Anaita wenzake lofa yy anafanya kazi Gani hapo misheniWewe ni loafer mwingine
Aungame kwa sababu ya kumuita mtu loafer, kwani hilo ni tusi?
Wewe loafer sababu mvivu, na mzembe wa kutafuta ukweli, maarifa na taarifa.
Umeshindwa kutafuta maana ya loafer?
Au haujui hilo ni neno linalotokana na lugha ya kiingereza likimaanisha mtu mwenye sifa za uzembe na uvivu?
Loafer (person): Someone who avoids work, an idler, or a layabout, derived from the verb "to loaf".
Wao wanataka wengine wawe wavumilivu hata wakitukanwa ila wao hawana uvumilivu kwa wengine wanapokuwa na maoni tofauti.Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Kumbe wewe ndio "lofa" mwenyeweHatutegemei kauli kama Ile itoke kwa Askofu ni kuaibisha kofia ya uaskofu
Tena alikuwa akizisubiri nyingine za nyie nyumbu wa D9. Kuku bata kondoo mbuzi nyie.Aanze Samia kutubu kwanza kwa kuangamiza roho za watanzania zaidi ya 10000.
Hahaha, vituko vya mwaka lazima vifWewe muislam lakini unafatilia ibada za wakiristo kuwazidi wakiristo wenyewe π€£π€£π
Neno ni tafadhaliMimi mkiristo halafu naomba uache mambo ya udini tafadhari sana.
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Amemwaga povu jingi sana kanisaniMuwe mnatuliza mioyo na akili zenu. Hapo Askofu hana kitu chochote cha kitibu. Aliye lofa kuitwa lofa siyo tusi, bali ameelezwa ukweli jinsi alivyo.
Hiyo aliyeandika hiyo barua kwenda Vatican, kwa kweli siyo lofa tu, bali ni mnafiki na msaliti wa imani, maana neno la Mungu linamraka kuwa mkweli, mpenda haki, mteteaji wa wanaonewa; sasa yeye kumshtaki Fr Kitima ambaye daima amesimama imara katika kuyaishi maagizo hayo ya Mungu, basi yeye si mkristo tena. Lakini pia kutojua utaratibu wa kanisa wa kuwakilisha malalamiko yoyote, huyo ni lofa na mjinga wa hairakia ya utawala wa Kanisa.
Mleta mada, katika ulofa huo, na wewe umo kwa sababu huelewi chochote ya imani ya kweli ya kikatoliki inayomtaka kila muumini kuwa mkweli wa nafsi, hiwezi kumwambia Askofu aombe msamaha kwa sababu amekuwa mkweli. WEWE NAWE, HAKIKA LOFA MWENZAKE WA HUYO ALIYEAMBIWA NI LOFA.
Hajashiba damu bado kumbe?Tena alikuwa akizisubiri nyingine za nyie nyumbu wa D9. Kuku bata kondoo mbuzi nyie.
Hatuna mkristo mkuma **** ka weweMimi mkiristo halafu naomba uache mambo ya udini tafadhari sana.
NARUDIO KWA HERIFI KUBWA HAKUNA MKRISTO MKUMA **** kama WEWE!Katubu
Nimekuuliza swali jibu ni moja tu ndiyo au hapana,huyu mwenye kovu la kiwembe usoni ktk pichaMkipngwa kidogo tu povu kibao mpaka kofia zinadondoka
Kazi ndo hiyo hiyo mkifanya ujinga hamtaki kuambiwa ukweli ππ inabidi uelekezwe uache Ulofa mkuuAnaita wenzake lofa yy anafanya kazi Gani hapo misheni