Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Wanamshambulia Samia kwa mlango wa nyuma, kujifanya wanamuongelea Nyerere ni geresha tu.ukiona umeshindwa kumuelewa Nyerere jua unafikra za chini sana!. wewe ni mpuuzi wa mwisho hufai hata kupewa uenyekiti wa nyumba mbili!.
Hakuna mtawala yoyote hapa duniani asie na dark side, kama yupo mtaje.View attachment 2988212
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.
Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.
View attachment 2988271
Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.
Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.
View attachment 2988353
Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.
Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALIMU
Hatujielewi sisi wa huku bara. Na wengi wetu ni wakristo hivyo msingi wa mada hii ni udini unaojificha katika kuhoji masuala ya muungano.Kwamba tunamchukia Muasisi au Tunachukia Wazenji?
PorojoHii ni hakika..
Kuna misingi ya miungu ya uongo na ushetani wenyewe umejengwa ktk nchi yetu.
Hii madhabahu (altar) ya miungu na ushetani huu uko kwenye ikulu yetu kwenye "kiti cha u - Rais"..
Thank God, kwamba sasa watu tunaanza kuuona ukweli huu kwa njia dhahiri kabisa..
Na vijana wa kizazi hiki hatuko tayari kuona hii kitu inaendelea..
Tuko tayari kubomoa misingi (madhabahu) za kishetani zilizojengwa ktk nchi yetu kwa kutumia silaha za masafa marefu toka mbinguni ktk ulimwengu wa roho..
Ni gani hizo mazeeKila aliyepingana naye alifukuzwa serikalini, kwenye chama na Aliwekwa kizuizini au kupewa keai za uhaini.
Hakuna siri tena
Fuatilia basi historiaNi gani hizo mazee
Mbona unachanganya vitu, hoja ya Muungano imeanza leo?Hatujielewi sisi wa huku bara. Na wengi wetu ni wakristo hivyo msingi wa mada hii ni udini unaojificha katika kuhoji masuala ya muungano.
Msingi wa hizi hisia ni chuki dhidi ya Samia na uislamu wake walianza chokochoko wakati wa kupitisha mkataba wa DP World huu ni muendelezo tu.
Zahanati na Muungano wapi na wapi?Nyerere alifariki miaka 25 iliyopita, kuendelea kuongelea falsafa zake leo hii ni ukosefu mkubwa wa mawazo mapya, mawazo mbadala.
Pia ni aibu kumzodoa marehemu wakati kuna kizazi kipya kabisa cha uongozi kinachofanya shughuli za maana sana huko bara walipo wananchi wengi.
Humu mitandaoni ndio SSH anaonekana hafanyi lolote lakini ukienda huko mikoanii na kuona hizo zahanati anazozijenga kila wilaya na namna huduma za maji zinavyosambazwa kila kona utagundua kuwa vijana wa humu JF wamepotea kabisa.
Nikifatilia historia ndio nitapata maana ya keai za uhaina?Fuatilia basi historia
... kama bado zinatukwamisha, kwa baadhi ya waumini wake kuturudisha miaka ya 1960s kila siku, kwanini tusihoji na kukosoa?Nyerere aliongoza Tanzania ikiwa na watu chini ya milioni tano ikiwa na chuo kikuu kimoja tu pale Mlimani, ikiwa na rundo la wajinga kila sehemu.
Falsafa zake zilikuwa na mashiko enzi zile kwa mazingira ya wakati ule. Haipo mantiki yoyote ya kuhoji falsafa za wakati ule Katika miaka ya sasa.
Hakuwa mwanademokrasia, alienda Zanzibar kubadilisha matokeo na huku bara kuhakikisha Mrema haingii ikulu. Hayo mambo yanamtia doa jeusiView attachment 2988212
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.
Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.
View attachment 2988271
Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.
Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.
View attachment 2988353
Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.
Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALI
Kumbe 😫Hakuwa mwanademokrasia, alienda Zanzibar kubadilisha matokeo na huku bara kuhakikisha Mrema haingii ikulu. Hayo mambo yanamtia doa jeusi
Sasa utazipata wapi kama hujafuatilia historia ya nchi yako. Kafuatilie kwanza ndo uje kubisha.Nikifatilia historia ndio nitapata maana ya keai za uhaina?
Mwalimu alikuwa na haki katika falsafa zake, naelewa kwa kina kwanini nachanganya falsafa na suala zima la muungano.Mbona unachanganya vitu, hoja ya Muungano imeanza leo?
Zanzibar ni nchi ndogo sana ni sawa na wilaya mojawapo ya mkoa wa Morogoro. Tumeungana nao kwa sababu za kijiografia tu, hawatupungizii chochote na ni ajabu sana kuona wanatuumiza vichwa vyetu.Zahanat
Zahanati na Muungano wapi na wapi?
Falsafa za Mwalimu mambo ya Samia kuhusu Maji na Afya yametoka wapi?
Mbona unachanganya au unavamia uzi ichwakichwa.
Kwanza mambo ya afya si ya Muungano mbona Mzanzibari anahangaika na Afya za Tanganyika, wakat Mtanganyika haruhusiwi kuhusimamia Afya za Zanzibar?
Je ni Falsafa za Nani tunaziishi hapo kama si za hayati Kambarage?
Mada nyingi huja na kuondoka kulingana na matukio yanayoendelea. Hakuna namna falsafa za Mwalimu zimewahi kuikwamisha Tanzania.... kama bado zinatukwamisha, kwa baadhi ya waumini wake kuturudisha miaka ya 1960s kila siku, kwanini tusihoji na kukosoa?
Hauko makini ndio maana hujagundua ninachokukosoa. Kasome quote yangu ya kwanza, angalia rangi ya njano.Sasa utazipata wapi kama hujafuatilia historia ya nchi yako. Kafuatilie kwanza ndo uje kubisha.
Unamjua Titi Mohammed Salum Mandangwa?
Unamjua Oscar Kambona.
Among others.
Kwa kifupi Babu alikuwa hataki kuwa challenged na aliwapa makosa ya uhalifu tofautitofauti wapingaji wake IKIWEMO UHAINI
“BY THE ORDER OF THE PEAKY FUCKING BLINDERS” 😎
Nikifatilia historia ndio nitapata maana ya keai za uhaina?
Nioneshe mkuuHauko makini ndio maana hujagundua ninachokukosoa. Kasome quote yangu ya kwanza, angalia rangi ya njano.
Nimeona mkuuHauko makini ndio maana hujagundua ninachokukosoa. Kasome quote yangu ya kwanza, angalia rangi ya njano.
Leta hoja zako kupinga!Nadhani uwezo wako wa kufikiri hauna tofauti na kuku
Umejaa ujinga,
But wengi wanaomchukia Nyerere ni walee wafuasi wa....