Ni ujinga wa karne kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta kujengwa Tanga-missed oppurtunities

Mmekataa nyinyi au mwenye hela zake ndiye kaamua awekeze anakohitaji mwenyewe?

NB:Bei ya mafuta haiwezi kushuka hata kijengwe Tanga sababu atajaziwa makodi na tozo kibao
 
Nadhani refinery ya Uganda itakuwa suluhisho la kushuka kwa bei especially kwetu sisi wabongo.
Maana nilisikia Tpdc ameomba share kidogo kwenye hiyo project.
Mafuta ya kwao watachepusha 60kbpd kutoka kabaale Ps1 kwenye mkuza wa eacop.
Waganda pia wengi walichukia sana kusikia mafuta yao yanakuja kusafishiwa bongo wakati mwaka jana walisha sign kabisa mkataba na kampuni kutoka Saudia.
 
 
Umeiweka vizuri zaidi, nadhani somo litakuwa limeeleweka 👍🏿
 
Kwahiyo bei ya mafuta Saudi Arabia Libia zinafanana na za huku kwetu na Marekani?
 
Bei haiwezi kushuka kwasababu ya ukiritimba wa baadhi ya watu wapenda tafrani tu lakini inatakiwa ishuke!, mkuu angalia nchi zenye oil refinery bei zao halafu compare na huku kwetu ndo utaelewa!.
 
Kuna mpango wa makusudi wa kuzuia kila kitu ambacho 'wala nchi' wanaona kinaziba mianya yao ya upigaji, hili dili limezuiwa na waliohodhi biashara za mafuta.
Kikwete, Ridhiwani na Abdul hauwezi kuwatoa katika kuzuia kwa makusudi mradi husika.
Nilikuwa naitafuta comment hii.
Watu walichoma vituo vya Lake Oil sababu ya mambo haya haya.
Sijaelewa kwanini wamekataa hiyo Petroleum oil refinery plant kujengws Tanga.
Wake watupe sababu tuone Zina mashiko?
 
Kila mmoja anafanya anachokiweza. Tujifunze kumuelewa katika hilo
Magufuri alipoona dagote anafanyiwa figisu, aliamua kumuita ikilu amalize naye.ila huyu wa sasa yeye anawazi kuchapa vijana viboko wakati mwenzake anawaza kusuluhisha tatizo la ajira.
ila
 
Kwahiyo bei ya mafuta Saudi Arabia Libia zinafanana na za huku kwetu na Marekani?
Kuna gharama za usafirishaji, ndiyo maana hata bei ya mafuta Dar si sawa na ile Katavi, Kagera au Ruvuma.

Kwahiyo gharama mbalimbali zinakuwa baked in kwenye bei.

Point is, mathalani bei ni $100 kwa pipa la ghafi Brent hiyo na WTI labda $95 kwa pipa, nchi zote zitanunua kwa bei hiyo moja! Gharama kwenye pump katika nchi flani, itagemea mambo mengi kama gharama za usafirishaji, kodi mbalimbali za nchi husika na kama kuna ruzuku au la….na mambo mengine.
 
Hapa nawaza.
  • Je Ruto katuzunguka au?
  • Au hawa viongoz wetu mafisad/wezi wameamua wakaijenge nje ya nchi kuepusha usumbufu hapo baadae.
au
 
Kipi ni bora? Kiwanda kijengwe Tanga, au Wajomba na wafadhili wetu wa chama wafe njaa?
 
All of this happens simply because we don't have people who are accountable critical and analytical thinkers.
This country have only political big fishes who are always worried for they're political positions...🤨
Wasaidizi wz Rsis kiukweli hawana akili.
 
Hata likijengwa hapo kenya bado itaathiri soko la mafuta hadi huku kwetu kwa bei kushuka, isipokuwa tu baadhi ya opportunity tutakuwa tumezikosa. Hii nchi inahitaji mabadiliko kila siku tunafanyiana mambo ya kizwazwa tu
Sio baadhi ya opportunities, most of opportunities tutazikosa unajua why, ajira which is major major faida ya huu mradi.

Now wakenya wanaenda kujaa kwenye huo mradi wabongo wakibaki pale pale.
Kushuka kwa bei za mafuta ni single thing but cascading effects za mtadinzitawafaidisha wakenya zaid
 
Hapa nawaza.
  • Je Ruto katuzunguka au?
  • Au hawa viongoz wetu mafisad/wezi wameamua wakaijenge nje ya nchi kuepusha usumbufu hapo baadae.
au
Ruto hawazunguki ila kenya ni washindani. We all know kwenye dunia ya ushindani kama huwezi ku offer the best thing on the market you loose

Viongz wetu hawa kwa akili zao hawana uwezo wa kujenga refinery by anymeans necessary.
 
Ina maana gharama ;
1.Freight charges kwenye meli from far east
2.Insurance
Haitaathir gharama?
Wacha uwongo!
 
Bongo tuna Umeme wa kutosha kutoka JNHPP lakini bei imeshoot sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…