MASHARTI NA VIGEZO JUU YA PESA YANGU!. HAKIKA KUNA SHIDA MAHALAKCB wanaruhusu zaidi ya 1M kutoka ATM. Nadhani na CRDB as well. Fika kwenye tawi lililo karibu yako kwa maelezo zaidi huku "masharti na vigezo vikizingatiwa"
Meko ni shetaniNdugu zangu!
Sijui vigezo walivyozingatia kwenye kuweka ukomo huo, lakini itoshe tu kusema zama zimebadilika sana.
Enzi hizo milioni iliitwa 'shitabalwa' [uncountable], na ilitosha kwa mambo mengi kwa walio wengi.
Tofauti kabisa na leo ambapo milioni MOJA unaweza kukaa kaunta tu ikayeyuka, pesa imezoeleka kwa wengi na imekuwa na matumizi mengi kirahisi.
Napendekeza angalau tuweze kutoa milioni TATU kwa siku kupitia ATMS, na
'mshindo' mmoja uweze kuvuta hadi MILIONI MOJA.[emoji39]
Nas2ema uongo ndugu zangu?
Hili nalo unamlaumu Meko.Meko ni shetani
Ndugu zangu!
Sijui vigezo walivyozingatia kwenye kuweka ukomo huo, lakini itoshe tu kusema zama zimebadilika sana.
Enzi hizo milioni iliitwa 'shitabalwa' [uncountable], na ilitosha kwa mambo mengi kwa walio wengi.
Tofauti kabisa na leo ambapo milioni MOJA unaweza kukaa kaunta tu ikayeyuka, pesa imezoeleka kwa wengi na imekuwa na matumizi mengi kirahisi.
Napendekeza angalau tuweze kutoa milioni TATU kwa siku kupitia ATMS, na
'mshindo' mmoja uweze kuvuta hadi MILIONI MOJA.[emoji39]
Nasema uongo ndugu zangu?
CRDB hio ilishapitwa na wakati tunatoa tu hata 2M+Ndugu zangu!
Sijui vigezo walivyozingatia kwenye kuweka ukomo huo, lakini itoshe tu kusema zama zimebadilika sana.
Enzi hizo milioni iliitwa 'shitabalwa' [uncountable], na ilitosha kwa mambo mengi kwa walio wengi.
Tofauti kabisa na leo ambapo milioni MOJA unaweza kukaa kaunta tu ikayeyuka, pesa imezoeleka kwa wengi na imekuwa na matumizi mengi kirahisi.
Napendekeza angalau tuweze kutoa milioni TATU kwa siku kupitia ATMS, na
'mshindo' mmoja uweze kuvuta hadi MILIONI MOJA.[emoji39]
Nasema uongo ndugu zangu?
Simbanking by haikuwepo? Ukiwa na simbanking ukifika ukomo kwenye ATM unaendelea kuchakata miamala kuhamisha Mobile Mpesa etcKaka mkubwa unaweza kuwa na kundi la wadogo zako mmepata dharula, pesa ipo, lakini ATM limit ikasumbua.
Nakumbuka kuna siku miaka kama 10 imepita nilikuwa nakwenda Zenj na kundi la wadogo zangu. Sasa hapo mimi nimerudi likizo nimekuwa kama mgeni tena jijini kwangu Dar. Tukawa na safari ya utalii wa ndani Zanzibar.Nikawa nawahimiza tuwahi kwenda bandarini. Wao wanasema tuna muda, mbona unakuwa kama umesahau Dar ndogo hii.
Nikawaambia sitaki tuchelewe. Nikaambiwa haina noma.
Long story short, tumeondoka tukakutana na foleni barabarani. By the time tunafika bandarini tukawa tumechelewa meli. Na tunatakiwa kwenda Zanzibar usiku huo huo.
Tukaulizia options, tukaambiwa hapo ni kuwahi airport kupanda ndege tu.
Tukafika Dar airport kupiga mahesabu nauli kwa wote ikawa kama laki tano.
You can imagine watu wangekuwa wamezidi mara mbili nauli ingekuwa zaidi ya milioni, hela ipo, halafu unashindwa kuitumia.
Naelewa kuna rationale ya kuweka hii limit, mfano kama mtu anafanya wizi kwenye ATM asiibe zaidi ya milioni. Lakini, kama mtu ana hela nyingi na biashara nyingi, awe na uwezo wa ku evaluate risk, akiikubali risk awe nanoption yana kuongeza limit.
Nafikiri benki nyingi zina option hiyo.
Mkuu,MASHARTI NA VIGEZO JUU YA PESA YANGU!. HAKIKA KUNA SHIDA MAHALA
Mkuu hapo mimi ndiyo kwanza nimekuja likizo bongo ndiyo kwanza hata line ya simu nimeipata muda mchache tu, na kumbuka hapo miaka kama 10 iliyopita mambo hayakuwa kama sasa.Simbanking by haikuwepo? Ukiwa na simbanking ukifika ukomo kwenye ATM unaendelea kuchakata miamala kuhamisha Mobile Mpesa etc
Sasa hivi tunashukuru mambo yanaendaMkuu hapo mimi ndiyo kwanza nimekuja likizo bongo ndiyo kwanza hata line ya simu nimeipata muda mchache tu, na kumbuka hapo miaka kama 10 iliyopita mambo hayakuwa kama sasa.
Yani kupata sim card tu ilikuwa story ndefu iliyohusisha false advertising kibao, mpaka hapo mzee mzima ninatumia hela zangu za kwenye benki za kimataifa kuziunga na simu za bongo kimbembe. So ATM was the most convenient way.
M-Pesa default limit yao kiasi gani?Sasa hivi tunashukuru mambo yanaenda