Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Politics it's all about fucking your p*ssy
Kwisha habari yako. Unaongea kwa hisia sana huenda ndio huwa unafanyiwa hivyo. Polee sana
Sisi wanaume hatujui maumivu ya kuwa fvcked 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Kunywa maji meeeengi utulize koo lako

Kwa sasa huna uwezo wa kujadili.
 
Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.


Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.

Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.

Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.

Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.

Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.

Angalia hio.
Acheni wasomi wa nchi bii watukanwe na akina Xotto magari ma akina Msukuma.
Wamezixi upumbavu na uchawa
 
Mwisho,uchawa ni nini? Tangu lini kuvaa t shirt ya Kiongozi unaemkubali ukawa uchawa?

Ila mkivaa za wachezaji sio uchawa?

Kuna tatizo ya tafsiri kwenye kichwa chako mtoa mada ama chuki Kwa Samia ndio zinakutesa,ni hivi utateseka sana .
Oooh kubwa la machawa umefika?
 
Acheni wasomi wa nchi bii watukanwe na akina Xotto magari ma akina Msukuma.
Wamezixi upumbavu na uchawa
Wewe unaonekana uelewa wako upo chini sana. Ona tu namna unavyoandika? Au mzazi wako kakuachia smartphone?
 
Oooh kubwa la machawa umefika?
Jibu hoja,uchawa ni nini? Tangu lini kuvaa t shirt yenye picha ya Kiongozi unaemkubali ni uchawa?

Mwisho,mkivaa fulana Zenye picha za wasanii na wachezaji ni uchawa au?
 
Hili nalo linafedhehesha zaidi.

Mabaya zaidi wanafundisha hivo na UVCCM, Kutwa ni mapambio tu.
 
As as long as hawalazimishwi sioni shida. Maana hata mawaziri na wanasiasa wasiovaa hawachukuliwi hatua basi, ndugu kunywa maji utulize machungu.

Yaani JF hupokea hata threads za HOVYO kama hii. Fulana yenye picha ya Rais imekukera???
Wanalazimiswa
 
Tanzania si Rwanda...

Rwanda walimwagana damu kwa sababu za UBAGUZI wa kikabila....

Maisha ya watanzania ni bora na yasiyo na rejea ya nchi nyingine....

#Mama Tanzania [emoji7]
 
Kwa sababu hizi ndio maana taifa letu ni bora kwa amani kushinda hayo uliyoyataja....

Rais ni dira na tafsiri pana sana kwa watanzania na wala si kwa jirani zetu Rwanda ama Uganda....
 
Lini ulisikia Rais wa Rwanda ama Uganda anapewa UCHIFU MKUU WA MAKABILA YOTE?!! [emoji44]

Kwetu tunaye Chifu Hangaya [emoji7]
 
Kwa sababu hizi ndio maana taifa letu ni bora kwa amani kushinda hayo uliyoyataja....

Rais ni dira na tafsiri pana sana kwa watanzania na wala si kwa jirani zetu Rwanda ama Uganda....
Siasa unaijua kweli?

Politics is all about advertisement. Tunashukuru na wewe kuwa sehemu ya matangazo yaliyochapishwa kwenye T-Shirt.

Tatizo vijana wa siku hizi mnaenda shuleni kusomea upumbuvu
 
Unapokuta mtu mzima kabisa kama Waziri mkuu na mtu mwenye heshima zake kama Lukuvi wamevaa hzo tishert unatakiwa kuwaza mara mbili mbili kuhusu vijana wailo Taifa.
Rais wetu....

Ndio nguzo yetu imara.....[emoji7]
 
Pia Museveni yuko madarakani karibia miaka 40 sasa na Kagame zaidi ya miaka 20!
Vipi waonaje tuiige na hiyo then tuache kuvaa ma t-shirt ili tufanane?
Akikujibu nitag [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom