Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

Dah,nimecheka vibaya sana!

Wenzenu tushajua kitambooo,ndio maana atushabikii kivilee mambo ya vyama, Muunge mkono tu samia hadi 2035
 
Pole sana kaka. Hiki kikombe kila mmoja wetu atakinywea. Mimi nilichukua uamuzi kama wako mwaka 2009 baada ya Sakata la Zitto. Nikaona hapa hakuna chama chenye nia ya kumkomboa mtanzania. Niliamua kujiunga rasmi CCM na kwa kweli moja ya kitu najuta sana, ni pale nikikumbuka nilikua mwanachadema.
 
Mkuu tusikate ta
Mkuu tusikate tamaa, tumtafutie kura lissu.Kwa mabadiliko ya kweli twende na lissu
 

Sidhani kama hayo yangefanyika Lissu angekuwa mwenyekiti. Mchakato wa katiba moya na tume huru ungekuwa unaendelea sasa.
 
Tulichelewa kujua hili. Najutia kushupaza shingo kutetea chadema kwa nyakati mbali mbali
 
Mapema mno subiri uchaguzi ufanyike kwanza kamanda. Lissu akishinda si utarudi Tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…