Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

Unakimbilia wapi mzee, mnatamka kila siku Demokrasia afu unakimbia Box.

Box ndilo kitaamua ni Lissu ama Mbowe!! kumtaka Mbowe ajitoe hiyo siyo Demokrasia ndugu.
.na atakayeshindwa asikimbie baki abaki kujijenga chama.

Ka mchezo ka Demokrasia ni katamu sana - kitu ndani ya Box ukipigwa yaani kama hujapigwa vile - ha ha ha
 
Pole Msigwa, hii I'd siku nyingi naifatilia
 
Nitashangaa sana kama kuna kijana atakomaa kukosoa serikali mpka apate madhara ya kukamatwa au kupata matatizo zaidi kama washika usukani ndo hawa ambao kuikosoa serikali ya ccm ni sahihi lakini kukosoa chadema kutokana na mambo ya rushwa sio sawa na ni kukosa kutunza siri shenzi kabsa
 
Nitachukua maamuzi yangu binafsi baada ya uchaguzi huo kuisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…