Ni ujinga wa karne kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta kujengwa Tanga-missed oppurtunities

Kwani Tanzania na Uganda kama nchi wanashindwa nini kujenga hiyo refinery...
Hadi aje tajiri mmoja ajenge!?
Funding na masharti ya World Bank na IMF kwa kawaida ni magumu sana.
Kama yupo mwafrika mwenzetu Dangote anayo hiyo fund isiyo na masharti kwanini tusichukue huko?
Halafu South-Soth cooperation isiwe wimbo wa majuukwani tu, tutekeleze ushirikiano wa waafrika.
 
Soma vizuri nilichoandika:

Libya, Saudi, Iran ni net exporters wa CRUDE hawahitaji kununua crude. Nigeria bado ni importer wa CRUDE na bei za hizo exports zote zinapangwa na soko la dunia.

The moment unahitaji kuagiza mafuta ghafi kwa kiwango chochote basi huna control ya bei maana unategemewa kuuziwa ndo uuze
 
Ni vyema Kenya, Uganda na Dangote wakaunga pipe pale Tanga-Tangani ili inyonye crude oil na kulipeleka Mambasa ili kupunguza gharama za usafirishaji endapo kiwanda kitajengwa Mombasa.
 
Habari zinazo trend sasa hivi ni ufala wa Tanzania kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga.
Mkuu Jidu, Jidu La Mabambasi, jf zaidi ya kuwa ni Ukumbi wa kuhabarishana, na kuelimishana, naomba nichukue fursa hii kukuelimisha kuwa kuchuja mafuta, ni kwa mafuta ya kula, edible oils, ambapo ni mtambo wa processing, mafuta ghafi ya crude oil yanakuwa ni yanasafishwa, refined, kwa kutumia crude oil refinery.

P
 
Ukiona nchi flani bei ndogo sana, ujue kuna subsides serikali husika inatoa! Hata Nigeria kabla ya refinery ya Dangote kulikuwa na ruzuku ambayo sasa imetolewa, hivi sasa bei kwenye pump ni ile inayotokana na bei ya mafuta ghafi kwenye soko la dunia.
Uneshajiuliza pamoja na subsidies lakini nchi nyingi zunazozalisha mafuta mafuta ndiyo zenye unafuu wa bei.
 
Ni vyema Kenya, Uganda na Dangote wakaunga pipe pale Tanga-Tangani ili inyonye crude oil na kulipeleka Mambasa ili kupunguza gharama za usafirishaji endapo kiwanda kitajengwa Mombasa.
Ni bora likajengwa pipe la moja kwa moja kutoka Uganda kwenda Kenya, hili lililopo 'wenye nchi' linawawekea usiku.
 

Strategic Justification Report: Tanga Regional Oil Refinery​

Date: May 6, 2026​


Subject:Correction of Historical Market Distortions and Value Retention through Local Refining​


1. The cessation of operations at TIPER in 1991 is now recognized as a strategic "blunder" that shifted Tanzania from an industrial producer to a passive consumer of refined petroleum. This shift introduced permanent inefficiencies in the form of high freight costs and the loss of industrial by-products. The proposed Tanga Regional Oil Refinery (backed by a 2026 proposal from Aliko Dangote and regional EAC heads of state) serves as a corrective measure to restore energy independence and lower the "cost of doing business" in East Africa.​



2. Correcting the "Refined Import" Deficit​

The primary economic justification lies in reversing the "value-add" drain that has plagued the nation since TIPER’s closure.​

​

The Problem: Tanzania currently pays a premium for "refined" products (petrol, diesel, jet fuel) while private dealers reap the profits of shipping and storage.​

​

The Tanga Solution: By refining locally, the region retains the price differential (the "crack spread"). With Africa's fuel shortfall projected to reach 86 million tonnes by 2040, a 650,000 bpd refinery in Tanga would transition Tanzania from a price-taker to a regional energy hub.​


3. The EACOP Synergy: Tapping the "End of the Line"​

The TIPER era failed because it relied on imported crude in small volumes. The Tanga justification is built on a massive, pre-existing infrastructure asset: The East African Crude Oil Pipeline (EACOP).​

​

Asset Utilization: As of 2026, the EACOP is nearing completion. Placing a refinery at the Chongoleani terminal in Tanga ensures that crude from Uganda and the DRC is processed before it leaves the continent.​

​

Logistical Correction: It ends the historical irony of TAZAMA—where crude simply "passed through" Tanzania—by creating a domestic value-addition point.​


4. Infrastructure Multiplier: The "Bitumen" Factor​

A local refinery produces Bitumen (tar) as a heavy byproduct—a critical material for road construction that Tanzania currently imports at high costs.​

​

Construction Costs: Currently, Tanzanian road construction averages $1 million per kilometer, largely due to imported bitumen and freight.​

Strategic Advantage: Local production of bitumen would lower regional infrastructure costs by an estimated 30-40%, directly benefiting the national budget and enabling faster expansion of the road network.​


5. Geopolitical Hedge and Energy Security​

Relying on refined imports leaves the Tanzanian economy vulnerable to shocks in the Middle East and the Strait of Hormuz.​


Sovereign Control: A Tanga-based refinery allows the EAC to decouple its transport and food prices from global shipping disruption.​


Stakeholders in this implementation phase

1. Committee for strategic planning (Ministry of Finance)

2. TPDC

3. EXECUTIVE COMMITTEE OF UTT, UNIT TRUST SCHEME , COLLECTIVE INVESTMENT SCHEMES.

4. BANK OF TANZANIA EXECUTIVE

5. ENERGY AND REGULATORY AUTHORITIES

6. CONSULTANTS IN ENERGY EXTRACTIVE INDUSTRIES

​

 
All of this happens simply because we don't have people who are accountable critical and analytical thinkers.
This country have only political big fishes who are always worried for they're political positions...🤨
Asante sana mkuu
 
Kenya wana wanajenga Uganda wanajenga Tanzania maneno mengi na kukimbizana na Lisuu
 
Ni biashara ya Samia ya mafuta anayofanya na rafiki zake wa Oman, hataki iharibike.
 
Utawekaje kiwanda Cha oil refinery wakati bandari ni za waarabu wa dp world

Lazima mnunue mafuta ya waarabu sio ya ya Uganda ambayo mna ubia nao

Refinery iende Mombasa Kwa watu wenye akili kubwa

Nyie mmeshauza bandari zenu Kwa waarabu
 
Hivi bi mkubwa ana washauri walioenda shule?
 
Ina maana gharama ;
1.Freight charges kwenye meli from far east
2.Insurance
Haitaathir gharama?
Wacha uwongo!
Miye muongo kama ulivyosema, lakini wewe hata hujui ulichokiandika! Umepayuka tu ilimradi na wewe umetia neno 😂
 
Uneshajiuliza pamoja na subsidies lakini nchi nyingi zunazozalisha mafuta mafuta ndiyo zenye unafuu wa bei.
Utazunguka, lakini mwisho wa siku sababu kubwa ni government's subsidizes, nenda Libya, Kuwait, Iran, Saudi Arabia n.k. Bei chini kwenye pump, pamoja na mingine ni kwa sababu ya ruzuku.

Nadhani U. A.E hawana subsidize, mafuta huko si nafuu kama hizo nchi nyingine na yana akisi bei kwenye soko la dunia.

Iraq wao hawana subsidize, lakini serikali yao ina “sera rasmi” ya kuhakikisha bei inabaki kuwa nafuu kwenye pump.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…