2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,232
- 4,927
Hainiingii akilini kuwa eti makombora na mabomu yanaweza kuibadili uongozi au mfumo wa utawala Iran. Hata mtoto mdogo atakataa, Iran inaweza kupigana vita vya muda mrefu historia inaonyesha,wana uvumilivu wana nguvu na wana bidii,kama wamevumilia vikwazo toka enzi ya Mapinduzi kwanini wasivumilie kwa sasa?
Njia pekee labda maadui wa Iran wapeleke askari wa miguu jambo ambalo wote ni gumu na hawawezi kabisa. Unaweza kuiteka ikulu kwa kurusha tu mabomu? Siungi mkono vita lakini Iran haitakubali wa kusalimu. Watadhoofika tu sababu ya gharama ya vita na uharibifu lakini mwisho wa Iran bado sana labda NATO yote iende kwa miguu sio makombora.