Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

Achana na sisi na utamaduni wako wa kiarabu, Tutaendelea kukujoa tumesimama.
Unaudharau utamaduni wa Kiarabu> Tuambie ni nini maana ya ustaarabu halafu kubali kuwa wewe si mstaarabu.

Hapo sasa, tazama chenga atakayojipiga.
 
Unless unakojoa polini kwenye majani, sehemu yene mchanga mwingi au vile vyoo special vya juu hasa vinavyokuaga stand za mabasi au vyoo vya kulipia au vile vya shimo la moja kwa moja unaweza ukasimama, ila hivi vyoo vya sink na kwengineko ni uchafu mwanaume kukojoa umesemama.

Ukikojoa kwa kusimama Mkojo unaruka na kuingia kwenye nguo, ukutani na chombo cha karibu cha kuhifadhia maji au kunawia.

Pia ni vizuri kuosha zakali yako baada ya kukojoa, sio baada ya kukojoa unaiingiza tu kwenye suluali na kufunga zipu.

Pia hakikisha umemaliza kila kitu ndio unawe na kuiingiza ndani vinginevyo kuna vidogo vidogo vinavyobakia vinakua vinakuja taratibu mwishoni na unaweza usifahamu.

Naomba kuwasilisha
Ufanye hivyo Ili ugundue nini?Ili uwe kama Bakheresa,au Dangote?ina tija gani?au ndio maagizo ya Allah!
Kupoteza muda tu,badala ya kuwaza mambo makubwa ya uchumi,unawaza mambo ya kijinga kabisa
 
Nna pombe zangu kichwani, nasogea kichakani, nasusha nguo magotini, nachuchumaa asilani...

Nikifika tamati, nakusanya udongo na majani ya miti, nipakaze wangu uchi, ili uwe msafi.
 
We kojoa kwa kuchuchumaa, ila mimi kidume nasimama.
Unaonekana wewe ni binti, wanaume huwa hatuandiki hivi. Kujisifia ukidume hali ya kuwa ni kidume ni kutokujiamini kama ilivyo kuweka wazi jambo ambalo liko wazi.
 
Mwanaume kukojoa amechuchumaa![emoji54]nilifikiri nimeshasikia Kila kitu
 
Yani nichukue udongo nijifute kwenye kikojoleo au nichukue jiwe nijisugue kuondoa mikojo iliyobaki? Huu ujinga sifanyi, kwanza mkojo ni uchafu uliokuwa mwilini hivyo hauna madhara kama yangekuwepo labda UTI ingeniathiri kabla sijautoa.

Siwezi jikuta msafi nikaogopa urea alafu nijipake udongo wenye uchafu wa nje. Bacteria humohumo, fungi na mayai ya wadudu. Kwahiyo mwanamke naye ajipake udongo na ajifute na jiwe kama maji hamna?
Poa.
 
Mkuu kukojoa umesimama kuna wakati ni bora na kuna wakati sio bora.

Na kukojoa umechuchumaa ni bora na kuna wakati sio bora.

Kimsingi kinachozingatiwa kwenye kukojoa ni kwamba mkojo usiingie kwenye nguo kama ambwvyo mtu anaepusha mavi yasiingie kwenye nguo.

Na mtu aweze kukosha kitoka mkojjo kama ambavyo anakosha kitoka kinyesi.

Lengo sio kukojoa umechuchumaa bali lengo ni mkojo usifike kwenye nguo na ukoshe utupu vizuri.

So mtu anaweza kukojoa amekaa au amesimama maadamu tu anaweza kukosha tupu na mkojo usiingie kwenye nguo.

Kukata moja kwa moja kwamba kukojoa umechuchumaa ndio usafi nadhani hali make sense saana.
Mwanaume kuchuchumaa , mhh
 
😂😅 mbona haya mambo ni ya kishoga kabisa, mwanaume na hayo mambo wapi wapi...?!?! Astaghfirullah
 
Miaka yote tangu utotoni nakojoa kwa kusimama fresh tu, leo hii unaniambia nichuchumae? Gerarahiaa

Kama ishu ni nguo kuchafuka... washing mashine, sabuni maji yapo.. zitafuliwa
Kama sijui ni ishu za infection... hospital na madaktari bingwa wapo watanitibu

ila nikuhakikishie kuwa miaka yote hii tangu utotoni sikuwahi kupata tatizo lolote la kukojoa nikiwa nimesismama
Yule jamaa aliyewaambia dunia iko flat aliwaharibu sana hawa jamaa.
 
Point hapa ni usafi, kama unaweza kusimama na kuacha pa kukalia pasafi au upasafishe ukimaliza sawa. Wanaume kawaida wanasimama na wanawake wanakaa.
 
Nyie wenzetu sijui mkoje, na ile ya kujiingiza kidole cha kati hadi mwisho wakati wa kutawaza baada ya haja namba 2 imekaaje?
 
Ujue navutia picha ati nawahai toi then nachuchumaa ku_susu.

Hahahah hai ingii kichwani kaaaabisa yan 🤬🤬😂😂
 
Back
Top Bottom