Kipindi Cha Kunywa Maziwa Pekee Ya Mama (Exclusive Breastfeeding (Miezi 6) baada ya kuzaliwaKuna mzee ni jirani yangu anaishi pamoja na familia yake, na mara nyingi huwa nashinda naye nyakati za jioni pamoja na wikendi tukipiga stori moja mbili tatu pamoja na nasaha enzi akiwa kijana na kipindi hiki cha utawala wa Gen Z
Sasa juzi kama kawaida mida ya jioni nimemkuta kakaa nje kibarazani nikamsalimu vizuri tu, ila ni kama hakuwa sawa. Nikamuuliza akasema anachukia pindi mke wake pamoja na vijana wake wanavyomnyanyasa kwenye issue ya chakula na vinywaji, yaani hawataki anywe soda na hawataki ale vyakula kama KFC anadai muda wote ni mchemsho na mboga mboga.
Mimi nikimwangalia mzee ni kama yuko kwenye umri wa miaka 60, anasema Afya ni muhimu sana ila dunia tunapita kama maradhi yapo ni yapo tu jamani.
Kwa upande wangu nashindwa hata nimwambie nini
Kiukweli mtu mwenye presha asipozingatia ratiba ya ulaji wa kujinyima, presha huwa haipungui bali huendelea kupanda na kuleta madhara ya ndani ya mwili bila yeye kujua.Nijitese kula kwani mm nimechaguliwa kua mlinzi wa dunia ...kuna kupindi niliumwa wakaniambia na presha wakanipangia misosi mm nikaona nateseka tu nikaachana na ratiba zao nikawa nakula nacho kipenda hata presha sijui
usikute unapiga nyeto ee dronedrake Poor Brain Mbaga JrMe niko early 30s ila mwezi wa 7 joints za miguu zilianza kuniimbia ululuuuuyah wachukuuuucha! Nilikua nakunywa sana soft drinks, junk foods na sweets sasa nabalance zaidi ya mwezi sasa sijanywa chai ya sukari nakunywa maji mengii nilihisi dalili mbaya ila naogopa kupima naji balance kwanza.
Muhimu sana kuangalia unakula nini ukivuka tu 30 mana ushakua anko au aunty.
Nyumbani situmii kabisa vitu vyenye sukari, ila Kuna eneo nikienda unakuta hakuna chakula zaidi ya chai na maandazi, au mihogo ya kukaanga na chai 🤔Hapo upo kwenye stage ya Insulin Resistance/ Prediabetes achana achana navy au punguza kwa kiasi kikubwa ili u reverse hiyo hali kabla hujawa Diabetic.
Na ushawahi kufanya checkup Mkuu au unaji balance tu mwenyewe?Nikinywa chai, uji, maziwa au chochote chenye sukari, siku yangu Huwa inakuwa mbaya Sana. Mwili Huwa napata mauzauza mpaka najuta
Kwani kubutua kwa dharula siku moja moja unadhani kuna shida?Nyumbani situmii kabisa vitu vyenye sukari, ila Kuna eneo nikienda unakuta hakuna chakula zaidi ya chai na maandazi, au mihogo ya kukaanga na chai 🤔
Nabutua mara Moja nasubiria mateso ya siku nzima
Una umri ganiNyumbani situmii kabisa vitu vyenye sukari, ila Kuna eneo nikienda unakuta hakuna chakula zaidi ya chai na maandazi, au mihogo ya kukaanga na chai 🤔
Nabutua mara Moja nasubiria mateso ya siku nzima
Mkuu uongo mbaya niko nchi za watu miezi 9 sasa na sijapata kipozeo constant ila acha tuhisi tu matumizi ya sukari ndo shida hao wataalam umewatag wanasemaga nyeto haina madhara
upo nchi gani kiongoziMkuu uongo mbaya niko nchi za watu miezi 9 sasa na sijapata kipozeo constant ila acha tuhisi tu matumizi ya sukari ndo shida hao wataalam umewatag wanasemaga nyeto haina madhara
Yaa iyo msesewe kwenye mbege ndo inakuwajeMsewe ni eneo pale Ubungo.
Labda kama unataka kufahamu kuhusu Msesewe
Kazi ya Msesewe kwenye Mbege ni kuichachusha, iwe na ukali/kilevi.Yaa iyo msesewe kwenye mbege ndo inakuwaje
Labda picha ukinitumia nione, changamoto majina yanatofautiana mzeeNa Mkananga unaujua ?
Emirates mkuuupo nchi gani kiongozi
Sawasawa ni ule wenye majani madogo madogo yanawasha ukila pia yana harufu fulani nzuri. Unaoteshwa mpakani una miba kiasi.Labda picha ukinitumia nione, changamoto majina yanatofautiana mzee
Aaaah ila sio mti exactly Kuna namna unakuwa kma maua haya ya kutembea hv wenye rangi ya kijani almost na ni majani ya mbuzi 🤔Sawasawa ni ule wenye majani madogo madogo yanawasha ukila pia yana harufu fulani nzuri. Unaoteshwa mpakani una miba kiasi.
Huo huo sisi watu Marangu/Wavunjo tunauita Mkananga.Aaaah ila sio mti exactly Kuna namna unakuwa kma maua haya ya kutembea hv wenye rangi ya kijani almost na ni majani ya mbuzi 🤔
Aaaah huku ni msuki monowama, unanukia vzr ila miiba yake ikikupata aseeh hatare sanaHuo huo sisi watu Marangu/Wavunjo tunauita Makananga.
Nyi uro mbe kany. Msha wokye ukokutocha ukyewawa uicho tusu.Aaaah huku ni msuki monowama, unanukia vzr ila miiba yake ikikupata aseeh hatare sana