Ni wakati sasa Jeshi la Wananchi lifanyiwe Maboresho makubwa upande wa Kamandi ya Wanamaji

Watanzania tumeshalemazwa akili na wanasiasa.

Kila jambo tunataka tufanyiwe na watu wengine.

Mleta mada ni mfano mzuri.
Umasikini ni mbaya sana, huanzia kwenye fikra hadi mali.
Matukio kama ya leo ni matokeo yake.
Hata hivyo, wananchi wana uwezo ambao hawajui wanao katika kusaidiana. Leo wamekuwa mbele kuliko serikali katika uokozi.
 
Huku Marekani, ikitokea ajali yoyote hata ya gari tu, wanakuja Polisi, Zimamoto na Ambulance. Hapo wanakuja kabla hawajajua kama kuna moto au majeruhi.

Kwetu ni kitendawili kwa nini hizi ajali za majini majeshi yetu ya majini yanakaa mbali katika uokoaji ambao mwingine kama wa ajali hii ya Precision Airways ni dhahiri ulikuwa ndani ya uwezo wao. Kuna watakaokwambia "wanalinda siri za kambi"
 
Sio tu jwtz, hapo hadi polisi na zima moto na uokoaji, askari wote wanatakiwa wapewe vifaa na mafunzo ya uokoaji
Haya mambo yamezungumzwa mno,kila ajali ikitokea hukimbilia kuunda tume,na baadae hizo report hufungiwa kwenye makabati.
Kuna wakati nchi ya Korea Kusini ilikuwa na nia dhati kutoa vifaa na mafunzo ya Search and Rescue kwa upana,lakini as usual serikali haikulitilia maanani offer hiyo.
Tokea kuzama MV Bukoba hadi leo,hakuna msukumo wa kukabiliana na ajali za majini. Ajali zikitokea ndio huwa ndio wakati hawa wakubwa wakingaka lakini hata nyenzo za msingi hazipo.
Kama South ingekuja kutoa msaada wa magari ya V8,mbona wangeupa kipaumbele fasta fasta.
 
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa

Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba

Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa

Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji

Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi

2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya

Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
🤣🤣🤣🤣🤣 Unajisumbua Buree ndugu. Kwa Nchi zetu Hizi za Afrika kusini mwa jangwa la sahara Jeshi pekee unalo hitaji ni infantry walio Shiba. Watu wetu uwezo wakuvunja matofali ya zege"Nchi 6",kupinga nondo kwa mkono,kulala kwenye misumari na kuvuta mainveco . Angalau kidooogo waboreshe Jeshi ka anga inamake sense,Maana kusafirisha wanajeshi kwa Bombardier sio picha nzuri. Hizo submarine na Manowari ni hadithi za abunuwasi Kama aio ndoto za kimweli. Kamandi ya maji Watu hawana plan nayo kabisa labda Ni kwa sababu hawaoni umuhimu wake. Wanaona hawawezi kuboresha Jeshi kwa ajili ya majangana uokozi TU. Mengine watakuja wenyewe wajuvi kuelezea
 
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa

Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba

Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa

Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji

Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi

2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya

Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Hili jambo ni aibu kubwa Kwa Taifa linalojinasibu kuwa uchumi uko juu na ni takiri. Upuuzi.
 
Ni suala la vipaumbele vya kitaifa
Mkuu ulileta thread ili ujibu kila hoja ya mchangiaji Kama waziri mwenye dhamani bungeni wakati wa maswali au ulileta ili watu wachangie hoja na kutoa mawazo yao maana nakuwa Kama sikuelewi vilee🙄🙄.??
 
Kungekuwa na quick response within 15 minutes nina uhakika leo tusingekuwa na vifo. Kwa enjoy ndege iliangukia vikosi vyetu vingekuwa vizuri kwenye vifaa, teknolojia na ujuzi ile ndege kila mtu angepona
na ukiangalia kila mtu karidhika hamna wa kuwajibishwa .. ndo imepita hiyo
 
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa

Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba

Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa

Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji

Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi

2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya

Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Kwa corrupt countries kesho tu wananchi wakisahau viongozi wanatupa walichoahidi.
 
Kusema kweli hasa kwenye masuala ya maji tuko nyuma sana hadi aibu
Sio kwenye maji tu,wapi ambapo unaweza sema kuna uafadhari?kuna tukio lilitokea mwana nyamala mtoto kaangukia kwenye shimonla choo,wanafika zimamoto,wanaogopa kuingia kwenye shimo,kisa kuna kinyesi na wao hawana vifaa!!!!ndipo mwananchi mmoja akijifunga kama akaingia akamtoa mtoto japo alisha fariki!!!HAPA NI MUNGU TU NDIO WA KUTUSAIDIA.
 
IuTaasisi zote za umma zinafanya kazi kwa uduni mkubwa. Hilo jeshi la maji ni Sehemu tu udhaifu wa taasisi karibia zote za umma. Hizo shughuli wakipewa makampuni binafsi utaona huduma zitaboreka.

Tunapotaka kuwa na katiba mpya, ni pamoja na kuhakikisha kila taasisi ya umma inafanya wajibu wake kwa viwango. Cha kushangaza ingetokea wapinzani wanaandamana askari wangetokea wengi na vifaa wangekuwa navyo. Unapokuwa na jeshi ambalo ubora wake ni kupambana na wapinzani wasio na silaha, na kuhakikisha chama tawala kinabaki madarakani hayo ndio matatizo yake.
Polisi wa kutukiza Ghasia (FFU)wana magari yenye maji ya kuwasha full tank Muda wote ila Zimamoto magari yao hayana maji. Maji Yale yakawaida kabisa yale yanayopatikana ziwani🤣🤣🤣🤣. Tanzania Nchi Yangu
 
Sio kwenye maji tu,wapi ambapo unaweza sema kuna uafadhari?kuna tukio lilitokea mwana nyamala mtoto kaangukia kwenye shimonla choo,wanafika zimamoto,wanaogopa kuingia kwenye shimo,kisa kuna kinyesi na wao hawana vifaa!!!!ndipo mwananchi mmoja akijifunga kama akaingia akamtoa mtoto japo alisha fariki!!!HAPA NI MUNGU TU NDIO WA KUTUSAIDIA.
At least Airforce tunaonekana tuko vizuri huko kwingine ni majanga
 
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa

Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba

Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa

Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji

Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi

2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya

Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana

TPDF Navy Command wametutia Aibu Sana
 
TPDF Navy Command wametutia Aibu Sana
Hii kamandi ni ya kufumuliwa na kuundwa up ya tena kwa msaada wa taifa ambalo linajukikana kwa kuwa na Best Navy force kama Uingereza, Marekani, Ujerumani au China hakuna namna. Tununue meli vita na za kijeshi bila kusahau boti za kisasa za kijeshi na vita na nyambizi tuziweke kwenye maziwa yetu na bahari yetu

Lazima sasa pia tuwe na karakana kama ya Kenya ya kutengeneza Meli za kisasa na za kijeshi.

Tuamue sasa kabla hatujaangamia kweli
 
07 November 2022

Katibu Mkuu wa marubani azishauri mamlaka za ndege 'hivi viwanja vya Bukoba, Arusha changamoto'

Katibu Mkuu wa marubani azishauri mamlaka za ndege "hivi viwanja vya Bukoba, Arusha changamoto Katibu Mkuu wa Chama cha Marubani nchini, kaptain Khalil Iqbali ameshaiuri Mamlaka za Anga pamoja na mawakala wa viwanja vya ndege kuweka mikakati ya viwanja vinavyoambatana na maji kama ziwa, bahari ,mito kutengwa eneo fulani kwa ajili ya kutua na kupaa. Amesema ndani ya eneo ilo viwepo vitu kama magari ya fire, magari ya kubebea wagonjwa (Ambulance) Amesema hayo leo Novemba 7.2022 wakati akizungumza na Mwananchi Digital Jijini Dar es Salaam.
Source : mwananchi digital
 
PONGEZI KWA CLOUDSMEDIA KUFANYA MAHOJIANO NA MHANDISI WA VIWANJA VYA NDEGE KIMATAIFA

8 November 2022

Ufafanuzi Watolewa Ajali ya PrecisionAir | Uwanja wa Ndege Bukoba Walalamikiwa

Mhandisi mstaafu wa viwanja vya ndege aliyefanya kazi kimataifa ikiwamo shirika la kimataifa la anga ICAO , Bennie Muberwa Mushumbushi katika Clouds 360 kuzungumzia sababu za ajali na usalama katika viwanja vya ndege.

Andiko la mhandisi Bennie Muberwa Mushumbushi mwaka 2015 lilipendekeza .... pia suala la mazingira yanayozunguka airport ya Bukoba ikiwemo viwanda vya minofu vinavyovutia ndege -kiumbe

Andiko hilo liliwakilishwa wizarani (wizara ya Ujenzi) mwaka 2017 ili kuepukana na matatizo ambayo yangetokea kwenye uwanja ule. Mimi ni Mzaliwa wa kule (Bukoba) ili kuona kuna kiwanja kizuri cha ndege kwa sababu kuna abiria wengi Sana kule. Sikupata majibu mazuri lakini walipokea andiko langu na kusema watalifanyia kazi.

Kuna wakati nilijiuliza sana na nikasema nafanya tu huduma kwa sababu nina ujuzi wa hivi vitu na hili jambo linaendelea na hakuna mtu anayejali. Nilikwenda makao Makuu ya Chama CCM, Kagera"

"Nilitaka kuzungumza na Mwenyekiti wa CCM, Kagera alikuwa anasafiri alinipatia Msaidizi wake ili anisaidie tulieleza hali halisi ya uwanja wakasema wao sio wataalamu, wakaniuliza kama nililipeleka hilo jambo mkoani nikasema hapana!

"Nilikwenda kwa Katibu Tawala wa Mkoa (wakati ule) akasema pia na yeye ana wasiwasi juu ya huo uwanja na walishauona na hawajui wafanye nini. Nilipata nafasi ya kuongea na wabunge wawili wa mkoa wa Kagera. Hili suala hadi leo halijafanyiwa kazi" Engineer Mstaafu wa viwanja vya ndege, Bennie Muberwa Mushumbushi

Ndege ya Bombadier ya ATCL inahitaji urefu wa kilometa 2 kutua salama bila changamoto .....

Marubani hutumia na marubani by default ziwa Victoria ...
Source : Cloudsmedia

More info and source :

13 November 2017
Uwanja wa ndege mjini Bukoba uliofanyiwa ukarabati wazinduliwa.

Source : Tekno Leo
 
Back
Top Bottom