Ni vema Askofu Ruwai'chi akatubu kwa kumuita lofa mtu aliyemshitaki Padri Kitima kwa Papa

Nipo hapa mbezi beach karibu sana.
Wewe ni muislamu, na yule lofa ni muislamu mwenzio!
Wakatoliki tunafahamiana hata namna tunavyopost humu!
Vimelea vya ukatoliki huna na nimefurahi sana ulivyojichanganya kwamba father Kitima alipewa uaskofu!
Jiepushe na aibu ndogondogo!
Vijiwe baada ya swala ya jioni vinakuponza!
 
Sikulazimishi kuamini kuhusu dhehebu langu. Mimi mkatoliki tangu nazaliwa na nitakufa humu humu, kupinga yanayofanywa na Father Kitima haina maana kwamba nimeshakwenda kwenye madhehebu mengine.

Nipo huru sana kichwani.
 
Ndo maana nikakuomba usiendelee kujiaibisha!
Na kuwaaibisha waislamu wenzio tudhani kuwa nao wako kama wewe!
Mimi mkatoliki tena nipo kwenye chama cha kitume cha Moyo Mtakatifu wa Yesu kwa miaka mitatu sasa.

Nipo huru kichwani kuliko unavyodhania.
 
Sikulazimishi kuamini kuhusu dhehebu langu. Mimi mkatoliki tangu nazaliwa na nitakufa humu humu, kupinga yanayofanywa na Father Kitima haina maana kwamba nimeshakwenda kwenye madhehebu mengine.

Nipo huru sana kichwani.
Nimwkupa ushauri wa kindugu sana kwako!
Yanayofanywa na Padre Kitima ni kupinga wizi wa kura kuwa ni dhambi kama dhambi zingine,
Kupinga mauaji
Kupinga utekaji
Kupinga ufisadi
Kutetea haki!
Hayo kwenye jumuiya na Parokia yenu yanapingwa?
Parokia zote na jumuiya zote anayoyafanya father ndiyo mafundisho halisi ya Ukatoliki!
Haki huzaa amani!
 
Kwa niaba ya wakatoliki wa jumuiya yangu, nakubaliana na neno alilolitamka baba Askofu kwa lofa huyo. TYK
 
mkuu unadhani hatujui kama huyo LOFA hapo ni wewe ....sema Rozari ulivyoiweka sasa malofa wenzako wanadhani ni kweli
 
Umeingia JF Sept 2025. Sishangai majiji yako.. ndiyo nyinyi mlikuwa recruited Kwa KAZI maalumu ya kinyumbu
WE SI LOFA, WE NI TAIRA, UMEKIMBIA KUPELELEZA ACC YA LINI? HAAAAAAA ALAFU UMEFIKA TU UKAKUTANA NA CHUMA HICHO NI KIPYA TETETEEEEEH LOFA WEEE, TAIRA KIBWA JINGA, TUMEPOTEZA WATU WENGI OKT 29 UNALETA USHOGA HAPA, AKILI HUNA ETI KANAENDA KUNIPELELEZA KAJIUNGA LINI HUYU, TAWACHANGANYA SANA MATAIRA KAMA NYIE, LOFA LOFA LOFA LOFA LOFA LOFA WE NI BIG LOFAAAAAAAA
 
Hapana lofa ni tusi kubwa sana
Mkuu search TUKI online dictionary chagua Swahili-English.
Andika neno lofa hiyo ya kishwahili utajicheka na kujiona lofa ukijua maana yake.
Mtu mvivu au mzembe.
Wewe lofa wa kutafuta maarifa. Hukujisumbua kutafuta maana ya lofa kishwahili na loafer kiingereza.
Au tafuta kamusi ya TUKI printed hardcopy.
“lofa” in English | MobiTUKI Swahili translator “lofa” in English | MobiTUKI Swahili translator
 
Reactions: apk
Huyo mpumbavu sijui huwa anasali parokia gani,hapo ponapona yske itabidi asilimu tu maana ugomvi aliyouanzisha ni mkubwa
 
Huyo aliyemshtaki kitima ana Phd ya sheria. Jamani phd ijibiwe na phd.
 
Jifunze kuandika Kwanza ndiyo uje kuzungumza na wanaume " taira" maana yake ni nini?.. kumbe napoteza muda wangu na kiazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…