Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
Wema SepetuHuyo mke mwena ndo yupi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wema SepetuHuyo mke mwena ndo yupi??
Inamaana jibu lako ni jepesi, kuwa kwenu mnazaana na kujamiiana bila utaratibu wa ndoa. Hakuna haja ya kukwepa kwepa. Jiamini.Acha kukurupuka, kujamiana Ina fanyika kwenye ndoa tu??.
Au ni tendo linalo husisha binadamu
Inajulikana, ila imani za watu haziamini hili unalosema.
Ndoa si taasisi ya kitapeli, ni tasisi nzuri tu ila sasa matapeli ndio wameingia. Kama serikali ilivyo taasisi nzuri , ila ndani kuna watumishi wasio waadilifu
Kwa sheria ya imani boss. Kwani uwepo wa MUNGU wa kikristo YESU mwana wa MUNGU upo kwa sheria ipi?Ndio utapeli huo.
Utapeli wa ndoa umeanzia mbali mno.
Yaani uongouongo, ulaghai,.
Kama Kanisa haliwezi kufungisha au kuvunja ndoa iweje iitwe ndoa ya Kikristo? Kwa sheria ipi?
Sawa ni sababu zipi zinakufanya ukatae ndoa wakati hata raisi tu wa nchi yupo kwenye ndoa yake mwenzetu ndoa ilikufanyia nini mpaka uikataeKwani ndoa Ina husiana vipi na uzalishaji??.
reproduction na marriage ni topic mbili tofauti mzee.
Kwa sheria ya imani boss. Kwani uwepo wa MUNGU wa kikristo YESU mwana wa MUNGU upo kwa sheria ipi?
Ina sheria zake. Hujawahi sikia amri kumi za MUNGU? ni sheria za kiimani zile na zina adhabu zake, Moto wa milele.Imani haina sheria Mkuu.
Sheria ni kwajili ya mwili.
Ndio maana mali za kiswahili za baadhi ya waswahili kama wewe wenye mawazo haya ya kitoto huwa hazifiki mbali tofauti na wahindi na wazungu sababu ni za kiswahili hizo zinakuwa za kibinafsi unakuta mzazi mmoja anajua peke yake mume hajui wala mke hajui wala mtoto hajui namna ya kuendesha hizo business au uwekezaji.Akifa mwenye nazo na kampuni kwa heri watu wanabaki kugombea mirathi kwa sababu upendo wao wanandoa ulikuwa wa ngono kitandani tu hauhusishi mali na uwekezaji Ni upendo wa malaya wawili waliooana kwa ajili ya ngono tu kitandani sio upendo wa ndoa.Mali za mke na mali za mme hazihusiani na mambo ya Upendo. Upendo wowote unaoshirikisha mambo ya mali au kazi huo sio upendo hapo tukazungumza biashara au uwekezaji.
Kwani ndoa ni sheria ya wapi tuanzie hapo?Sawa ni sababu zipi zinakufanya ukatae ndoa wakati hata raisi tu wa nchi yupo kwenye ndoa yake mwenzetu ndoa ilikufanyia nini mpaka uikatae
MUNGU Hana mtoto acha kutu danganya mzeeKwa sheria ya imani boss. Kwani uwepo wa MUNGU wa kikristo YESU mwana wa MUNGU upo kwa sheria ipi?
Ina sheria zake. Hujawahi sikia amri kumi za MUNGU? ni sheria za kiimani zile na zina adhabu zake, Moto wa milele.
Ume juaje hilo??, nikwepe kipi SasaInamaana jibu lako ni jepesi, kuwa kwenu mnazaana na kujamiiana bila utaratibu wa ndoa. Hakuna haja ya kukwepa kwepa. Jiamini.
Anaye according to imani ya kikristo. Alipatikana kupitia Mariam kwa uwezo wa roho mtakatifu.MUNGU Hana mtoto acha kutu danganya mzee
Alizaa na nani ??, mkewe alikuwa yupi??Anaye according to imani ya kikristo. Alipatikana kupitia Mariam kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Nashukuru umechangia hoja ya PreNup bila ya wewe kujua. PreNup inasaidia pia kujua muendelezo wa mali baada ya kutengana iwe kwa kufa au talaka.Ndio maana mali za kiswahili za baadhi ya waswahili kama wewe wenye mawazo haya ya kitoto huwa hazifiki mbali tofauti na wahindi na wazungu sababu ni za kiswahili hizo zinakuwa za kibinafsi unakuta mzazi mmoja anajua peke yake mume hajui wala mke hajui wala mtoto hajui namna ya kuendesha hizo business au uwekezaji.Akifa mwenye nazo na kampuni kwa heri watu wanabaki kugombea mirathi kwa sababu upendo wao wanandoa ulikuwa wa ngono kitandani tu hauhusishi mali na uwekezaji Ni upendo wa malaya wawili waliooana kwa ajili ya ngono tu kitandani sio upendo wa ndoa.
Hakuna sehemu nimetaja ngono. Hoja ya ngono ipo katika fikra zako jinsi unavyofikiria kuhusu NdoaUpendo wa ndoa ni zaidi ya ngono kitandani hizo ngono mtu aweza flanya hata na malaya yeyote mabarabarani huko
Akili timamu lazima iongozwe na sheria. Hakuna sheria hakuna akili timamuHivho unachoongea hapa ni uhusiano wa upendo wa kimalaya sio ndoa
Ndia ni kwa ajiki ya watu wenye akili.timamu na wanaojua ndoa ni nini na upendo wa ndoa ni nini sio mapunguani wa akili kama wewe
Sasa hapa unachanganya mambo ya uhalisia kwenye masuala ya kiimani. Kuna wanaoamini kuwa Israel ni watoto wateule wa MUNGU na vyumbani kwao kuna bendera za Israel.Zile ni Amri za utawala wa Mungu kwa wa Israel. Haihusishi Imani.
Sheria ipo kwaajili ya matendo ya mwili.
Imani ipo rohoni au kwenye nafsi. Huwezi weka SHERIA.
Sheria yoyote inahusu mwîli.
Usiibe, usile tunda la mti wa kati n.k.
Imani ni kama Fikra, huwezi weka sheria kwenye mambo ya nafsi kwa sababu huwezi kuyadhibiti. Huwezi mzuia mtu asifikiri jambo fulani wakati hata akifikiri hautajua.
Huwezi mzuia mtu asiamini au aaminike jambo fulani wakati hata akiamini huwezi jua.
Ni kama upendo hauna sheria.
Nyie wote mnachoshindwa kujua
Philosophy ya ndoa ni ujamaa.....na dunia ipo kwenye level za juu za ucapitalist hapo unategemea nn?
Ni suala la kiimani, usililete kwenye uhalisia. Kiimani Mariam mchumba wa Yusufu alipata mimba kwa uwezo wa MUNGU roho akazaliwa MUNGU mwana. Kiimani, narudia tena, kiimani. Usianze mambo ya uhalisia hapa ya mtoto anapatikanaje.Alizaa na nani ??, mkewe alikuwa yupi??