Umasikini ni mbaya sana, huanzia kwenye fikra hadi mali.Watanzania tumeshalemazwa akili na wanasiasa.
Kila jambo tunataka tufanyiwe na watu wengine.
Mleta mada ni mfano mzuri.
Wanazingua sana hawa jamaaJamii forum is the home of great thinkers. Mtendaji mkuu wa shughuli za serikali za kila siku kaja na tume ya uchunguzi.
Haya mambo yamezungumzwa mno,kila ajali ikitokea hukimbilia kuunda tume,na baadae hizo report hufungiwa kwenye makabati.Sio tu jwtz, hapo hadi polisi na zima moto na uokoaji, askari wote wanatakiwa wapewe vifaa na mafunzo ya uokoaji
🤣🤣🤣🤣🤣 Unajisumbua Buree ndugu. Kwa Nchi zetu Hizi za Afrika kusini mwa jangwa la sahara Jeshi pekee unalo hitaji ni infantry walio Shiba. Watu wetu uwezo wakuvunja matofali ya zege"Nchi 6",kupinga nondo kwa mkono,kulala kwenye misumari na kuvuta mainveco . Angalau kidooogo waboreshe Jeshi ka anga inamake sense,Maana kusafirisha wanajeshi kwa Bombardier sio picha nzuri. Hizo submarine na Manowari ni hadithi za abunuwasi Kama aio ndoto za kimweli. Kamandi ya maji Watu hawana plan nayo kabisa labda Ni kwa sababu hawaoni umuhimu wake. Wanaona hawawezi kuboresha Jeshi kwa ajili ya majangana uokozi TU. Mengine watakuja wenyewe wajuvi kuelezeaKipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa
Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji
Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi
2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya
Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Umeongea vitu vya msingi Sana mkuuhaya ndio madhara ya kuingia jeshini kwa kujuana,kupuuza wasomi na kufanya kazi kwa mazoea.
Umewapa ushauri mzuri kazi kwao.
Haijawahi tokea kwa sababu tangu Uhuru pesa zinapigwaLini kumewahi kuwa na vifaa kutokana na pesa kutopigwa?
Hili jambo ni aibu kubwa Kwa Taifa linalojinasibu kuwa uchumi uko juu na ni takiri. Upuuzi.Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa
Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji
Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi
2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya
Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Mkuu ulileta thread ili ujibu kila hoja ya mchangiaji Kama waziri mwenye dhamani bungeni wakati wa maswali au ulileta ili watu wachangie hoja na kutoa mawazo yao maana nakuwa Kama sikuelewi vilee🙄🙄.??Ni suala la vipaumbele vya kitaifa
na ukiangalia kila mtu karidhika hamna wa kuwajibishwa .. ndo imepita hiyoKungekuwa na quick response within 15 minutes nina uhakika leo tusingekuwa na vifo. Kwa enjoy ndege iliangukia vikosi vyetu vingekuwa vizuri kwenye vifaa, teknolojia na ujuzi ile ndege kila mtu angepona
v8 jeHayo siyo maboresho. Maboresho ni kununua vifaa Virginia vya kisasa na bora kama melivita, boti za kujeshi na nyambizi na kuwawezesha kiujuzi na mafunzo
Kwa corrupt countries kesho tu wananchi wakisahau viongozi wanatupa walichoahidi.Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa
Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji
Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi
2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya
Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Sio kwenye maji tu,wapi ambapo unaweza sema kuna uafadhari?kuna tukio lilitokea mwana nyamala mtoto kaangukia kwenye shimonla choo,wanafika zimamoto,wanaogopa kuingia kwenye shimo,kisa kuna kinyesi na wao hawana vifaa!!!!ndipo mwananchi mmoja akijifunga kama akaingia akamtoa mtoto japo alisha fariki!!!HAPA NI MUNGU TU NDIO WA KUTUSAIDIA.Kusema kweli hasa kwenye masuala ya maji tuko nyuma sana hadi aibu
Polisi wa kutukiza Ghasia (FFU)wana magari yenye maji ya kuwasha full tank Muda wote ila Zimamoto magari yao hayana maji. Maji Yale yakawaida kabisa yale yanayopatikana ziwani🤣🤣🤣🤣. Tanzania Nchi YanguIuTaasisi zote za umma zinafanya kazi kwa uduni mkubwa. Hilo jeshi la maji ni Sehemu tu udhaifu wa taasisi karibia zote za umma. Hizo shughuli wakipewa makampuni binafsi utaona huduma zitaboreka.
Tunapotaka kuwa na katiba mpya, ni pamoja na kuhakikisha kila taasisi ya umma inafanya wajibu wake kwa viwango. Cha kushangaza ingetokea wapinzani wanaandamana askari wangetokea wengi na vifaa wangekuwa navyo. Unapokuwa na jeshi ambalo ubora wake ni kupambana na wapinzani wasio na silaha, na kuhakikisha chama tawala kinabaki madarakani hayo ndio matatizo yake.
At least Airforce tunaonekana tuko vizuri huko kwingine ni majangaSio kwenye maji tu,wapi ambapo unaweza sema kuna uafadhari?kuna tukio lilitokea mwana nyamala mtoto kaangukia kwenye shimonla choo,wanafika zimamoto,wanaogopa kuingia kwenye shimo,kisa kuna kinyesi na wao hawana vifaa!!!!ndipo mwananchi mmoja akijifunga kama akaingia akamtoa mtoto japo alisha fariki!!!HAPA NI MUNGU TU NDIO WA KUTUSAIDIA.
Kwa wizi unaoendelea serikalini hakuna haja ya kupoteza hizo pesa ! Tuendelee tu kuomba Mungu majanga yasitufike [emoji2972]
Serikali yenyewe hii ni janga tosha !
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa
Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji
Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi
2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya
Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Hii kamandi ni ya kufumuliwa na kuundwa up ya tena kwa msaada wa taifa ambalo linajukikana kwa kuwa na Best Navy force kama Uingereza, Marekani, Ujerumani au China hakuna namna. Tununue meli vita na za kijeshi bila kusahau boti za kisasa za kijeshi na vita na nyambizi tuziweke kwenye maziwa yetu na bahari yetuTPDF Navy Command wametutia Aibu Sana