine ni wa hovyo sana. Ndiyo sababu Katiba mpya inahitajika haraka ili irekebishe maujinga kama hayoHatujasahau, aliyeuza kiwanda chetu cha TIPER Kigamboni, ni Rais Mwinyi, Mzanzibari.
MhhHabari zinazo trend sasa hivi ni ufala wa Tanzania kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga.
Kiuchumi ujenzi wa kiwanda hicho ni strategic hata kama umiliki wake si 100% waTanzania.
Ufadhili wa ujenzi hicho kiwanda ni kutoka kwa Dangote, tajiri kutoka Nigeria.
Tukumbuke bomba la mafuta toka Uganda unaishia Tanga. Hivyo logically kujenga kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga kwa mtu mwenye akili si la kujiuliza sana.
Kungeweza kuwa na manufaa mengi ya pembeni, kama kupata lami, moja ya mazao ya kiwanda hicho.
Sekta ya barabara ingenufaika maradufu.
Kumetokea figisu za mawasiliano kati ya Uganda, Kenya , Tanzania na Dangote mwenyewe.
Hapo palipaswa kufanyika strstegic thinking kwa upande wa Tanzania na si kufikiria ki Dubai World-kunufaika kibinafsi.
Tujiulize, kwa nini basi tulikubali bomba la mafuta kujengwa?
Kwani haliwezi kuhamishiwa Kenya?
Kuna tetesi sasa , kiwanda hicho kujengwa Mombasa, na sisi kuonekana wajinga wa missed oppurtunities.
Hatujasahau, aliyeuza kiwanda chetu cha TIPER Kigamboni, ni Rais Mwinyi, Mzanzibari.
Kwa Uhuni tuliomfanyia Dangote kwenye kiwanda chake cha Cement ,ni wazi hawezi kurudia ujinga tena wa kujenga Refinery Bongo.Habari zinazo trend sasa hivi ni ufala wa Tanzania kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga.
Kiuchumi ujenzi wa kiwanda hicho ni strategic hata kama umiliki wake si 100% waTanzania.
Ufadhili wa ujenzi hicho kiwanda ni kutoka kwa Dangote, tajiri kutoka Nigeria.
Tukumbuke bomba la mafuta toka Uganda unaishia Tanga. Hivyo logically kujenga kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga kwa mtu mwenye akili si la kujiuliza sana.
Kungeweza kuwa na manufaa mengi ya pembeni, kama kupata lami, moja ya mazao ya kiwanda hicho.
Sekta ya barabara ingenufaika maradufu.
Kumetokea figisu za mawasiliano kati ya Uganda, Kenya , Tanzania na Dangote mwenyewe.
Hapo palipaswa kufanyika strstegic thinking kwa upande wa Tanzania na si kufikiria ki Dubai World-kunufaika kibinafsi.
Tujiulize, kwa nini basi tulikubali bomba la mafuta kujengwa?
Kwani haliwezi kuhamishiwa Kenya?
Kuna tetesi sasa , kiwanda hicho kujengwa Mombasa, na sisi kuonekana wajinga wa missed oppurtunities.
Hatujasahau, aliyeuza kiwanda chetu cha TIPER Kigamboni, ni Rais Mwinyi, Mzanzibari.
Kuna mpango wa makusudi wa kuzuia kila kitu ambacho 'wala nchi' wanaona kinaziba mianya yao ya upigaji, hili dili limezuiwa na waliohodhi biashara za mafuta.Habari zinazo trend sasa hivi ni ufala wa Tanzania kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga.
Kiuchumi ujenzi wa kiwanda hicho ni strategic hata kama umiliki wake si 100% waTanzania.
Ufadhili wa ujenzi hicho kiwanda ni kutoka kwa Dangote, tajiri kutoka Nigeria.
Tukumbuke bomba la mafuta toka Uganda unaishia Tanga. Hivyo logically kujenga kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga kwa mtu mwenye akili si la kujiuliza sana.
Kungeweza kuwa na manufaa mengi ya pembeni, kama kupata lami, moja ya mazao ya kiwanda hicho.
Sekta ya barabara ingenufaika maradufu.
Kumetokea figisu za mawasiliano kati ya Uganda, Kenya , Tanzania na Dangote mwenyewe.
Hapo palipaswa kufanyika strstegic thinking kwa upande wa Tanzania na si kufikiria ki Dubai World-kunufaika kibinafsi.
Tujiulize, kwa nini basi tulikubali bomba la mafuta kujengwa?
Kwani haliwezi kuhamishiwa Kenya?
Kuna tetesi sasa , kiwanda hicho kujengwa Mombasa, na sisi kuonekana wajinga wa missed oppurtunities.
Hatujasahau, aliyeuza kiwanda chetu cha TIPER Kigamboni, ni Rais Mwinyi, Mzanzibari.
Hili ni tatixo kubwa, na wartendaji na wanasiasa wako kimya.Siyo kwamba waamuzi hawajui hayo manufaa, wanafahamu. Labda hawataki kwa sababu mojawapo ya hizi:
1. Labda Kwenye umiliki wa hiyo refinery hakuna wanamtandao, marafiki au wanafamilia wao.
2. Hakuna mwanya wa ufisadi wa kuwaneemesha vya kutosha.
3. Wivu dhidi ya maendeleo ya Tanganyika
Bei haiwezi kushuka kwasababu ya kuwa na refinery, bei kwenye pump bado itaendana na bei kwenye soko la dunia.Hata likijengwa hapo kenya bado itaathiri soko la mafuta hadi huku kwetu kwa bei kushuka, isipokuwa tu baadhi ya opportunity tutakuwa tumezikosa. Hii nchi inahitaji mabadiliko kila siku tunafanyiana mambo ya kizwazwa tu
Ni kweli, kwenye refinery yake ya Nigeria kafanyiwa sana hujuma, wizi na kadhalika. Nadhani mwaka jana, ilibidi aondoe wafanyakazi 800+ baada ya hujuma kwenye hiyo refinery.Hata kikijengwa kuna wahuni/wezi watapiga tu.... daraja la chini tutaendelea kusota....Bongo nyoso
👍🏽 Shida wengi hawapendi kusoma.Bei haiwezi kushuka kwasababu ya kuwa na refinery, bei kwenye pump bado itaendana na bei kwenye soko la dunia.
Huko Nigeria, raia wengi hawaelewi Kwanini bei ya mafuta kwenye pump imepanda kuliko wakati wowote toka refinery ya Dangote ianze kazi!! Wengi walidhani bei itashuka.
Zipo faida nyingi za kuwa na refinery katika nchi, lakini kushuka kwa bei ya mafuta kwenye pump, inaweza kuwa si miongoni mwa faida zake.
Dangote ajenge bongo au kwa jirani, atapata changamoto nyingi sana, ikiwemo kupambana na watoa vibali (EWURA flani) za nchi zote anazotegemea kuwa masoko na hao wenye vibali vya kuagiza mafuta toka nje wakubali kuvipoteza.
Itabidi atumie msuli wa serikali kuweka watu kwenye mstari na kumlinda….!! Huko Nigeria kwenyewe, home ground, mziki wake haukuwa cha mdoli mpaka hiyo refinery kusimama.