Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Hii kitu inaweza kusaidia kwa kiasi fulani.
Uhalisia ni kwamba kila mtu atakuwa anatazama maisha yake na jinsi gani apambane kuongeza mali zake.
Prenup ni nzuri lakini itaua ndoa mazima.
Kama mwanamke anaingia ndani ya ndoa akifahamu mali fulani za mume wangu ni za kwake mwenyewe, there’s no way akawa submissive kwa % kubwa.
atafanya juhudi ya kutafuta pesa zake kwa nguvu.
Prenup itakuja kusababisha ndoa zisiwepo kabisa kuliko hali ilivyo sasa.
Katiba Inasema serikali haina dini ila watu wake wana dini wakiwemo viongozi wote ndio maana huapishwq kwa vitabu vya dini wote na kuna Wimborne wa taifa unaomtqja Mungu na Bungeni huanza bunge kwa sala na mahakamani watu huapa kwa kitabu cha diniHujui serikali yenyewe ni upagani kwa sababu haina dini na haiamini katika Dini?
Kwani ndoa Ina husiana vipi na uzalishaji??.KWANINI UNAKATAA NDOA KWANI WEWE ULIPATIKANAJE
Anamaanisha kwenu mnazaana kwa utaratibu upi? Sio tendo la kujamiiana.Kwani ndoa Ina husiana vipi na uzalishaji??.
reproduction na marriage ni topic mbili tofauti mzee.
Katiba Inasema serikali haina dini ila watu wake wana dini wakiwemo viongozi wote ndio maana huapishwq kwa vitabu vya dini wote na kuna Wimborne wa taifa unaomtqja Mungu na Bungeni huanza bunge kwa sala na mahakamani watu huapa kwa kitabu cha dini
Upagani hauna nafasi
Tatizo la kuzaliwa nje ndoa ndio hiliSafi sana, naona somo linazidi kuwaingia..... ndoa ni taasisi ya kitapeli inayojengwa kwa misingi ya udanganyifu.... KATAA NDOA
Wakati wa kifunga ndoa zinafungwa kiimani, kidini na kuna dini ni mpaka kifo kiwatenganishe.
Inajulikana. Mwambie mwislamu/Mkristo aende serikalini badala ya utaratibu anaouelewa utanielewa nilichomaanisha.Ndoa zote zinafungwa na serikali. Hakuna ndoa hata moja inayofungwa kiimani na kidini
Bro Robert,PreNup ndio ndoa yenyewe.
Hiki kilichopo sasa hivi ni utapeli wa wazi kabisa
KATAA NDOATatizo la kuzaliwa nje ndoa ndio hili
Wewe umezaliwa na kukua kama mnyama pori asiye na malezi ya wanadoa ndio maana hujui faida ya ndoa
Inajulikana. Mwambie mwislamu/Mkristo aende serikalini badala ya utaratibu anaouelewa utanielewa nilichomaanisha.
Kuna watu akili zao huwa by default zimeshikwa na Papa, Mwakasege, Sheikh Kipozeo, Sheikh Ponda, Kuhani Mussa, Mwamposa etc.Aliyekuambia kila mtanzania ni Mkristo ni nani?
Nimeshaandika hapo sisi sio kitu kimoja, sio dini moja, sio utamaduni mmoja, hatuabudu Mungu mmoja. Wapi hujaelewa?
Bro Robert,
Yaani ni hivi, kama mke wako atakuwa anajua mali fulani ni za kwako, na yeye mwisho wa siku hatakuwa na chake.
Usitegemee ukamwambia rudi nyumbani uwahi kunipikia, kuniandalia maji au hata kazi za ndani.
Atakuwa na mentality at the end of this union sina changu hapa, ninahitaji kupambana nipate changu.
Atatafuta kazi, mtalipa mfanyakazi wa ndani pesa wote, mtalipa bill kwa pamoja, sababu kila mtu atakuwa busy kutafuta mali zake.
Prenup inaweza kusaidia ila kwa kiasi kikubwa inaweza kuja kuvunja maana halisi ya ndoa na hali kuwa mbaya zaidi kuliko ilivyo sasa.
Kama kuna reference ya kesi za ndoa ambazo ziliingia prenup tuzilete tuone ni kwa kiasi gani imesaidia hili.
Lakini uhalisia ni kwamba taasisi ya ndoa itakuwa mbaya zaidi maradufu ya sasa kwa sheria hii. Jaribu tu kufikiria kwamba mke wako akufulie, akupikie, akuandalie maji, akupe tendo ipasavyo halafu anafahamu ukimuacha ataondoka kama alivyo hatagusa mali zako mlizowekeana.
Unafikiri ni kwa kiasi gani UPENDO utakuwepo? Zingatia neno UPENDO.
Kuna watu akili zao huwa by default zimeshikwa na Papa, Mwakasege, Sheikh Kipozeo, Sheikh Ponda, Kuhani Mussa, Mwamposa etc.
Acha kukurupuka, kujamiana Ina fanyika kwenye ndoa tu??.Anamaanisha kwenu mnazaana kwa utaratibu upi? Sio tendo la kujamiiana.
Sloga dume kazi unayoKATAA NDOA
Ndoa si taasisi ya kitapeli, ni tasisi nzuri tu ila sasa matapeli ndio wameingia. Kama serikali ilivyo taasisi nzuri , ila ndani kuna watumishi wasio waadilifuSafi sana, naona somo linazidi kuwaingia..... ndoa ni taasisi ya kitapeli inayojengwa kwa misingi ya udanganyifu.... KATAA NDOA
Inajulikana, ila imani za watu haziamini hili unalosema.Hao wanaenda kwa mawakala(hizo dini) lakini hakuna dini au dhehebu linalofungisha ndoa zaidi ya serikali.
Na serikali ndio inayovunja Ndoa. Hizo nyingine ni danganya Toto