choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Jamaa yupo zama za ujima, ndio nikajiuliza angekua kaoa mtumishi angemwambia acha kazi rudi kwenuUnampeleka kwa wazazi wake kufanya nini?! Kama mmeshindwana kila mtu akae kwake kama kuondoka hapo mnaweza kubaliana wa kuhama, kama ni nyumbani kwako yeye aende kwake kama mmepanga gawaneni vitu kila mtu kivyake.
Huyo ni mtu mzima kwanini umpeleke kwa watu wengine?
Grow up Man.