Ni wakati sasa kwa Serikali kumuomba radhi Tundu Lissu aliyeshauri mapema kuachana na madai ya Barrick

Kumbe bado kuna watu mnaishi gizani eh?

Chanjo mnazotumia kutoka nje kama BCG ,Rotavirus ,DPT mmezithibitisha wapi?

Mbona ARV mnapokea kama mnasema wazungu wana mkakati w kuwaua?

Ukizingumza huyo dikteta kaa ukifahamu wimbi la kwanza la COVID alijichimbia kijijini siku karibia 50 hakuna mchangamano huku anawaambia mchape kazi.

Ukisema uthibitishwaji wa dawa kwani ile juice waliyoenda kuchukua kina Palamagamba ilithibitishwa wapi?

Wimbi la pili akaleta ubishi wake ule ule the rest is history.
 
Kwakuwa serikali ni watu na mi ni moja ya hao watu napenda kuchukua nafasi kukuomba samahani ndugu lisu. Tulikukosea sana
 
Kwaiyo tumeshitakiwa MIGA kama madai ya Lissu alivyokuwa akituogepesha kuwa watatunyoa kwa vipande vya chupa pasipo kutumia maji?kweli ujinga hautaisha nchi hii.
Utashitakiwaje wakati umeufyata mkia na kufuata masharti ya beberu? Ukifyata mkia juna kitu beberu anaita "let's solve it amicably". Ndicho kilichofanyika.
 
Kwa hiyo ukisomeshwa bure hutakiwi kuhoji chochote kile ambacho ni Cha hovyo kutoka serikalini?
Kuna muda hua najiuliza kwann mayala anavohoji watu katika kazi yake hukunja Sana ndita .....

Anatumia mbinu zakimasai zamani Masai akipeleke mtoto shule akija Rudi tu na akaaza kushauri maswala ya kuacha ufugaji holela hata elimu ya kuhusu baadhi ya Mila na desturi nikosakubwa Sana hivyo lazima auawe ...wataandaa kikao Chao laiboni harafu wanaitisha mkutano unatiwa mshale....Mila hizi pia ccm wamekopi

Ona kijana wao mayala anasema mtu ukisomeshwa hutakiwi Tena Kuhoji au kudadisi Mambo maswala kisa bure elimu

Hakuna haha ya kutuletea sababu zilizopelekea asome Sheria akilalama kuhusu alivotendewa baba yake
 
Hizo chanjo utazozitaja hakuna unapokula kiapo kwamba litakalo kupata wao hawausiki wakati wametengeneza hizo dawa wamezitengeneza wao,ninakaribia miaka 50 nimechanjwa chanjo zote sijiwai ona ukijakuchanjwa mpaka ule kiapo kwamba Serikali wala mtengenezaji hawatausika na chochote kitakachotokea baada ya kudungwa chanjo.Hizo dawa za Madagascar hatukuona zikigawiwa popote pale labda kama unaoushaidi wa hizo dawa kugaiwiwa kwa wananchi waweza kuweka.
 
Kwa hiyo mtu akiwa na PhD akiongea/kuandika ujinga uitwe werevu kisa yeye amesoma ana PhD?
Mm nasema hapana ujinga ni ujinga hata kama mtu ni mzee,ana digrii milioni tuwe wakweli kuna wasomi nchi hii ni mizigo na useless kabisa.
Babaa ako akiongea pumba utamkosoa kwa maneno makali? Heshima ni bure tukosoane kwa staha, ukikosoa kwa staha hupungukiwi na kitu.
 
Utashitakiwaje wakati umeufyata mkia na kufuata masharti ya beberu? Ukifyata mkia juna kitu beberu anaita "let's solve it amicably". Ndicho kilichofanyika.
Serikali iliufyata wapi,! wakati Accacia yenu mliokuwa mnatutishia nayo kwamba itatupeleka MIGA ilifutiliwa mbali,tukaa mezani upya.
 
Kwa hiyo mtu akiwa na PhD akiongea/kuandika ujinga uitwe werevu kisa yeye amesoma ana PhD?
Mm nasema hapana ujinga ni ujinga hata kama mtu ni mzee,ana digrii milioni tuwe wakweli kuna wasomi nchi hii ni mizigo na useless kabisa.
Babaa ako akiongea pumba utamkosoa kwa maneno makali? Heshima ni bure tukosoane kwa staha, ukikosoa kwa staha hupungukiwi na kitu
 
Pascal Mayalla hii tabia unayoonesha ni kawaida ya wanadamu, kutotaka kuambiwa ukweli...

Wakiambiwa ukweli wa matendo yao mabaya, wanasema wametukanwa, wamekashifiwa, au kwanini sasa atumie lugha ya kukera na utetezi mwingine wa kijinga ufananao na huo...

Neno "rubbish" wala siyo tusi. Ni neno la kawaida lenye maana "isiyofaa kwa lolote". Lakini Tundu Lissu akaweka kitanguliza neno "proffesorial" kwa sababu, "ni kitu kisichofaa kilichofanywa na wanataaluma wanaojiita maprofesa". Tusi liko wapi hapo?

Ofcoz, lugha iliyotumiwa ni kali na ya kukera kwa watendao uovu. Kwa hiyo ni lazima mkereke kwa sababu ndiyo matendo yenu na yakijulikana na raia, mnaona kama mmetukanwa...

Hakuna kiongozi aliyewahi kuwa na lugha kali na ya kukera ya kukosoa kwa wakosaji kama hayati Mwl. Julius K. Nyerere. Tundu Lissu ni cha mtoto...
 
Wewe mpuuzi, hizo billion 700 zingetoka wapi? Wakati mwingine ficha ujinga wako
 
Kwahiyo tunasubiria kushitakiwa MIGA?
KWAHIYO LISU NI MSALITI WA TAIFA NDIO AKAPIGWA?
 
Kwahiyo hata aslimia kumi na sita kampuni ya twiga tumedanganywa?
 
Na akili zako timamu unamsikiliza huyo bwana Tozo...
 
Mimi bado naamini ripoti za Wataalam akina prof Muruma ilikuwa sahihi.

Kosa lilikuwa kwenye aapproach ya kuzidai
Kuamini na kujua ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuamini chochote. Unaweza kuamini kuwa Tanzania ipo mwezini, ni imani yako.

Lakini ukweli itabakia pale pale kuwa report ya Mruma ilikuwa ya uwongo mtupu. Maana haiingii akilini kodi ya kampuni moja izidi thamani ya dhahabu ya migodi yote ya dhahabu ya Tanzania. Kukubali hilo, siyo tu inahitajika uwe mjinga hasa, bali inatakiwa ukose akili kabisa.

Lakini kwa Tanzania siyo ajabu sana. Rais Mwinyi wakati anagombea Urais, kule Kigoma alipata kura nyingi za ndiyo kuzidi idadi ya wapiga kura wote wa mkoa wa Kigoma. Huenda na marehemu walifufuka, wakaja wakapiga kura, halafu wakafariki tena mara baada ya kupiga kura.
 
Babaa ako akiongea pumba utamkosoa kwa maneno makali? Heshima ni bure tukosoane kwa staha, ukikosoa kwa staha hupungukiwi na kitu
Baba yangu anabaki kuwa baba yangu hafananishwi na fisadi au chawa yeyote.
Funga mkanda vizuri boksa chafu hiyo.
 
Nikuulize swali kwani watu wakiwa wanakwenda kufanyiwa operation let's say Cesarean section huwa hawasaini.?

Ulishawahi kujiuliza dhumuni kuu la kusaini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…