Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ile haikuwa chanjo mkuu,fatilia vizuri acha kuchanganya mambo.
Bali ilikuwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile haikuwa chanjo mkuu,fatilia vizuri acha kuchanganya mambo.
Kumbe bado kuna watu mnaishi gizani eh?Utakunywaje chanjo ambayo hata walioitengeza hawana uhakika nayo, Magufuli alitaka chanjo yenye uhakika iliyodhibitishwa, Sio hii ambayo kila Mtu anaikana, chanjo ambayo ukitaka kuchanjwa mpaka ule kiapo,eti litakalo kupata wao hawausiki, wakati wametengeneza wao,uoni kuwa kuna jambo lililojificha hapo!.
Hizo ni zile 10% iliyokuwepo kwenye mkataba kama payback kwa jamii inayozunguka migodi. Mara nyingi imekuwa ikiliwa na vigogo wa CCM kupitia wakurugenzi wa Halmashauri zinazozunguka migodi ya Barrick.Kwani 16% ya Twiga corp ni bei gani?
Utashitakiwaje wakati umeufyata mkia na kufuata masharti ya beberu? Ukifyata mkia juna kitu beberu anaita "let's solve it amicably". Ndicho kilichofanyika.Kwaiyo tumeshitakiwa MIGA kama madai ya Lissu alivyokuwa akituogepesha kuwa watatunyoa kwa vipande vya chupa pasipo kutumia maji?kweli ujinga hautaisha nchi hii.
Kuna muda hua najiuliza kwann mayala anavohoji watu katika kazi yake hukunja Sana ndita .....Kwa hiyo ukisomeshwa bure hutakiwi kuhoji chochote kile ambacho ni Cha hovyo kutoka serikalini?
Bwashe waliosomeshwa bure ni akina TRAB Na TRAT......Yaa Ya ya ya ya ya.. Mara ingine uwe mwelewa kidogo.Tundu Lisu huyu huyu wa Ufipa st?
Serikali ilimsomesha bure huyo TAL ujue!
Hizo chanjo utazozitaja hakuna unapokula kiapo kwamba litakalo kupata wao hawausiki wakati wametengeneza hizo dawa wamezitengeneza wao,ninakaribia miaka 50 nimechanjwa chanjo zote sijiwai ona ukijakuchanjwa mpaka ule kiapo kwamba Serikali wala mtengenezaji hawatausika na chochote kitakachotokea baada ya kudungwa chanjo.Hizo dawa za Madagascar hatukuona zikigawiwa popote pale labda kama unaoushaidi wa hizo dawa kugaiwiwa kwa wananchi waweza kuweka.Kumbe bado kuna watu mnaishi gizani eh?
Chanjo mnazotumia kutoka nje kama BCG ,Rotavirus ,DPT mmezithibitisha wapi?
Mbona ARV mnapokea kama mnasema wazungu wana mkakati w kuwaua?
Ukizingumza huyo dikteta kaa ukifahamu wimbi la kwanza la COVID alijichimbia kijijini siku karibia 50 hakuna mchangamano huku anawaambia mchape kazi.
Ukisema uthibitishwaji wa dawa kwani ile juice waliyoenda kuchukua kina Palamagamba ilithibitishwa wapi?
Wimbi la pili akaleta ubishi wake ule ule the rest is history.
Babaa ako akiongea pumba utamkosoa kwa maneno makali? Heshima ni bure tukosoane kwa staha, ukikosoa kwa staha hupungukiwi na kitu.Kwa hiyo mtu akiwa na PhD akiongea/kuandika ujinga uitwe werevu kisa yeye amesoma ana PhD?
Mm nasema hapana ujinga ni ujinga hata kama mtu ni mzee,ana digrii milioni tuwe wakweli kuna wasomi nchi hii ni mizigo na useless kabisa.
Serikali iliufyata wapi,! wakati Accacia yenu mliokuwa mnatutishia nayo kwamba itatupeleka MIGA ilifutiliwa mbali,tukaa mezani upya.Utashitakiwaje wakati umeufyata mkia na kufuata masharti ya beberu? Ukifyata mkia juna kitu beberu anaita "let's solve it amicably". Ndicho kilichofanyika.
Babaa ako akiongea pumba utamkosoa kwa maneno makali? Heshima ni bure tukosoane kwa staha, ukikosoa kwa staha hupungukiwi na kituKwa hiyo mtu akiwa na PhD akiongea/kuandika ujinga uitwe werevu kisa yeye amesoma ana PhD?
Mm nasema hapana ujinga ni ujinga hata kama mtu ni mzee,ana digrii milioni tuwe wakweli kuna wasomi nchi hii ni mizigo na useless kabisa.
Pascal Mayalla hii tabia unayoonesha ni kawaida ya wanadamu, kutotaka kuambiwa ukweli...Japo ni kweli lakini sio busara kufanya ukosoaji kwa kutumia maneno makali yenye lugha ya maudhi, wewe huna Ph.D, ripoti ya Ph.D holder, huwezi kuita "a professional rubish". Hata akina sisi tuliikosoa ripoti hiyo lakini tulitumia lugha ya kistaarabu! Sensationalism kwenye Professional Presentations inakubalika? Ni swali tu...
Serikali, mabenki na taasisi za fedha ziko huru kusamehe sehemu ya deni au deni lote, kitu muhimu ni wenye fedha zao kujulishwa. Licha ya umasikini wote uliotopea wa nchi yetu, hakuna ubaya wowote kusamehe deni lolote kwa yeyote, lakini lazima utoe sababu why unasamehe, ila pia unaposamehe majizi ndio muhimu zaidi kuwa transparent, ili isije kuonekana viongozi wetu wamekuwa compromised !.
Kwenye hili aombwe radhi kwa lipi?.
P
Wewe mpuuzi, hizo billion 700 zingetoka wapi? Wakati mwingine ficha ujinga wakoRipoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”.
Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick hawatalipa hilo deni na wakilazimishwa wakienda MIGA watashinda. Lissu alibezwa alipuuzwa na baada ya siku chache alimiminiwa risasi kuwa ni msaliti anayeshirikiana na mabeberu.
Barrick walitoa fedha za (Good faith) US$ 300M sawa na tsh 700b tu kati ya deni lote.
Jana Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kwa niaba ya serikali amesema serikali imeisamehe Barrick/Acacia deni lote.
Imeichukua serikali miaka mitano 5yrs kukubaliana na ushauri wa Lissu.
Uungwana ni vitendo mnyonge mnyongeni lakini haki zake apewe, Tundu Lissu aombwe radhi.
June 19, 2017
View attachment 2366316
Kwahiyo hata aslimia kumi na sita kampuni ya twiga tumedanganywa?Kila kitu kilifanywa kwa usiri mkubwa, halafu Magufuli akawa anawahadaa wetu kwa kuwaita viongozi wa dini , sijui makundi mbalimbali kwenye hizo hafla za utapeli wake. Cha kushangaza watu walikuwaje wajinga kiasi kile cha kuamini maigizo yale.
Halafu bunge lilikuwa halishirikishwi kabisa kwenye mambo yale, kisa Magufuli alikuwa hataki yajadiliwe bungeni maana wabunge wa upinzani wataweka wazi mambo hayo. Mambo haya ndio yalipelekea Magufuli anajisi chaguzi za nchi hii na kujaza wanaccm aliowataka yeye ili kusitokee yoyote wa kuhoji. Jambo hili ndio lilipelekea Lisu kupigwa risasi.
Na akili zako timamu unamsikiliza huyo bwana Tozo...Ripoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”.
Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick hawatalipa hilo deni na wakilazimishwa wakienda MIGA watashinda. Lissu alibezwa alipuuzwa na baada ya siku chache alimiminiwa risasi kuwa ni msaliti anayeshirikiana na mabeberu.
Barrick walitoa fedha za (Good faith) US$ 300M sawa na tsh 700b tu kati ya deni lote.
Jana Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kwa niaba ya serikali amesema serikali imeisamehe Barrick/Acacia deni lote.
Imeichukua serikali miaka mitano 5yrs kukubaliana na ushauri wa Lissu.
Uungwana ni vitendo mnyonge mnyongeni lakini haki zake apewe, Tundu Lissu aombwe radhi.
June 19, 2017
View attachment 2366316
Kuamini na kujua ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuamini chochote. Unaweza kuamini kuwa Tanzania ipo mwezini, ni imani yako.Mimi bado naamini ripoti za Wataalam akina prof Muruma ilikuwa sahihi.
Kosa lilikuwa kwenye aapproach ya kuzidai
700 bilioni hazijalipwa zote, bali zitalipwa kwa miaka 7. Ni wastani wa bilioni 100 kwa mwaka.Nikuuzie wewe mkuu maana ulizonazo ni matope!
Hizo 700b zimetoka Kwa Lisu Miga?
Baba yangu anabaki kuwa baba yangu hafananishwi na fisadi au chawa yeyote.Babaa ako akiongea pumba utamkosoa kwa maneno makali? Heshima ni bure tukosoane kwa staha, ukikosoa kwa staha hupungukiwi na kitu
Nikuulize swali kwani watu wakiwa wanakwenda kufanyiwa operation let's say Cesarean section huwa hawasaini.?Hizo chanjo utazozitaja hakuna unapokula kiapo kwamba litakalo kupata wao hawausiki wakati wametengeneza hizo dawa wamezitengeneza wao,ninakaribia miaka 50 nimechanjwa chanjo zote sijiwai ona ukijakuchanjwa mpaka ule kiapo kwamba Serikali wala mtengenezaji hawatausika na chochote kitakachotokea baada ya kudungwa chanjo.Hizo dawa za Madagascar hatukuona zikigawiwa popote pale labda kama unaoushaidi wa hizo dawa kugaiwiwa kwa wananchi waweza kuweka.