Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

Nineshangaa sana hadi chanika wana chimbo za kutosha aisee…..

Ni kweli hili liangaliwe lasivyo linaenda kuathiri kizazi kwa kiasi kikubwa sana.
Hawa watu walijitenga na kukaa maeneo yao, mfano uwanja wa fisi nk.Serikali ikaenda kubomoa na kuvunja sasa wanakuja mitaani inakuwa kero.Juzi kati nimepita na mama yangu sheri ubungo river side pale mpaka aibu.
 
Mwenye nyumba anapangisha chumba kimoja 50000 Kwa mwezi.. Wakija Malaya kufanya danguro wanalipia chumba kimoja 10000 Kwa siku.. Mwenye nyumba atapangisha Malaya au mtu na familia yake..??

Hapo ni chumba kimoja . Kama nyumba Ina vyumba kumi mwenye nyumba anakunja M3 yake Kila mwezi.. Na ni hela ya kuendea Kila siku Hawanaga mkataba hawa.. Yaani Kila asubuhi mwenye nyumba anaenda kuchukua laki Moja.. Nani ataachia fursa hiyo ikimtembelea..??

Wawekewe maeneo yao tu na walipe Kodi.. Hatuwawezi hawa..
 
Kuna mwehu mmoja (muimba singeli) alishatoa na singo ya kuitwa 'waacheni wadange' ... na ilipewa airtime ya kutosha kwenye mainstream media.

Hapo ndipo jamii imefikia... uroda biashara! 😎

-Kaveli-
 
Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.

Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi.

Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni makazi ya watu, tena saa tatu tayari wako barababarani.

Ku pretend hili suala halipo, ni kuweka vichwa vyetu kwenye mchanga huku miili yote iko nje.

Ni vema sasa hawa watu wawe na maeneo maalum ya mambo yao, watuachie mitaa /maeneo ya makazi. Si jambo jema kabisa.

Hata ni mtaa moja basi wapeni wakae
Si mlivunja mkawafukuza kule mwananyamala, sasa unataka wafanyeje?
 
Kama unaona bidhaa iko dukani ujue kuna wanunuzi, bidhaa ambazo hazina wanunuzi huondolewa
 
Mbona sahvi wadada wanajiuza kistaarabu kidigitali,wewe tu
Alafu umalaya kujiuza sahivi ni ajira isiyo rasmi lakini rasmi

Ungeona miaka ya nyuma wanawake walivyokuwa wanajiuza magot,jolly club na miitaa ya ohio,kule Tunisia Road ilikuwa balaa

Ova
 
Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.

Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi.

Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni makazi ya watu, tena saa tatu tayari wako barababarani.

Ku pretend hili suala halipo, ni kuweka vichwa vyetu kwenye mchanga huku miili yote iko nje.

Ni vema sasa hawa watu wawe na maeneo maalum ya mambo yao, watuachie mitaa /maeneo ya makazi. Si jambo jema kabisa.

Hata ni mtaa moja basi wapeni wakae
OK; Lakini mkuu, wewe ni nini kimekupeleka huko hata ukayagundua hayo?
Kwani ungelipita hv na ukawaacha wafu wazike wafu wao ungepata hasara gani?
 
Back
Top Bottom