Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hahah ame release codesKinyerezi mbuyuni
Sengerea chama
Noted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah ame release codesKinyerezi mbuyuni
Sengerea chama
Noted
Mbona huku mikoani hayaongezeki shida niniNineshangaa sana hadi chanika wana chimbo za kutosha aisee…..
Ni kweli hili liangaliwe lasivyo linaenda kuathiri kizazi kwa kiasi kikubwa sana.
Hawa watu walijitenga na kukaa maeneo yao, mfano uwanja wa fisi nk.Serikali ikaenda kubomoa na kuvunja sasa wanakuja mitaani inakuwa kero.Juzi kati nimepita na mama yangu sheri ubungo river side pale mpaka aibu.Nineshangaa sana hadi chanika wana chimbo za kutosha aisee…..
Ni kweli hili liangaliwe lasivyo linaenda kuathiri kizazi kwa kiasi kikubwa sana.
Uhakika,,,Hahah ame release codes
Yani wamekia na uhuru mkubwa sana hata ile haya hawana tena, unawakuta maeneo ambao huwezi tarajia kabisaNineshangaa sana hadi chanika wana chimbo za kutosha aisee…..
Ni kweli hili liangaliwe lasivyo linaenda kuathiri kizazi kwa kiasi kikubwa sana.
Si mlivunja mkawafukuza kule mwananyamala, sasa unataka wafanyeje?Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.
Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi.
Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni makazi ya watu, tena saa tatu tayari wako barababarani.
Ku pretend hili suala halipo, ni kuweka vichwa vyetu kwenye mchanga huku miili yote iko nje.
Ni vema sasa hawa watu wawe na maeneo maalum ya mambo yao, watuachie mitaa /maeneo ya makazi. Si jambo jema kabisa.
Hata ni mtaa moja basi wapeni wakae
Wanajinyima mapato bila sababu yeyote.Moja ya biashara ingeingiza mapato makubwa serikalini kupitia Kodi ikiwa itahalalishwa ni biashara ya ukahaba
Mzee emesahau huko ndio waliletwa ?Nineshangaa sana hadi chanika wana chimbo za kutosha aisee…..
Ni kweli hili liangaliwe lasivyo linaenda kuathiri kizazi kwa kiasi kikubwa sana.
Ukipita uje na mrejesho.Kinyerezi mbuyuni
Sengerea chama
Noted
Malalamiko yafike ofisi ya Mkuu wa MkoaMbona huku mikoani hayaongezeki shida nini
OK; Lakini mkuu, wewe ni nini kimekupeleka huko hata ukayagundua hayo?Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.