Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ukisoma hizi comments utagundua walimu ni tatizo. Soma tu comments utawaelewa, wengine tulosema tunaambiwa tuna dharau kwa walimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekojoa barabaraniWewe mwenyewe hukunywa ukabeba ndo mana ukawaona ungekua umekunywa hapo hapo ungebanwa na mkojo ungekua busy kukojoa
au wewe ndio mwenye uziUkisoma hizi comments utagundua walimu ni tatizo. Soma tu comments utawaelewa, wengine tulosema tunaambiwa tuna dharau kwa walimu
Hadi majuice makubwa yale ya azamChochote kile nabeba
Hakuna kulemba babu unakula kwa urefu wa kambaHadi majuice makubwa yale ya azam
UKAWA mnamatatizo sanaUkisoma hizi comments utagundua walimu ni tatizo. Soma tu comments utawaelewa, wengine tulosema tunaambiwa tuna dharau kwa walimu
kuna washamba wanataka virudishwe dukaniNi vizuri ukabeba kila kitu ili kufidia Muda wako na gharama
Last week nilialikwa kwenye ukumbi wa HAPPY HOUR, ilikuwa shuhuri ya wachaga fulani, nilijikuta naondoka na mchupa mkubwa wa maji ya Kilimanjaro 😎, mkuu Kweli ulimbukeni unatusumbua😎😎Peace be upon you all,
Aise waTanzania ni watu washamba sana sana kabisa. Mwanzo nilidhani ni watumishi pekee wenye huu ushamba ila nimebaini ni watu wengi wa sekta zote...
Tatizo kaenda kwa kasi kala za usoo... Inatakiwa uwe wa mwisho kutoka ukumbini, yeye kawa wa kwanza ndy maana kakosa majiAcha waje kukupa muongozo
Another stupid threadPeace be upon you all,
Aise waTanzania ni watu washamba sana sana kabisa. Mwanzo nilidhani ni watumishi pekee wenye huu ushamba ila nimebaini ni watu wengi wa sekta zote.
Yani unakuta watu wamekwenda semina fulani alafu muda wa kutoka wamebebelea vimaji vya mia tano hako kakopo atakabeba njia nzima. Unajiuliza huyu ameshindwa kuyamaliza hayo maji na mara nyingi semina na warsha wanagawa vimaji vya 600 ml. (Vile vimaji vya 500 Tsh).
Wanamake sasa aise hawa ndugu ni washamba haswa, unakuta mmama na heshima zake semina imekwisha anaenda anaomba maji yaliyobaki chupa mbili tatu huyo anabebelea mpaka nyumbani, kwamba nyumbani kwake hakuna maji ya kunywa?
Na wenye ulimbukeni huu ni watu "wasomi" aise hopeless uncivilised graduates. Alafu wakiwa wamebebelea ukiwatazama hua wanaona fahari kweli kweli kutembea na maji waliyogaiwa kwenye semina, warsha nk
Kiongozi unashauri hayo maji tuwe tunayabebea wapi??Peace be upon you all,

Sasa hapo kinachokukwaza ni nini?Peace be upon you all,