Ni ushamba sana kutoka semina umebebelea kopo la maji uliyopewa kwenye semina, warsha nk

Ukisoma hizi comments utagundua walimu ni tatizo. Soma tu comments utawaelewa, wengine tulosema tunaambiwa tuna dharau kwa walimu
 
Kwenye sherehe uwa naenda na gallon ya litres 5 namimina bia tu,nitoe mchango 150k halafu unipe bia 2 unaumwa nini
 
Mind your fucking business 😒, acha kufatilia maisha ya watu
 
Ni vizuri ukabeba kila kitu ili kufidia Muda wako na gharama
 
Daah [emoji1787][emoji1787]unyama Sanaa bab
 

Uzi huu umefunguliwa mahal
 
Peace be upon you all,

Aise waTanzania ni watu washamba sana sana kabisa. Mwanzo nilidhani ni watumishi pekee wenye huu ushamba ila nimebaini ni watu wengi wa sekta zote...
Last week nilialikwa kwenye ukumbi wa HAPPY HOUR, ilikuwa shuhuri ya wachaga fulani, nilijikuta naondoka na mchupa mkubwa wa maji ya Kilimanjaro 😎, mkuu Kweli ulimbukeni unatusumbua😎😎
 
Another stupid thread
 
Kiongozi unashauri hayo maji tuwe tunayabebea wapi??
 
Huyu anajiita umpaid seller. Anataka virudishwe dukani akaviresell
 
Sasa hapo kinachokukwaza ni nini?
Kwani mtu akinunua maji ya shs 500 hawezi kunywa yakabaki akabeba?
Yaani Nchi ina matatizo kibao, ya Umeme, Maji, Janga la njaa/ukame wewe unatumia akili kuwazia mtu aliyebeba maji ya kunywa? Shame!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…