Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

ukiwa kwenye mawe.?
 
🫂[emoji109]
 
Nakazia
 
Unamgeza na kukojoa huku umechuchumaa?![emoji101]
 
Wewe utakuwa mwanaume wa dar mchele
 
😃 hapa ni mwendo wa kutikisa mkonga tu
 
... ukichuchumaa psychologically una-activate nyuma pia which means utatakiwa kuingia bafuni else utatembea na kinyesi.
 
Mwanaume rijali starti akojoe kasimama, hii Inaonyesha urijali wake.
Hizi habari tuulize sisi Wanaume wenye dhakari. Nani amekwambia kukojoa kwa kusimama ni urijali ? Urijali haupimwi kwa kukojoa, kuna makhanithi wengi wanakojoa kwa kusimama.

Mimi mara nyingi nakojoa kwa kuchuchumaa kuliko kukojoa kwa kusimama na nikimaliza lazima nioshe Dhakari yangu,ikitokea sina maji basi nitatumia udongo, au mchanga, au majani au jiwe. Hii hutegemeana na mazingira ila kwetu sisi wanaume kukojoa kwa kuchuchumaa ni bora na kunapendeza zaidi kutokana na msingi wa kuepuka kupatikana mabaki ya mkojo katika nguo, sababu mkojo ni najisi.

Ukikojoa kwa kuchuchumaa dhakari inakuwa free sana ina kuwa ime relax mno, na mkojo unatoka katika hali tulivu na murua, kuliko ukiwa umesimama, ukiwa umesimama dhiki inakuwa kubwa na usipo kuwa makini unaweza kuubakiza mkojo.

Wote walio unga mkono kukojoa kwa kuchuchumaa, wanajua wanamaanisha nini na wako sahihi.

Mkojo ni uchafu na hutakwii ubaki nao. Kama huna maji basi tumia udogo, majani au jiwe, yaani kuosha dhakari baada ya kukojoa ni lazima.

Shukrani.
 
Mwanaume rijali starti akojoe kasimama, hii Inaonyesha urijali wake.
Mdada mbona kwa hili sharti lako, unakuwa umesema hadi mashoga ni marijali!!?
Maana sidhani kama kuna kinachowafanya washindwe kukojoa wamesimama.

Halafu kimantili inakuwaje mwanaume akikojoa amechutama anakuwa sio rijali?

Au ni wewe tu unachukua hilo.
 
Mleta mada amebainisha hoja zake ila kuwa ukikojoa umesimama kuna uwezekano mkubwa chembechembe za mkojo kukurukia ambazo ni uchafu.

Ila waliompinga hawajatoa hoja kwamba hilo linashikana vipi, bali wameonyesha kuwa hatakama ni hivyo wao hawajali.

Na huu ndio uchafu anaouzungumzia mleta mada.
 
Hayo hata kwa mwanamke pia, Si mwanamme tu.

Mijanajike na mijana dume mingi haielewi usafi huo, wao ni kukojoa kwa kusimama tu na hawajioshi kabisa kwa maji, si wanawake wala wanaume. Hawana ustaarabu huo. Wana ustaarabu wa paka kunya mavi kujipaka.
 
Mkuu ni hatari kukojoa umechuchumaa ,
Kwanza ni rahisi kupata maambukizi kwa njia ya mkojo, na hii ndio sababu wanawake wanapata sana kwa hiyo njia yao ya kukojoa wamechuchumaa.

Unapoteza muda, itakubidi uvue nguo ya chini kwa ajili ya kimkojo tu. Na sie wanaume ndo mahiri kwa kutunza muda sasa ukianza kuiga ukikekike utapoteza muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…