Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

Mwanaume mzima nikojoe nimechuchumaa kwa kisingizio cha usafi ni ujinga mkubwa na kumkosoa Mwenyezi Mungu aliyeniumba hivi nilivyo.Kila kiumbe kimeumbwa kwa namna yake yakutoa haja sasa leo binadamu anakuja kujifanya ni msafi sana hadi kutaka kurekebisha alivyoumbwa.Kama hakuna wanyama wengine wa kiume wanaochuchumaa wakikojoa wewe mwanaume binadamu kufanya hivyo nikumkosoa aliyekuumba.Mungu angekua anachukia mkojo kiasi icho asingeshindwa kutuumba tusiwe tunakojoa au angetuumba tuwe tunakojoa kama jinsia ya kike wanavyofanya.
 
Na ww bibi kizee huna heshima

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Waislam wengi hufanya hivo,Kuna sheikh mmoja shuleni kwetu alitusieitiza Sana hili Miaka hiyo
Ili iweje?kwani ukirudi kwenu huogi?
Yaani unaogopa matone ya mkojo kulukia nguo!vipi kuhusu jasho linalotiririka mwili mzima,maana jasho na mkojo,contents zake ni zile zile,na huu utaratibu ni WA kijinga na unpractical sana,unless Uludi zama za mawe uwe unaishi jangwani au mbungani,sehemu kama kariakoo Dar,Darajani Zenj,stand zote za mikoa,utachuchumaa wapi?yaani uwe kwenye mishe mbugani,uchuchumae kukojoa?hizi akili zingine bwana,
 
naongezea , ukiwa unakojoa mara kwa mara kwa kuchuchumaa inaimalisha mishipa ya uume ya kukusaidia kwenye tendo, asa ww kijana wa miaka 30 uogope kuchuchuma kisa utakuwa choko basi kuna ulakini na urijali wako.
 
Umesomeka Akhy!!!
Wanaopinga wengi ni upande wa pili maana kila mafundisho yanayotokana na uislamu lazima wapinge hata kama yana faida vipi, najisi imezungumziwa hata kwenye Biblia ila wao hawajali wanapotezea tu so usitegemee watoe mchango postive.
 
% kubwa wapo hivyo
 
Dalili moja wapo ya kuanza tabia za ushoga ni mtoto wa kiume kuchuchuumaa akitaka kukojoa..na kuosha dushe baada ya kukojoa.

Hakika muda si mrefu utaaza kupelekewa moto mana tayari umeanza tabisa za kike kike.

Hata wanyama wanaochuchumaa ili kukojoa ni wanyama wa kike tu.

Sasa wewe mtoto wa kiume unaanzaje kuchuchumaa kama sio kujiandaa kupelekewa moto.

Chamsingi usafi wa boxa vaa moja kwa siku pia hakikisha una nawa mikono baada ya kutoka chooni hiyo inatosha sana.

#MaendeleoHayanaChama

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna dini zingine mtu unaweza onekana huna akili kisa imani tu..sasa mkojo wako unakuaje najisi..mana unatembea nao mwilini sawa tu na mavi ukichanwa tumbo hapo ni harufu tupu..manaake na wewe hapo ulipo ni najisi na hufai.

Dini ni moja ya ugonjwa wa akili wa wana damu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Shida yote hiyo ya nini?? Huwezi kutikisa mpaka tone la mwisho?
Hata utikise vipi..huwezi maliza mkojo wote ndani ya mrija wa mkojo..labda uingize pamba usafishe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kumjibu Mpumbavu ni matatizo ya akili pia, huwa hatuwajibu wapumbavu. Mpumbavu huwa anapuuzwa kama hivi.

Shukrani.
 
huku vidude vinauzwa visaidie jinsia KE kukojoa imesimama, huku jinsi ME inaanza kukojoa imechuchumaa, Kila kitu kiko hoves
 
Sikiliza wewe kiruwazenza!

Kwahiyo unamaanisha kuwa hata mtoto wako akinya kwenye meza ya chakula. Utaacha mavi hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…