Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kwisha habari yako. Unaongea kwa hisia sana huenda ndio huwa unafanyiwa hivyo. Polee sanaPolitics it's all about fucking your p*ssy
Acheni wasomi wa nchi bii watukanwe na akina Xotto magari ma akina Msukuma.Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.
Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.
Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.
Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.
Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.
Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.
Angalia hio.
Oooh kubwa la machawa umefika?Mwisho,uchawa ni nini? Tangu lini kuvaa t shirt ya Kiongozi unaemkubali ukawa uchawa?
Ila mkivaa za wachezaji sio uchawa?
Kuna tatizo ya tafsiri kwenye kichwa chako mtoa mada ama chuki Kwa Samia ndio zinakutesa,ni hivi utateseka sana .
Wewe unaonekana uelewa wako upo chini sana. Ona tu namna unavyoandika? Au mzazi wako kakuachia smartphone?Acheni wasomi wa nchi bii watukanwe na akina Xotto magari ma akina Msukuma.
Wamezixi upumbavu na uchawa
Jibu hoja,uchawa ni nini? Tangu lini kuvaa t shirt yenye picha ya Kiongozi unaemkubali ni uchawa?Oooh kubwa la machawa umefika?
WanalazimiswaAs as long as hawalazimishwi sioni shida. Maana hata mawaziri na wanasiasa wasiovaa hawachukuliwi hatua basi, ndugu kunywa maji utulize machungu.
Yaani JF hupokea hata threads za HOVYO kama hii. Fulana yenye picha ya Rais imekukera???
Wewe issue ya Russia vs Ukraine imekushinda? Naona umeanza kuhaha 🤣 🤣 🤣 🤣Taifa la wajinga linaongozwa na wajinga
Unapiga porojo tu mdogo wangu. Huenda huna exposure na siasa za duniani.Wanalazimiswa
Siasa unaijua kweli?Kwa sababu hizi ndio maana taifa letu ni bora kwa amani kushinda hayo uliyoyataja....
Rais ni dira na tafsiri pana sana kwa watanzania na wala si kwa jirani zetu Rwanda ama Uganda....
Jirani yangu anagunwa kuwa mchawi ila ana SURA nzuri mnooo....Mchengerwa amekuwa na muonekano wa kichawi kabisa.
[emoji7][emoji7]Hamia Rwanda
Mjinga ni yule ambaye hajui kuwa hao WAMESHATEULIWA baada ya kutoka hizo nafasi za uteuzi....Majitu majinga kama haya yatamshauri nini maza? hapo yanawaza tu nafasi za uteuzi.
[emoji1787][emoji1787]Hawavai ila kumbuka mzee mseveni anafikisha miaka 38 madarakani[emoji23][emoji23]
Rais wetu....Unapokuta mtu mzima kabisa kama Waziri mkuu na mtu mwenye heshima zake kama Lukuvi wamevaa hzo tishert unatakiwa kuwaza mara mbili mbili kuhusu vijana wailo Taifa.
Akikujibu nitag [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pia Museveni yuko madarakani karibia miaka 40 sasa na Kagame zaidi ya miaka 20!
Vipi waonaje tuiige na hiyo then tuache kuvaa ma t-shirt ili tufanane?