choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Jamaa yupo zama za ujima, ndio nikajiuliza angekua kaoa mtumishi angemwambia acha kazi rudi kwenuUnampeleka kwa wazazi wake kufanya nini?! Kama mmeshindwana kila mtu akae kwake kama kuondoka hapo mnaweza kubaliana wa kuhama, kama ni nyumbani kwako yeye aende kwake kama mmepanga gawaneni vitu kila mtu kivyake.
Huyo ni mtu mzima kwanini umpeleke kwa watu wengine?
Grow up Man.
Mahakama gani?Siku hizi hakuna huo utaratibu akikuchoka anaenda mahakamani kuvunja ndoa mgawane mali na mahakama inaamuru abaki na nyumba alee watoto na wewe mume utoke uende kwa wazazi wako au ukapange, na uwe unamlipa hela kila mwezi. Yaani wanaume tumetungiwa sheria za kutukomoa wasioe wala wasizalishe watoto wawe mashoga tu au wateja wa machangudoa. Yaani Shetani ametubana sana
Mtume kwao akasalimie akifika tu nenda kwao waeleze wazazi atakaa hapo mwaka mzima mpaka ajifunze adabu baada ya mwaka mfuate ,waambie wazazi hautaki upatanisho umetoa adhabu ,muda wa adhabu ukiisha utamfuata.Habarini za usiku wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahali tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.
Naomba kuwasilisha.
Nidhamu gani akafundishwe kwao au labda anatoa papa kwa manyamelaHabarini za usiku wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahali tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.
Naomba kuwasilisha.
Duh yaani badala ya kua mpole kwanza apate ndoa ,mahari tu ndo anazingua hivyo?Habarini za usiku wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahali tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.
Naomba kuwasilisha.
Jmn muwe mnawapotezea kabisa hao wanawakeNaomba tu niungie... Wakuta mwanamke wamuambia habari za kumrudisha kwao anakujibu live kuwa asee humu ndani sitoki hunipeleki popote hutaki toka wewe mi nipo, na tayari mahusiano mna mgogoro mnapishana mno.. still kauli ndio hiyo kuwa mi huniachi na hunirudishi kwetu.. (kiburi,dharau vimetawala) .. unamtoaje ndani na kumfikisha kwao salama? Hebu mawazo yenu plz.. mana mtu unahitaji kufanya busara hata majirani wasijue kuna shida
Toka tu kama alivyokuambia...kaanze life kwingineNaomba tu niungie... Wakuta mwanamke wamuambia habari za kumrudisha kwao anakujibu live kuwa asee humu ndani sitoki hunipeleki popote hutaki toka wewe mi nipo, na tayari mahusiano mna mgogoro mnapishana mno.. still kauli ndio hiyo kuwa mi huniachi na hunirudishi kwetu.. (kiburi,dharau vimetawala) .. unamtoaje ndani na kumfikisha kwao salama? Hebu mawazo yenu plz.. mana mtu unahitaji kufanya busara hata majirani wasijue kuna shida
Hapana,,,huyu jamaa muoga.Ikitokea kabadilisha reason ya kumrudisha kwao,,,wew shikilia msimamo wako,ili mradi ni kweli hukumtaka kinyume na maumbile.Yaan hadi kiapo nk. Kukubali kishingo upande ni kujiwashia moto wa tanuri mwenyew, coz akifika huko home atakutesa zaidi.Ah ah apo inabidi uwe makini sana maana Kuna jamaa alimuambia mke wake aludi kwao maana amekuwa na dharau ivyo mwanamke alivyo fika kwao, wazazi wakumkuliza wewe mbona umeludi nyumbani kulikoni Binti akaanza kulia na kusema kwamba flani ananitaka kinyume na maumbile, Sasa ikabidi jamaa aitwe na kukalishwa chini mwisho wasiku ikabidi jamaa akubali kishingo upande na kuomba msamaha
Ivyo kuwa makini unavyo mludisha kwao usije ukajikuta wewe ndio unaenda kuomba msamaha
Hata angekua ni Makamu wa Raisi anapaswa kurudushwa kwao kwasababu ulimlipia mahali na kumuoa. Hivyo akipata tatizo wewe ndie utakae ulizwa,so hakikisha unamrudisha kwao atake asitake.Labda kama umeoa mwanamke anayekutegemea wewe 100%, ila kama umeoa mfanyakazi au mwenye biashara zake unamrudishaje kwao ( hiyo ni logic ya zamani)
Wewe useme tuu mnaachana
Mamake mwanamke mcharuko bado unaishi naye tu? Hicho kiburi anakufanyia usikute kapata msaidizi wako, anakufanyia vituko makusudi ili umuache na jamaa aje kuishi humo ndani mwenu akichukua nafasi yako. Hapa ni kumwambia tu ukweli kuwa nimekuchoka, naomba tuachane na mtoto nitamtunza kwa kukupa hela za matumizi kila mwezi. Japo atashituka ila ni muhimu umbwage mapema asije kukuua kwa pressure na stress, hakuna kitu kibaya kama kuishi na mwenza akupaye stress maishani, utakufa mapema.Habarini za usiku wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yaani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahari tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.
Naomba kuwasilisha.
Mkuu mwamba kishamuonya sana Mimi naona yupo sahihi kumtimua kuhusu ma ex zake kumla unaweza Kuta hata Sasa hv analiwa akiwa kwa mumewe enough is enough amtoe mbioHuko kwao unakomrudisha si ndiko alikokulia? Hizo tabia unazoziona kajifunzia kwako?
Kumrudisha mke kwao ni kuwapelekea mke ma ex wake wakapashe viporo na ni udhaifu mkubwa Kwa mwanaume.
Cha kukushauri kaa nae Chini tena ili kumkanya ikishindikana tafuta wazee wake anaowaheshimu uwashirikishe waongee nae ikishindikana na hapo piga Chini.
Just relax, jifanye bwege kwa muda, akienda kusalimia kwao,mnunulie mpaka zawadi za kupeleka kwao, akifika kwao na wewe unaenda ndani ya wiki hiyo kuwaambia Toto lenu nimelishindwa, Toto lenu hilo hapoNaomba tu niungie... Wakuta mwanamke wamuambia habari za kumrudisha kwao anakujibu live kuwa asee humu ndani sitoki hunipeleki popote hutaki toka wewe mi nipo, na tayari mahusiano mna mgogoro mnapishana mno.. still kauli ndio hiyo kuwa mi huniachi na hunirudishi kwetu.. (kiburi,dharau vimetawala) .. unamtoaje ndani na kumfikisha kwao salama? Hebu mawazo yenu plz.. mana mtu unahitaji kufanya busara hata majirani wasijue kuna shida
Kwa hali ya mwanamke kama huyo, kumtoa Fanya hivi ...Naomba tu niungie... Wakuta mwanamke wamuambia habari za kumrudisha kwao anakujibu live kuwa asee humu ndani sitoki hunipeleki popote hutaki toka wewe mi nipo, na tayari mahusiano mna mgogoro mnapishana mno.. still kauli ndio hiyo kuwa mi huniachi na hunirudishi kwetu.. (kiburi,dharau vimetawala) .. unamtoaje ndani na kumfikisha kwao salama? Hebu mawazo yenu plz.. mana mtu unahitaji kufanya busara hata majirani wasijue kuna shida
Kwahiyo mfano yeye ni nesi ameajiriwa Dar kwao ni mtwara, utamuambia acha kazi kakae kwa wazazi wako mtwara? Ama ni kutengana tuu kila mtu aishi kivyake, hiyo ya kurufishana nyumbani ni kwa wanawake wa nyumbaniHata angekua ni Makamu wa Raisi anapaswa kurudushwa kwao kwasababu ulimlipia mahali na kumuoa. Hivyo akipata tatizo wewe ndie utakae ulizwa,so hakikisha unamrudisha kwao atake asitake.
Kwahiyo kama umeoa mwalimu mmekutania Dodoma, kwao kilimanjaro ataacha kazi akae kwao kilimanjaro mwaka mzima?Mtume kwao akasalimie akifika tu nenda kwao waeleze wazazi atakaa hapo mwaka mzima mpaka ajifunze adabu baada ya mwaka mfuate ,waambie wazazi hautaki upatanisho umetoa adhabu ,muda wa adhabu ukiisha utamfuata.
kama anafanya kazi akatafute pa kukaa , hapo shida ni niniKwahiyo kama umeoa mwalimu mmekutania Dodoma, kwao kilimanjaro ataacha kazi akae kwao kilimanjaro mwaka mzima?
Hamna logic hapo
Ujinga kabisa huu aisee....Siku hizi hakuna huo utaratibu akikuchoka anaenda mahakamani kuvunja ndoa mgawane mali na mahakama inaamuru abaki na nyumba alee watoto na wewe mume utoke uende kwa wazazi wako au ukapange, na uwe unamlipa hela kila mwezi. Yaani wanaume tumetungiwa sheria za kutukomoa wasioe wala wasizalishe watoto wawe mashoga tu au wateja wa machangudoa. Yaani Shetani ametubana sana