Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

Mfano kiongozi yupi wa Chadema alikashifu watu wa Pwani?
 
Wewe ni Chawa au? Wakristo wanamchukia Samia bila kosa lolote kivipi?
 
Taja awamu moja ambayo TEC hawakukosoa Serikali yake?
 
Sijui ni kwanini kwa makusudi kabisa anaamua kupotosha?
 
zaidi ya asilimia 90% ya viongozi wa Chadema Bara ni wakristo.
Vijana wa Chadema kwa maana BAVICHA ndio unawakuta wamejaa mitandaoni wanawakashifu waislamu

Kwa hali kama hiyo ni ngumu sana Imani kwao kujengeka
Taja kiongozi Mkristo mmoja tu ambaye hafai unahisi amechukua nafasi ya Muislamu?
 
Taja awamu moja ambayo TEC hawakukosoa Serikali yake?
Hauchomoki hapa mlokole zwazwa
Tunafuata Pattern Recognition
Kwanini matamko yana ya shabihiana na dini gani Raisi wa nchi
Kama hujasoma Statistics, usinikwoti, endelea kumbulula......................

 

..hiyo ipo kwa dini zote.

..TEC walikuwa ktk dilemma wakati wa Jpm.

..Bakwata wako ktk dilemma kipindi hiki cha Ssh.
 
..hiyo ipo kwa dini zote.

..TEC walikuwa ktk dilemma wakati wa Jpm.

..Bakwata wako ktk dilemma kipindi hiki cha Ssh.
Walokole hamchomoki hapa
TEC walikuwa kwenye dilemma kwa sababu ni Magu ni mlokole mwenzao na hata Kardinali Pengo alimuita ni malaika
Bakwata walikuwa na JPM bega kwa bega, na kumsifia kedekede kwa kuwa alikuwa neutral
Ila sasa TEC wameota mapembe kama wakati wa Mwinyi na Kikwete ?
Kwanini ?
 

..Chadema walikuwa na Answar Sunna wakati wa Magu.

..ndio maana Lissu aliambatana na Sheikh Ponda wakati wa kampeni, na aliwatetea Mashekhe wa Answar Sunna, na Uamsho, waliokuwa kizuizini.

..Waislamu hawapaswi kuiunga mkono Ccm bila kujali aliyeko madarakani ni Muislamu, au Mkristo.

..Kikwete ndiye aliyewakamata Mashekhe wa Uamsho, na pia alituma majeshi kupiga wananchi mikoa ya Kusini ambako waathirika wakubwa ni Waislamu.

..Magu naye aliuwa Waislamu Mkuranga, Kibiti, na Rufiji. Pia alipora Korosho za watu wa Kusini.

..Binafsi siioni mantiki ya Waislamu kuiunga mkono Ccm wakati wowote ule.
 
Ulitaka CCM ifute wanachama wake wote au?

Fair ground ilikuwepo maana vyama vilikuwa vikipata ruzuku ili viweze kujiendesha.

Lilikuwa jukumu la kila chama kilichopata usajili kuuza sera zake kwa wananchi na kuongeza ushawishi wake kwa kupata wanachama wa kudumu.

Kama walifeli hapo huwezi laumu CCM.

Kabla ya Chadema tuliona NCCR na CUF vikifanya vizuri wao waliwezaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…